Schoolinsight ni mfumo unaotumika ku "manage" taarifa katika mashule kuanzia ngazi ya nursery hadi Advanced level.
Mfumo huu ni "software as a service" ambayo tayari ipo hosted kilichobaki ni shule kufungua account na kuanza kutumia huduma hii.
Kwa shule ambayo itafungua account itapata 3...