swala

  1. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Wakati vijana wanapambana na swala la kutafuta ajira au kujiajiri

    Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume. Mambo yamegeuka kabisa. Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date. Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

    Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama Lushoto, Moshi, Dodoma, Kahama na Morogoro na nimebahatika kutembelea kwa sana mikoa ya Dar, Arusha...
  3. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kumekucha, ni suala la muda tu. Taratibu sote tutaelewana na kuongea lugha moja!

    Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi. Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli. Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize...
  4. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Suala la bima ya Afya kwa pamoja

    Habari wana jamvi, naona bunge na Serikali ikiwa na hoja nzuri yenye mtazamo wa kuweka mazingira ya wananchi kupata afya kwa mfumo wa bima. Kwakuwa ni shirika moja ndio linalotegemewa (NHIF) kwenye hiyo bima ya pamoja kwa watanzania wa maisha ya kati na chini zinaweza tokea changamoto hizi:-...
  5. Pekejeng

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
  6. ferucho lamborgini

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusiana na swala la website

    Nahitaji kufungua website kwa ajili ya biashara. Nimepitia baadhi ya nyuzi tofauti tofauti kuhusiana na maswala ya website na aina zake nimepata mwanga angalau kidogo. Ila bado nina maswali kwa wataalamu, naombeni mnisaidie a] Nitajuaje kama website niliyotengenezewa na web designer kama ni...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga: TANESCO imezidiwa, kuwepo na taasisi/wakala tatu (3) zinazosimamia suala la umeme nchini

    Nimechangia Bungeni namna mahitaji na matumizi ya Umeme yalivyoongezeka nchini, wakati TANESCO inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa ndogo, usambazaji wa umeme ulikuwa kwa kiwango kidogo. Tunapozungumza leo, uwekezaji uliopo nchini wa viwanda na migodi (Mfano Mgodi wa Geita kwa siku moja unatumia...
  8. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Athari za mabadiliko ya tabianchi hususani mito kwenye swala la mafuriko

    Mito ni mwendo wa maji ambao unachukua maji kutoka maeneo ya juu kwenda maeneo ya chini kwa njia ya asili au ya kibinadamu. Kwa kawaida, mito huanzia katika vyanzo vya maji kama vile chemchem, maziwa, au barafu inayeyuka katika milima, na kisha maji hukusanyika pamoja na kuanza kusafiri chini ya...
  9. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Je, Familia inaweza kushtaki ama kushtakiwa? Sheria inasemaje juu ya swala hili?

    Labda nianze kwakusema wazi kwamba kwa mujibu wa sheria zetu Tanzania, Familia haiwezi kushitaki wala kushitakiwa. Kuelewa zaidi juu ya swala hili, nikukaribishe kuisoma Thread hii. ANGALIZO: Thread hii inalenga kujibu swali la kisheria kuhusu uwezo wa familia kushitaki ama kushitakiwa...
  10. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya hali ya hewa kuhusu swala la mvua na mafuriko

    MJADALA WA MAWAZO : Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kinaweza kusababisha mafuriko kutokana na sababu kadhaa, zikiwemo: Mvua kubwa na ya muda mrefu. Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kunaweza kusababisha mvua kubwa na ya muda mrefu ambayo inaweza kuzidi uwezo wa mifereji ya maji ya asili...
  11. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Wanawake naombeni mnipe elimu juu ya hili swala

    Habari 👋 Wakuu naombeni mchango wenu, ni swala linalohusu mahusiano. Nipo katika mahusiano na mwanamke(22) ambaye juzi nimetoka kumtoa bikra. Cha kushangaza ni kwamba maumivu kwake hayakati, hii ni mara ya nne sasa tunafanya mapenzi lakini bado anasikia maumivu, hii ni hali ya kawaida?? Mara...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Swala ya Eid el Fitri, Msikiti Masjid Zinjibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Dini, Serikali pamoja waumini wa Dini ya Kiislamu Wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussen Ali Mwinyi katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa katika Msikiti...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kifupi suala la umeme limemshinda kabisa Rais

    Ndio Mama ni kama ameshindwa sasa kutatua changamoto za umeme na Siasa chafu. Huu ukatikaji wa umeme tena masika ni wa kiwango cha juu mnoooo toka nizaliwe. Sio mgao ni ukatikaji umeme. Sipo kwenye bwawa ila nahisi vitu vitatu. 1. Tumenunua mitambo chakavu bwawa la mwalimu nyerere 2...
  14. 0

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu ndugu zangu katika ili swala

    Kudos wanajf wote, nayaandika haya yote hapa kwenu nikiamin great thinkers na watu wenye ushauri mzuri mpo hapa, utani pia na kukosolewa naruhusu. Naomba mnivumilie stori ni ndefu kidogo ila nitashukuru kama mtanisoma mpaka mwisho; Ni saa 9 za usiku usingizi unatoweka ghafla,Nasikia sim kwa...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

    Yani mimi na kufanya yote nchi hii ila suala la kununua ardhi ni muoga sana. Ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine. Kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana mirathi wengine walikuwa hawajapata stahiki, ilibidi kuongeza pesa tena ili kukamilisha manunuzi.
  16. Chiferereji Cha jisatu

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa TANAPA kuweka kikomo cha umri kwenye nafasi zao za kazi

    Jana Tanapa wametoa nafasi za kazi lakini ambacho mimi mmeshangaa. Kuna limited age. Mwenye diploma usizidi 25year na Mwenye Degree asizidi 30years. Au baada ya kigezo Cha JKT kutolewa Kwa Sasa Kuna limited age au kwenye miongozo Yao ya kazi ipo ipo Kwa upande wao. Serikali iliangalie hili...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga! Hizi nchi za watu wenye low minded people...
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Jemedari Saidi aja juu suala la Manula kukaa benchi.

    Meneja wa Aishi Manula, Jemedari Said awajia juu viongozi na mashabiki wanaomlaumu Aishi Manula kwa kufungwa nabangula. "Kuna timu zinajimilikisha UHALALI WA KUSHINDA tu kwenye ligi yetu, zenyewe zikifungwa basi wachezaji WAMEUZA ! Kwani nyinyi timu zenu hazifungwi kawaida kwa kuzidiwa tu...
  19. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nida na watu wa mitandao acheni ubabaishaji katika suala la kufuta usajili wa namba

    Mbona kusajili mnatuma mawakala mpaka maporini huko wanafika na usajili unafanyika bila mlolongo wowote iweje kufuta namba mpaka mtu afike kwenye duka la mtandao husika? Yaani mnaendekeza faida tu kwa upande wenu bila kujali madhara kwa mteja na jamii yake au taifa kwa ujumla! Kumbukeni baadhi...
  20. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Suala la mipango miji ndo imetushinda kabisa waafrika.

    Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni mbaya sana sio nzuri kabisa sababu kubwa na kutokuwepo kwa mipango miji ambayo ndo chachu ya kupendezesha miji Kama umeshawahi kwenda nchi yeyote ya western utaona jinsi kulivyo pangiliwa na kunavyopendeza mfano ukienda japan ni super clean na huwezi ona...
Back
Top Bottom