Mama asisumbuliwe kwenye suala la bandari. Marais waliopita waliuza krb kila kitu, yeye kaaamua kumalizia kilichobakia

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Tuseme tu ukweli.

Nyerere aliwanyanganya kila kitu Wageni. Alipoondoka tu. Mwinyi akauza migodi iliyokuwa ikifanya kazi akaanza na mwadui. Polisi kibao wakaondolewa uko.

Mkapa akaja akagawa migodi yote adi ya wachimbaji wadogo. Buzwagi, geita na bulyankuru na yeye akajipati wa kwake kiwira.

Jk alipokuja akakuta kila rasilimali imeuzwa. Akawatisha kidogo wazungu waongeze mrahaba. Wakaongeza asilimia 2 tu kutoka 3 Hadi 5. Akaona hapati kitu bana akamnyanganya mkapa ka mgodi kake. Alipoona hakuna maokoto akafikilia wee akageukia gesi ya mtwala akatulia.

Magufuli alipokuja Nayeye akawatisha wazungu wakagoma kumuongezea mrahaba. Sasa hekima akaona havitakiwi. Akaanza kuwanyanganya tu walivyopewa na watangulizi wake. Katuachia kesi kibao hahahaha.

Mama alipokuja akaangalia kila kitu kishauzwa. Na akiwapora atafunguliwa mashitaka. Daaah akachungulia fursa tu. Na yeye Mambo yaende. Ndio akamalizia ka bandari Sasa.

Nampongeza kwa ubunifu. Hajagusa vilivyouzwa na wenzake. Katafuta ka kwake na yeeye kagawa. Kwanza wakasaini ndio akawaita wabunge kuwaambia. Kaona ka bandari kamoja hakatoshi watu walishauza kila kitu. Nazani amalizie na viwanja vya ndege kabisa.

CHADEMA wasitusumbue wenyewe wakichukua nchi vipo vya kumalizia kabisa. Watauza Sgr itakuwa Bei nzuri, Tanesco na bwawa la mwalimu nyerere na hata bahari ikiwezekana.

Au watauza ata kisiwa au rasi Kama kigamboni. Ivyo wasiwe na wasiwasi.
 
Huyu mama nimeambia kaundiwa ajali ya kisiasa ccm wenywe wamegawanyika atapata ajli mbaya Sana ya kisiasa Ni Bora ajali ya gari ila CYO ya kisiasa wee subirini

Ccm Ni manyangau Wana hamu na madarak kuliko hate hamu na wake zao na mam zao hawaogopi lolote ili mradi awe kiongozi
 
Sijamsikia mwigulu siku nyingi au ndio Raisi ajae.
 
Tuseme tu ukweli.

Nyerere aliwanyanganya kila kitu Wageni. Alipoondoka tu. Mwinyi akauza migodi iliyokuwa ikifanya kazi akaanza na mwadui. Polisi kibao wakaondolewa uko.

Mkapa akaja akagawa migodi yote adi ya wachimbaji wadogo. Buzwagi, geita na bulyankuru na yeye akajipati wa kwake kiwira.

Jk alipokuja akakuta kila rasilimali imeuzwa. Akawatisha kidogo wazungu waongeze mrahaba. Wakaongeza asilimia 2 tu kutoka 3 Hadi 5. Akaona hapati kitu bana akamnyanganya mkapa ka mgodi kake. Alipoona hakuna maokoto akafikilia wee akageukia gesi ya mtwala akatulia.

Magufuli alipokuja Nayeye akawatisha wazungu wakagoma kumuongezea mrahaba. Sasa hekima akaona havitakiwi. Akaanza kuwanyanganya tu walivyopewa na watangulizi wake. Katuachia kesi kibao hahahaha.

Mama alipokuja akaangalia kila kitu kishauzwa. Na akiwapora atafunguliwa mashitaka. Daaah akachungulia fursa tu. Na yeye Mambo yaende. Ndio akamalizia ka bandari Sasa.

Nampongeza kwa ubunifu. Hajagusa vilivyouzwa na wenzake. Katafuta ka kwake na yeeye kagawa. Kwanza wakasaini ndio akawaita wabunge kuwaambia. Kaona ka bandari kamoja hakatoshi watu walishauza kila kitu. Nazani amalizie na viwanja vya ndege kabisa.

CHADEMA wasitusumbue wenyewe wakichukua nchi vipo vya kumalizia kabisa. Watauza Sgr itakuwa Bei nzuri, Tanesco na bwawa la mwalimu nyerere na hata bahari ikiwezekana.

Au watauza ata kisiwa au rasi Kama kigamboni. Ivyo wasiwe na wasiwasi.
Bibi matope a.k.a Bibi matozoa
 
Huwezi ukalinganisha suala la Loliondo na hili la bandari. Ni vitu tofauti kabisa.

Bandari kumefanyika uwekezaji unaokwenda kufutilia mbali wapigaji na kilio kinachosikika na ule ukweli kuwa umeshazifikia akili zao kwamba hakuna tena pesa za kukinga tu pale TPA ziwe ndani ya kila mwezi zimeshaingia kwenye akaunti.

Nchi kwa ujumla imejiongeza sana kiuchumi kwa kufungua reli ya kisasa, viwanja vya ndege kila mahali na bandari inayoendeshwa kisasa.

Suala la bandari liangaliwe kwa jicho chanya na sio kwa hoja hasi za kishabiki ndio mantiki yake inaweza kueleweka.
 
Back
Top Bottom