swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa na mwanamke lazima ujiulize hili swali la msingi

    Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa, kabla hujaamua kuendeleza kizazi chako lazima ujiulize, je nikifa leo huyu mwanamke ataweza kuwalea wanangu sawasawa ama angalau vile ulivyokua unatarajia? Tuachane na kifo, ujiulize nazaa na huyu mwanamke ama namuoa, je hali yangu ya kiuchumi ikibadilika...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ninachokifahamu sahihi kuhusu Chanjo ya Covid-19, niulize swali nitakujibu

    Kumekua na sintofahamu nyingi mtaani na wengi wanajiuliza maswali kuhusu Chanjo ya Covid, Naomba nieleze kwa jinsi ninavyofahamu na kama una swali niulize nitakujibu kadri ninavyofahamu. Kwanini Chanjo ya COVID 19 inapigiwa chapuo sana Licha ya kwamba ni hiyari? - Hii ni kwasababu dunia nzima...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Hivi kweli Sabaya analala gerezani?

    Mbona ananawili na kitambi kinaongezeka, yuko poa kabisa as if nalala Kilimanjaro Hotel ya enzi za Israel! Ona walio gerezani Gagnija
  4. P

    JamiiForums Tanzania Swali kwako mdau...

    Je, ukiachana na pesa ni kitu gani kingine huna? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachokitafuta? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine kinachokupa stress? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachotamani kuwa nacho? Tiririka mdau
  5. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu ambacho huwa ninajiuliza kila mara, hivi mimi sura yangu ni ipi?

    🔏Kuna kitu ambacho huwa ninajiuliza kila mara, hivi mimi sura yangu ni ipi? Huwezi ukakubali kwa haraka hadi utakapojifanyia uchunguzi ndipo utakapogundua hauna sura moja. Unapokuwa unaongea na mpenzi wako unakuwa na sura gani? Unapokuwa unaongea na wazazi wako unakuwa na sura gani? Unapokuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kodi ya Miamala ya Simu: Swali kwa Waziri Mwigulu baada ya maelezo yake TBC

    Jana nilimsikiliza Waziri Mwigulu pale TBC nikapata mashaka sana na kuona ameamua kudanganya kutaka kuupooza umma. Akijaribu kufafanua amedai kuwa makato ya tozo hizi yanaenda kwenye huduma za afya haswa afya ya mama na mtoto. Ningependa atoe ufafanuzi wa asilimia ngapi ya tozo itaenda huko...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Msajili wa vyama:Nidhamu ya mwanachama yeyote ipo mikononi mwa nani?

    Kumekuwa namkanganyiko wa maamuzi ya kiuongozi katika vyama vya siasa hasa, CCM, CUF, CHADEMA NK Je, mwanachama anawajibika kwa katiba ya chama chake au kwa miongozo ya chama? Je, usajili wa chama huwa mwanachama mmojammoja huamua tu kuja kusajili chama? Chama cha siasa na Msajili nani...
  9. JamiiForums Tanzania Nikijibiwa kitaaluma na kuelimishwa vyema juu ya hili swali langu nitaondoa wasiwasi juu ya elimu ya Tanzania na matokeo ya mitihani

    Swali... Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi (Future Intellectuals) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi...
  10. JamiiForums Tanzania Swali kwa CHADEMA: Lini rufaa za akina Halima Mdee na wenzake 18 zitasikilizwa?

    Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho. Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa)...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa nyuki naomba msaada

    Wakuu nina swali kuhusu utengenezaji wa mizinga ya nyuki. Mzinga in lazima utengenezwe kwa mbao au unaweza kutengenezwa pia kwa material nyingine kama plastic?
  12. JamiiForums Tanzania Aliyeuliza swali hili ni marehemu; ukiweza kumjibu utafute namna ya kumfikishia jibu lako

    The great question that has never been answered, and which I have not yet been able to answer, despite my thirty years of research into the feminine soul, is 'What does a woman want?'
  13. JamiiForums Tanzania Rais ana uwezo wa kuifuta sheria ya vyama vya siasa (Na. 5 ya 1992) inayoruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

    Kama jibu ni ndiyo, Sheria ipi nyingine ana madaraka ya kuifuta bila kushirikisha Bunge?
  14. JamiiForums Tanzania Swali je Inawezekana Mwigulu katupiwa jini ''Sakizi'' ? linakufanya ufanye vitu vya ajabu

    Wadau nahisi huyu Waziri katupiwa hilo Jini angewahi au awahishwe kwa mafundi.. Jini Sakizi ukitupiwa linafanya maajabu ajabu tu yaani mtu akikuudhi unaweza hata muua hapo hapo Watu waliwahi tupiwa mifano yake kama Ditopile alichukizwa tu na Dereva wa Daladala kusimamisha bus barabarani...
  15. JamiiForums Tanzania Uliza Swali lolote kuhusu Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania)

    Habari Ndugu zangu? Nipo Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania) kwa miezi kadhaa sasa. Kama una Swali lolote kuhusu Dodoma, unaweza kuniuliza. Nipo tayari kujibu Maswali yenu.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Je, 'serial namber' ya cheti cha ndoa inafanana kwa mume na mke?

    Habari wadau Swali kwa wanandoa ama waliowahi kufunga ndoa. Ninatambua ndoa inakuwa na vyeti original copy mbili baada ya kufungwa. Moja ya mke na moja ya mme. Je, vinakuwa na serial namba inayofanana?
  17. P

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kiapo au kinga kwa wanasiasa na viongozi wakuu?

    Nini maana ya KIAPO? Nini maana ya KINGA? Viongozi wetu wa mihimili yote mitatu na wakuu wakisiasa huapa huku waendako kutumikia kukiwa na kinga. Mwananchi anafaidika au anapunjwa kisheria. Wabobezi karibuni na nini kifanyike.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa darasa la pili hili swali kakosaje? Au mwalimu ndiye hajielewi?

    Shule za msingi zinafungwa Leo, Niko hapa napitia mitihani na ripoti za wanangu! Kuna swali hili; Mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu anaitwa nani? Mwanangu kajibu MWAMUZI kakosa, eti mwalimu kawaambia jibu sahihi ni REFARII. Je, jibu sahihi ni lipi hapo? Kosa ni la mtoto au mwalimu ndo hajielewi?
  19. JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Unaweza kugombana na mzungu masaa mangapi? Kwa english yako hiyo

    Swali la kizushi: Kwa hiyo english yako unayojivunia unaweza kugombana na mzungu masaa mangapi? Yaan mfano imetokea mmekwaluza kidogo labda kakuovertake kibabe,kakuchukulia dem wako baa,au labda kakupakazia mbovu kwa bosi wako, demu au mwana. Sasa yeye ni mzungu na lugha ya english ndo...
  20. JamiiForums Tanzania Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi

    Hello guys Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya Mungu awabariki wapendwa. Pia, nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana. Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…