swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Swali : Nani mchunguzi mkuu wa matumizi ya Benki Kuu Tanzania?

    Ningependa kujua ni nani mchunguzi mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania? Navyosema mchunguzi ni kwa matumizi ya bank kuu na budget za kujiendesha kama kulipa wafanyakazi, majengo, uendeshaji wote wa shughuli za kibank. Wasiwasi wangu ni kwamba bank kuu yetu ya Tanzania haijapewa mandate ya kusaidia...
  2. JamiiForums Tanzania Swali dogo lakini kubwa sana

    Kuwa mkweli hivi uli survive vipi kile kipindi unemaliza chuo,umekaa nyumbani Kama miaka miwili hivi haujapata ishu ya maana, na hata vitu vyako vidogo ulivokua unafanya vilifeli. Ulifanyanye ilipofika kile kipindi hata wale wanao wa karibu walianza kukukataa kuona kwamba utakua mzigo...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huyo anaitwa Djigui Diara, kuna mwenye swali!

    Nafikiri mpaka hapo hakuna swali kwa golikipa wa kimataifa raia wa Mali, Yanga mpira mmecheza hongereni sana.
  5. JamiiForums Tanzania Swali muhimu: Hivi mwenye cheti cha VETA analipwa sh. ngapi kwa mwezi?

    Mimi huwa nashangaa baadhi ya watu wakishauri kwamba vijana wetu wasomee VETA wasiende degree, Je mtu akiwa na cheti cha VETA analipwa mshahara sh. ngapi kwa mwezi. 😅😅😅😅😅
  6. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Utendaji wa Shughuli za Mahakama Unatungwa na Nani na Kwanini?

    Ni swali ambalo limetokana na yanayoendelea katika sakata la Mbowe. Wabunge wanarushwa mubashara. Tunasikia mawazo yao, malumbano yao, na hata ufyatu wao. Tunasikia wakishangilia na wakizodoa; tunawasikia wakicheka na kuchekana au kuchekeana. Vyombo vya habari vya taifa na vya binafsi vinapewa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Swali Physical Geography

    Kama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate? Msaada kwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naweza kuendelea kutumia akaunti ya Benki ya CRDB niliyositisha matumizi yake kwa miaka minne?

    Nina Account yangu sijaitumia sasa huu mwaka wa nne. Tafadhali, nifanyeje ili nianze kuitumia?
  9. JamiiForums Tanzania Huu ni Udhalilishaji anaofanyiwa Rais Samia. Swali ni amelazimishwa au ameridhia?

    President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan as "a special tour guide"
  10. M

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi linalotaka majibu fikirishi

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu CCM na CHADEMA karibu kila chama kimekuwa kikijinasibu kina wafuasi wengi wanaowaelewa Hoja yangu ni hii Taifa letu limeleta chanjo milioni 1 ambazo hadi sasa inasemekana zimetumika chanjo chini ya laki nne Kwa muda sasa najua wafuasi wengi wa CCM hawana...
  11. JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

    TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...." TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...." Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
  13. JamiiForums Tanzania Swali la kipombe: Kuishi demu Marekani kwa amani na kuishi Afghanistan mwanaume Ila utauawa na Taleban, kipi Bora?

    Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi? Mimi mzee baba ningechagua kuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bado kuna mwenye Swali juu ya Unafiki mkubwa wa Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redio za Tanzania?

    Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) alipokuwa Yanga SC... "Haji Manara hana uwezo na bado kabisa hajaweza kumfikia Antonio Nugaz kwa Kuhamasisha, Kushawishi na kupiga Madongo ya maana na huyu ndiyo kiboko yake" Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) baada ya kuondoka Yanga SC Jana... "Haji Manara hana...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani. Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000. Ameendelea kudai...
  16. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Wanaosali kwa Gwajima wako Dini Gani?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara toka wakati wa Sakata la kijana yule kutoka Kolomije...na kabla yake like suala la ushenga...na yale "maufundi"... Sasa katika Sakata lililochukua sura ya kifamilia na Kikolezo cha Imani vinaniacha na maswali. Hivi Askofu Gwajima anatekelezaje lile Agizo Kuu...
  17. JamiiForums Tanzania Swali dogo: Simba na Yanga walikwenda Morocco Kufanya nini?

    Inawezekana jibu liko wazi ila kwa vile mimi sijui jibu lake nimeamua kuuliza. Yanga na Simba walikwenda Morocco kufanya nini kwa vile hakuna mashindano makubwa ya kimataifa huko. Je, walikwenda kufanya mazoezi tu? Kama ni hivyo kwa nini timu zote mbili ziende Morocco?
  18. JamiiForums Tanzania Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

    Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Swali: Tozo mpya za miamala zimeshavuna kiasi gani cha pesa hadi sasa?

    Ikiwa ni Takriban wiki 3 sasa tangu serikali ianze kuvuna kodi mpya iliyopewa jina ya ‘Tozo ya kizalendo’, nimepata shauku ya kujua walau kwa makadirio, serikali imashavuna kiasi gani cha kodi toka kwenye tozo hii mpya? =============================== Update: Waziri Mwigulu Nchemba kupitia TBC...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Usipotoshwe na watu wasioelewa maana na utaratibu wa kuwa na raia pacha. Angalia hapa maelezo ya uraia pacha na niulize swali lolote nitakujibu

    Nimekuwa nikisoma maoni na hoja za watu kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha, na nimeshangaa sana na kugundua watu wengi sana wanaotoa maoni kuhusu uraia pacha hawaelewi kabisa inakuwaje mtu anakuwa na uraia pacha. Na hili nimeona hata toka kwa wanasiasa wanaopinga uraia pacha, na kuona kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…