swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Home of Great thinker, WanaJF naomba nisaidieni jibu la hili swali

    Someone's mother has four sons. North, South, East. What is the name of the fourth son. Reply in the comment section below the name of the fourth son? Karibuni. Reply zikifika kati ya 50 nakuendelea tutavuta marking scheme kujua nani kapata nani kakosa we jibu swali usitoe maelezo...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kwanini chadema wanamjadili Zitto zaidi ya wanavyojadili matumizi ya tone tone?!!!!!

    Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Nina swali kwenu wadau

    Habari za mda huu wadau Hivi mwanamke anaweza kusoma chuo miaka mitatu vijana wa hovyo wasipite nae hili ni swali kutoka kwa mtu wangu wa karibu mwisho wa kunukuu
  4. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Uchumi (Foreign Exchange Rates) nitashukuru nikipata Elimu yenu kubwa ya Kina juu ya hili Swali langu Kwenu

    Ni kwanini ukitaka kutuma Pesa (kwa kuibadilisha moja kwa moja katika Mitandao ya Simu) mida ya Mchana kwenda Alasiri Exchange Rate inakuwa ni nzuri sana tofauti na nyakati za Asubuhi au Jioni au Usiku? Kuna Siri gani hasa nyakati za Mchana na Alasiri Kiuchumi? Asanteni.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume njooni mnijibu swali langu

    Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo?? Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn...
  6. JamiiForums Tanzania Swali. Je baada ya kuvunjwa bunge, mawaziri wanaendelea?

    Kwa mujibu wa taratib naomba kujua ukomo wa ubunge, ni baada ya kuvunjwa bunge. Mtu anakuwa sio mbunge tena, je uwaziri unakaa pembeni? Tukumbushane wajuz wa mambo.
  7. JamiiForums Tanzania nimepata swali inbox Engineer samahani ningependa kufahamu utofauti wa gharama uliopo kati ya hidden roffing na roffing za kuonekana

    Hakuna haja ya kuomba radhi—swali lako ni la msingi kabisa! Tofauti ya gharama kati ya “hidden roofing” (paa lililofichwa) na paa la kawaida (linaloonekana) inategemea mambo kadhaa, lakini hapa kuna muhtasari wa tofauti kuu: * Hidden Roofing (Paa lililofichwa)* Faida za gharama: Hupunguza...
  8. JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

    Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
  9. JamiiForums Tanzania Swali: Iran bado ina vinu vya nukes? Kakamilisha kuunda silaha?

    Wakati huo SADDAM HUSSEIN akiwa kama KOBAZI mkuu Middle East alianza kuunda siraha za NUKES na zingine za sumu. Hile project iliishushwa ikawa vifusi na SADDAM HUSSEIN akarusha SCUD missles kupiga ISRAEL....baada ya hapo ISRAEL ilitulia na SADDAM hakusikika tena na hizo Project na Wayahudi...
  10. JamiiForums Tanzania Je haya ni majibu sahihi kumjibu Mbunge aliyeuliza swali Bungeni ?

    Ufafanuzi. https://www.facebook.com/share/r/189pYZfp5v/
  11. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuuliza swali lolote kuhusu football ulilokuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza

    Huu uzi ni uzi wa kufunguka kuhusu mambo yanayohusu football ambayo umekuwa unajiuliza mwenyewe kichwani bila kupata majibu na umekuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza wengine ili wasije kukuone mjinga au hauna ufahamu na football. Kwenye uzi huu hakuna mjinga wala mjuaji. Uliza chochote na...
  12. JamiiForums Tanzania SWALI: Kwanini watu wenye ibada pasipo na ukristo na Uislamu. Mbona dini zao ziko na pesa ?

    SWALI : kwa nini watu wenye ibada pasipo na ukristo na uislamu.mbona dini zao ziko na pesa ? Naomba wasomi mtupe jibu je Kuna Siri Gani hapa . Atotoa jibu zuri Kuna zawadi ya group kuingizwa free la kulipia ili kuchota marifa zaidi na Utambuzi zaidi na zaidi . Swali la kwanza ameshinda...
  13. JamiiForums Tanzania Swali langu kwa CHAT GPT endapo dunia itafikisha miaka Bilioni Moja

  14. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa vita swali : Wakudri na Vita ya Iran vs Israel/Marekani — Je, Wana Nafasi?

    Wakudri ni Nani na Wapo Wapi? Wakudri ni kundi la kikabila linalokadiriwa kuwa na watu milioni 30–40, wanaoishi hasa katika maeneo ya: Kaskazini mwa Iraq (Kurdistan ya Iraq), Kaskazini-magharibi mwa Iran,Mashariki mwa Uturuki na Kaskazini mwa Syria. WAKUDRI (Kurds), ambao kwa miongo mingi...
  15. JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu

    For those who want to know deep or more about angelic beings you are welcome. Uliza swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu. Nalogout sasa, someni kwanza hayo ya chini. Nitakuja kuendelea kujibu maswali yenu mengine jioni. Mungu awabariki sana.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nina swali kwa Wanaomaliza form four na kuchaguliwa au kwenda vyuo vya kati

    Je, hawa wanafunzi wanaomaliza form four na kwenda vyuo vya kati, huwa wako entitled kupata mikopo kama vyuo vya elimu ya juu (HESLB)? Au ni mzazi anaendelea kupambana kama sekondari.
  17. JamiiForums Tanzania Nauliza swali tu niambieni

    Mimi nimkristo all in all kunakipindi na kipindi muazini akiazini na hamu ya kwenda kujumuika nao nakusali . Na asilimia kubwa wanaume wa kislaam wananipendaga , sana. Wengi hutamka ndoa . Wakristo asilimia 10 ndio wanajilazimisha,. Mie mwenyewe sana napenda kuvaa mahijab yale yakung'aa na...
  18. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: je ni kweli waziri wa fedha yuko juu ya mteule wake?

    Wasalaam. Kuna ushahidi kwamba rais anamlalamikia waziri wa fedha kwa ubadhirifu badala ya kumchukulia hatua. Mawaziri wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibu wa sheria. Wabunge wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibbu wa kanuni za bunge. Hii...
  19. JamiiForums Tanzania Ni yupi kati ya mwanaume na mwanamke anaitamani ndoa zaidi kuliko mwingine?

    Ni yupi kati ya mwanaume na mwanamke anaitamani ndoa zaidi kuliko mwingine, na kwa nini huyo mwenye matamanio zaidi iwe hivo? Karibuni.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake wa JamiiForums?

    Habari zenu wanawake na warembo wa jamiiforums? Swali kwenu " Kwanini hampendi kuwa kwenye mahusiano na wanaume wafupi"? Je, shida yao kuu ni nini? nipo kwenye utafiti fulani, naombeni maoni yenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…