taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa chombo cha habari kama Times FM kutuma taarifa za uongo

    Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake. Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti. Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa zinachanganya ubinafsishaji wa mabasi ya mwendokasi; kipi ni kipi?

    Hizi taarifa zinachanganya! Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni. Tarehe 25 march katika taarifa ya habari wanasema mzabuni tayali kashaanza kuigiza mabasi! Swali tenda...
  3. JamiiForums Tanzania Yoon Suk Yeol: Taarifa za uongo zinaathiri wananchi kufanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi

    Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol akiwa katika Mkutano wa Tatu wa Demokrasia uliofanyika Machi 18, 2024 ametoa wito kwa viongozi wote Ulimwenguni kuunga mkono jitihada za kukomesha taarifa potofu Yoon ameeleza Taarifa zisizo za kweli wakati wa Uchaguzi huweza kuathiri mchakato mzima wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania UWT yatahadharisha umma matapeli wanaotumia jina la Jokate utoaji mikopo

    TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake UWT inapenda kuutahadharisha Umma juu ya Uwepo wa kundi la wahalifu mtandaoni wanaotumia Vibaya Jina la Katibu Mkuu Ndg. Jokate Urban Mwegelo na kulihusisha na Huduma utoaji wa Mikopo ya bei Nafuu.. Taarifa hizo sio za kweli na Ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mbowe pamoja na ya Bunge hakuna aliye mkweli

    Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe. Aliyetoa taarifa ya kukanusha...
  6. JamiiForums Tanzania Taarifa nzuri sana kutoka iringa usikose kusoma

    Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yaitaka Tiktok kueleza jinsi inavyolinda Taarifa Binafsi za Wananchi

    KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Kenya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema ODPC...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu wafidiwe pesa katika mitandao ya simu ikitokea wenye Akaunti zenye salio wameaga dunia

    Habari ndugu Watanzania, Nimesukumwa kuandika uzi huu, kutoka kwenye uzi mwingine uliofunguliwa juu ya madai ya mtu kumtumia mzigo mteja wake, na mteja imetokea ameaga dunia kabla ya kupokea mzigo. Niliwahi kufungua uzi kipindi cha nyuma unaoendana na huu ukiuliza ndugu wanafidiwa vipi maslahi...
  9. JamiiForums Tanzania wakuu anaweza kunisaidia kunipa taarifa juu ya kifaa hiki

    nimeambiwa hiki ni kifaa cha kuweza kuweka lain za sim nyingi hadi laini 8 kwa wakati mmoja kwa pamoja, naomba kuuliza inaruhusiwa kisheria kumiliki hiki kifaa na kama ni ndio kinapatikana wapi? maana kwa kazi zangu natamani sana nipate kifaa kama hiki ili nisave gharama.
  10. JamiiForums Tanzania Vipi Kuna mwenye taarifa za huyu mwamba??

    Kwenye pitapita zangu insta nikakutaja na hii video, nmeona wengi sana wanamsifia, vipi Kuna anaemjua huyu mwamba?? Tupeane connection kama ni uhakika kama wanavyomsifu au vipi. Na nmesikia Kuna mwamba MWINGINE anaitwa SOKWE, naskia naye ni fundi balaa
  11. JamiiForums Tanzania Uhakiki wa taarifa ni silaha muhimu ya kupambana na taarifa potofu

    Kuhakiki taarifa ni Silaha ya msingi katika kupambana na Usambaaji wa taarifa Potofu ndani na nje ya Mitandao Jamii inapojenga tabia ya kufanya uhakiki wa kila taarifa inayokutana nayo, itawawezesha kufanya Maamuzi Sahihi katika masuala mbalimbali yanatokea katika Jamii husika Je, wewe ni...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Sina mambo mengi Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule. Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea. Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
  13. JamiiForums Tanzania Kufanya uhakiki wa taarifa hukuepusha na utapeli wa mitandaoni

    Uhakiki wa taarifa ni mchakato wa makusudi wa kufanya tathmini ya taarifa ili kujua chanzo au uhalisia wake. Katika ulimwengu wa leo, takwimu za Global Media Statistics zinaeleza kuwa zaidi ya 62.3% ya watu duniani wanatumia mitandao ya kijamii, ambayo inafanya kuwa jukwaa kubwa la usambazaji...
  14. JamiiForums Tanzania Tanesco: Kumetokea hitilafu mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana huduma baadhi ya maeneo Bara na Zanzibar, tatizo linashughulikiwa

    TAARIFA KWA UMMA HITILAFU KWENYE MFUMO WA GRIDI YA TAIFA Jumatatu, 04 Machi 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lina utaarifu umma kuwa kumetokea hitilafu katika mfumo wa Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha ukosefu wa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo nchini pamoja na Zanzibar...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi Iringa: Tunachunguza taarifa za ASAS kumuua Dereva wa Lori

  16. JamiiForums Tanzania Sheria inazuia kumtaja kwa jina, makazi au anwani ya mtu aliyetoa taarifa

    Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007 kinatamka kila mtu mwenye taarifa kuhusu kufanyika kwa vitendo vya rushwa au mpango wa kufanyikwa kwa vitendo vya Rushwa anawajibika kutoa taarifa kwa TAKUKURU. Ukikosa huduma katika mazingira ya Rushwa, Sheria hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma wa watanzania na wana JamiiForums wote

    Tokea juzi Ijumaa Jioni hadi Alfajiri hii ya leo ID yangu hii ya GENTAMYCINE ilikuwa Imedukuliwa na Wahuni hivyo kama kuna Maudhui yoyote yaliandikwa tokea hiyo juzi hadi jana jua si yangu bali ni ya hao Wadukuaji Wahuni wakiongozwa na adriz, Dada Nifah, Popoma Tate Mkuu na Rafiki yangu...
  18. JamiiForums Tanzania Guelle Faure: Uchaguzi ni kama ardhi yenye rutuba yenye kumea taarifa nyingi za uongo

    Nyakati za Uchaguzi zimekuwa chanzo cha mlipuko wa habari nyingi potofu. Makundi mbalimbali yamekuwa yakipotosha kwa makusudi ili kuwadunisha au kuwanufaisha Wagombea na Vyama vya Siasa. Mwandishi wa AFP, anawatahadharisha Wanahabari kuwa makini zaidi na habari na madai yanayozuka wakati huu...
  19. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari, Kazimbaya Makwega ashikiliwa na Polisi, asafirishwa kutoka Mwanza hadi Dodoma

    Salama Wana JF, Nimeona andiko hili huko Mtandaoni, kuna mwenye taarifa ya kinachoendelea? === Mwandishi Kazimbaya Makwega asafirishwa toka Mwanza kwenda Dodoma Ndugu waaandishi wenzangu muda huu nimefika kituo kikuu cha polisi kati na mawakili wa wawili wa OJADACT kufuatilia kukamatwa kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi kuhama kituo cha kazi lakini taarifa zake bado zinasomeka kituo cha zamani

    Habarini za majukumu wana JF, Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…