swala

  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Suala la umeme naaamini Tanzania tunahujumiwa

    Naamini tunafanyiwa hujuma kwa sababu nishati ya umeme ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi. Tanzania ina kila kitu cha kulifanya Taifa hili kuwa moja ya Mataifa makubwa kiuchumi baada ya Misri,South Africa na Nigeria lakini bado tupo nyuma. Hapa tulipo kiuchumi sio sehemu yetu tunapaswa kuwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa na watoto wenu wa nje, Mnalitatuaje hili swala?? Msaada jamani naombeni....

    Kuna Kaka yangu mmoja kutoka kwa Baba mkubwa alizaa na mwanamke mmoja miaka kama 12 hivi iliyopita. Ila hawakufanikiwa kuwa pamoja baada ya mtoto kufikisha miaka 4 mama yake alimleta kwa Baba yake na kumpa na kumwambia yeye anaolewa kapata Bwana mpya. Basi kaka yangu huyu akamchukua mtoto wake...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia itisha kura ya maoni kupitia akaunti yako ya X kuhusu suala la Bandari, utapata picha halisi na ikusaidie kufanya maamuzi

    Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini. Rais Samia...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hapa Kuna Siri gani kuhusu ukiwa na hela unapoteza shauku ya Kupata kitu mfano swala la kuoa Mtu ukipata hela unalisahau kama huwa lipo.?

    Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela. Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
  5. Dickson Ng'hily

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

    Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya.... Hivi siasa ni nini na dini ni nini? Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini? Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi? Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani? Na siasa je, inafanyikia wapi...
  6. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Watu wangeshupalia suala la Katiba Mpya kama hili la Bandari tungefika mbali

    Ukitaka kujua hii nchi unafiki ni mkubwa, tazama tulivyo kidedea kuminyana na maswala ya bandari wakati swala la katiba (ambalo ndio source ya haya yote) tumesinzia. CCM na katiba leo hii ndio imetufikisha hapa. Tumeshindwa kudai katiba basi hata hili la bandari tutulie kimya, maana bado nguvu...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe, swala la mkataba wa bandari si la kisiasa ni la kiuchumi

    Kuna watu wanapotosha kuwa TEC imeingilia maswala ya kisiasa. Kwamba TEC iache kuchanganya dini na siasa. Ninachopenda mfahamu ni kwamba, michakato katika nchi imegawanyika katika sehemu tatu Siasa, uchumi na jamii...yaani political, economic and social. Swala la mkataba wa bandari si swala la...
  8. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

    Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar. Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania...
  9. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Swala la mkataba wa bandari na baraza la maaskofu naanza kuliona kwa jicho lingine tofauti

    1) tukumbuke kanisa katoliki lina wasomi wengi sana tena wenye uwezo na elimu za juu sana na kikubwa zaidi wana intelligence system yenye nguvu sana kote duniani. Ukiona jambo wameshikilia msimamo ujue kuna kitu. 2) Najiuliza sana kwanini hawa DP wanakuja tu baadhi ya sheria zinataka...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

    Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo. Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowaamrisha kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama...
  11. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania Askofu Profesa Victor Chisanga kaambiwa na Mwenyezi Mungu asitii mamlaka kwenye swala na bandari bali ampinge Rais

    https://youtu.be/CsfIiDj5LQY Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
  12. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Jinsi suala la bandari linavyoidhalilisha na kuichafua LHRC

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ki ukweli hili suala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia ilikuwa ni lazima litokee ili tuweze kuwajua wale Chui na Simba, waliojivika ngozi ya Kondoo na Swala. Watanzania wenye akili zetu timamu we...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Swala na Tembo waanze kushituka na kukimbia

    Tembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe ni mbuzi? Mbuzi akasema kwa mfumo wa sheria ninao uona kijijini, itanichukua miaka 20 kuwashawishi...
  14. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Makamanda suala la DP World mmelipeleka kasi kiasi cha kuwagawa watu na kukosa umoja kwenye hili jambo

    Makamanda swala la DP World lilianza vizuri kwa kujadili kwa hoja na staha kubwa kiasi cha watu ku-concetrate kwenye hili swala moja tu la DP World na IGA. Ghafla speed ikaongezeka kwa kasi na kuanza kumuhusisha Magufuli na mkataba wa bandari, wakati ni ukweli ulio wazi Magufuli wapo...
  15. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wajue hawapambani na Waarabu au Rais Samia bali Mwingereza. Hawatashinda kamwe

    Uingereza ilikuwa na uchumi mkubwa duniani kwa zaidi ya miaka 200+ kwa kuweza kudhibiti njia za majini na karibu bandari zote ulaya kuanzia Karne 15. Kifupi ilijengwa na uchumi wa bandari. Ukiigusa Dubai unaigusa Uingereza. Hata Mjerumani alipoachiwa Tanganyika hakuachiwa pwani yoyote. Pwani...
  16. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mama asisumbuliwe kwenye suala la bandari. Marais waliopita waliuza krb kila kitu, yeye kaaamua kumalizia kilichobakia

    Tuseme tu ukweli. Nyerere aliwanyanganya kila kitu Wageni. Alipoondoka tu. Mwinyi akauza migodi iliyokuwa ikifanya kazi akaanza na mwadui. Polisi kibao wakaondolewa uko. Mkapa akaja akagawa migodi yote adi ya wachimbaji wadogo. Buzwagi, geita na bulyankuru na yeye akajipati wa kwake kiwira...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Suala la Viza ya Marekani na Canada Serikali ya Tanzania ivunje ukimya, foreign affairs watimize majukumu yao

    Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya. Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...
  18. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla, Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili. 1. Dar es Salaam ndio...
  19. Leak

    JamiiForums Tanzania MwanaCCM huyu ni nani? Anaitaka Serikali kutowaruhusu wachekeshaji kuongelea suala la bandari kwa niaba ya watanzania au Serikali! awataja Kitenge

    Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa Serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea suala la bandari Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu...
  20. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuhusu suala la Bandari

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI. 1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu. 2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
Back
Top Bottom