Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,036
71,268
Et Baba wa nyumba...

Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.

Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa


Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..


👉
Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu


We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu 🤣


Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara
 
Baba kuwa na pesa na kujua kuendelea kuzizalisha inatosha

Hayo mengine ya kujua hesabu ni mambo madogo sana

Ni heri ujue kunyandua mbususu kwa ustadi kuliko hata kujua kanuni za trapezia
Watoto wenzake wanamwambia Binti yako..

Ngoja nikifika nyumban, namwambia Dadii anifundishe nielewe vizuri

Wee Dadii na litaulo lako vihesabu vidogo Hujui🤣
 
Hakuna mtu aliyemaliza darasa la saba miaka hio yaani 2005 kurudi nyuma akawa anakumbuka hizo hisabati na kama bado unakumbuka hizo hesabu either wewe Ni mwalimu wa hisabati shule ya msingi Kama sio mwalimu Basi ubongo wako huna kazi ya kufanya

Wanaozijua mpaka Leo Basi wamezipitia nankujikumbusha kwanza
 
Sasa mkuu, mtoto anasoma intaneshno af aulize swali kwa kiswahili, sijui upenyo, oh mzingo?
Hapo wahedi kbsa ni hyo shule maana kingledha pekee wanajua kufundisha mtoto ni "dadii".
 
Hakuna mtu aliyemaliza darasa la saba miaka hio yaani 2005 kurudi nyuma akawa anakumbuka hizo hisabati na kama bado unakumbuka hizo hesabu either wewe Ni mwalimu wa hisabati shule ya msingi Kama sio mwalimu Basi ubongo wako huna kazi ya kufanya

Wanaozijua mpaka Leo Basi wamezipitia nankujikumbusha kwanza
Maana yangu nihiyo hata km umesahau Dadii... Ivi mtoto anakuambia Dadii ivi..

Unashindwa hata kujipiga piga Dadiii kweli🤣🤣
 
Back
Top Bottom