Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
No malice taken.I mean no malice to nobody
Ahsante sana... nina swali..Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
Ikiwa lengo ni kukeep wateja, vipo vitu kadhaa wa kadhaa ila vyote vitalenga kwenye kujenga brand, I mean emotional connection na wateja, kwamba hata wakiondoka basi next time watapendelea kurudi hapo tena.Ukipewa biashara ya stationery, utaongeza ubunifu gani ili kuvutia na kukeep wateja?
Sijibu maswali ya kiform 3The business of business is business. Discuss.
Swali zuri la kiuchumi, ila sitolijibu kwa kuwa kwa sasa nchi hii haina freedom of speaking 🔊Awamu ya 6 imefanikiwa ama imefeli kiuchumi?
No!Kukiwa kuna Inflation ? Landlord anapaswa punguza rents?
Si jf Iko secured au mi ndo Huwa sielewi 😲Swali zuri la kiuchumi, ila sitolijibu kwa kuwa kwa sasa nchi hii haina freedom of speaking 🔊
Ilikuwa zamaniSi jf Iko secured au mi ndo Huwa sielewi 😲
Mkuu hebu toka kwenye kitabu uingie kwenye uhalisia, mimi nimekuuliza kuhusu Tanzania, inapaswa uelezee kwa mifano halisi na kuhitimisha kama tupo salama au la? hujato mfan wowote wa mradi/miradi iliopo, hujatoa mifano ya mikopo tunayoichukua kwa ajili miundombinu...Tofauti kati ya deni lenye tija na deni linalodhoofisha uchumi:
Deni lenye tija (productive debt)
Hili ni deni ambalo linawekezwa kwenye miradi yenye faida ya kiuchumi au kijamii kama:
Miundombinu (barabara, reli, bandari) inayorahisisha biashara
Umeme wa uhakika unaosaidia viwanda
Elimu na afya bora
Miradi ya kilimo au viwanda vya kuongeza thamani
Dalili zake:
Miradi inakamilika kwa wakati na inatumika ipasavyo
Uchumi unaanza kukua na watu kuona faida (ajira, huduma, biashara)
Deni linalodhoofisha uchumi (unproductive or harmful debt)
Hili ni deni linalotumika:
Kwenye miradi isiyo na faida wala ufanisi
Kwenye matumizi ya kawaida ya serikali (mishahara, posho, anasa)
Bila usimamizi au linaishia kwenye ufisadi
Dalili zake:
Miradi inakwama au haina faida
Hakuna ukuaji wa uchumi licha ya kuendelea kukopa
Kodi zinaongezwa ili kulipa madeni bila kuboresha maisha ya watu
Viashiria vya mapema vya debt trap (mtego wa madeni)
Hivi ni baadhi ya dalili ambazo zinaweza kuonyesha taifa linaelekea kwenye mtego wa madeni:
Asilimia kubwa ya mapato ya nchi inaenda kulipia deni
Kama zaidi ya 30–40% ya mapato ya ndani yanatumika kulipa riba na mkopo, ni hatari.
Serikali inakopa kulipa deni jingine (rolling over debt)
Kukopa ili kulipa mkopo wa zamani ni dalili ya mzunguko mbaya.
Kushuka kwa thamani ya sarafu kwa kasi
Deni la kigeni linakuwa ghali zaidi kulilipa.
Mfumuko wa bei (inflation) unapaa
Kupanda kwa bei ya bidhaa na kushuka kwa thamani ya fedha mara nyingi huambatana na matatizo ya kifedha ya serikali.
Ukosefu wa taarifa wazi kuhusu mikopo
Serikali ikificha au haitoi taarifa wazi kuhusu mikopo na matumizi yake, kuna hatari ya madeni ya kifisadi au yasiyo na tija.
Ongezeko la kodi bila maboresho ya huduma
Kodi nyingi huwekwa ili kufidia madeni, lakini wananchi hawaoni maendeleo yoyote.
Hitimisho kwa lugha rahisi
Mikopo siyo shida kama inatumika vizuri na kwa tija. Lakini tunapaswa kuwa makini na namna inavyotumika. Kama wananchi, tunaweza kufuatilia matumizi ya mikopo kupitia vyombo vya habari, bunge, na mashirika ya kiraia. Tukiwa macho, tunaweza kusukuma serikali kuelekeza mikopo kwenye maendeleo halisi badala ya kutuingiza mkenge.
Mjomba Nina mshaala wa laki 3 na na familia ya mke na watoto wawili na mama na baba na wadogo zangu wananitegemea nifanyeje niweze kusave ata laki Kwa mwezUliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
Kuna watu huwa hatuelewi vizuri uhusiano kati ya thamani ya fedha ya nchi dhidi ya US$ na uchumi wa nchi husika. Hebu tuekezee, nchi A yenye fedha yake kuwa na thamani kuliko nchi B, is it neccessarily kwamba A ina uchumi mzuri kuliko B?Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
Unakiaisi Gani kwenye account? Isije ikawa tunalishwa matango poriUliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!