swala

  1. hp4510

    Suala la Bandari tukubali tunahitaji msaada

    Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna Sasa Leo anakuja mtu...
  2. Mr Dudumizi

    Swala la ardhi ya Bagamoyo ni strategy ya kisiasa tu, lakini kiuhalisia serikali ya Zanzibar haimaanishi kile ilichoongea

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kuna mshituko mkubwa umetukumba watanganyika, hasa kuhusu hili swala la serikali ya Zanzibar kudai kuwa ina eneo lake la ardhi huko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kama ilivyo kawaida ya baadhi yetu, huwa hatukurupuki kulalamika bila kufuatilia kwa makini kina cha...
  3. M

    TUCTA kwa nini hamjamuunga mkono Ester Bulaya kwenye suala la Kikokotoo?

    Picha: Ester Bulaya Ninashangaa pamoja na baadhi ya wabunge kuwapigania wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo kinachowanyonya wafanyakazi, Wakiongozwa na mbunge Ester Bulaya lakini viongozi wa TUCTA wamekaa kimya. Hiyo ndo dalili ya usaliti sio bure mtakuwa na maslahi fulani mnapata. Katibu...
  4. William Mshumbusi

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria. Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la. Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli. 1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema. 2. Sms za...
  5. Z

    Serikali inaposhughulikia suala la wafanyabiashara Kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi, tunaonewa sana

    Serikali inaposhughurikia swala la wafanyabiashara kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi: tunaonewa sana kwa kweli. Mifano iko wazi: 1. Kwa mfano, daktari akilala zamu anapolipwa call allowance lazima akatwe VAT 2. Daktari au nesi akilipwa extra duty allowance lazima akatwe VAT 3...
  6. angel_papaa

    Naomba ushauri kuhusu sharing kwenye biashara ndogondogo

    Kabla ya kuingia kwenye share, vitu gani lazima vizingatiwe???
  7. B

    Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake?? Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna...
  8. PakiJinja

    Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote. Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko. Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo...
  9. N

    Hili swala linanitatiza! michango yenu ya mawazo jamani!

    TANZANIA KUNA WAJINGA WENGI SANA!!SASA KWA NINI SIKUKUU YA WAJINGA YA TAREHE 1 MWEZI 4 MWAKA 2023 IMEKOSA SHAMRASHAMRA? JE IMECHANGIWA NA SIKUUU HII KUANGUKIA MWEZI AMBAO WATU WA DINI ZOTE WAMEFUNGA?AU KUTOKANA NA KUKITHIRI KWA UJINGA KUMEFANYA WASAHAU KUSHEREKEA SIKU HII MUHIMU?
  10. Intelligent businessman

    Kisa Cha Mume, Mke jeuri na Punda kimenichanganya kuhusu sala la ndoa

    Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu chochote. Wakati pekee aliopata nafuu ni ule wakati aliokuwa nje shambani akilima na punda wake mzee...
  11. ASIWAJU

    Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

    Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........) Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka...
  12. DR HAYA LAND

    Je, Serikali inazungumziaje suala la wanafunzi kukaa na njaa shuleni hadi usiku?

    Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu. Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala na wakifika shule hamna uji Wala chakula na mwanafunzi ili Afike kwao Mbagara, Gongo la Mboto au...
  13. William Mshumbusi

    Kama Feisal Salum angekuwa sio mtanzania, TFF isingeweka kiza kwenye suala lake. Akijichukulia ni Mzanzibari atapatiwa haki haraka

    Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba" Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu. Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
  14. William Mshumbusi

    Licha ya Feitoto kuomba apatiwe mapitio ya uamuzi wa swala lake, kwanini Hadi leo TFF haijampatia pitio Hilo ili kuona vipengere vilivyombana?

    Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa. Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff...
  15. DR HAYA LAND

    Suala la Usafi na Uchafu lipo hivi

    Mtu Msafi anapoona Uchafu katika Mwili wake, Gheto au nyumba barabarani nk anapata Hasira na kero katika moyo wake. Na kwa mtu mchafu Uchafu kwake sio tatizo mfano kwa Mtu msafi hawezi kulala na Malaya au kuingia kwenye magheto ya mademu wa kimboka Mula ndani pachafu pananuka lakini Mtu anazama...
  16. YB Renny

    Suala la ukusanyaji taka mitaani, majumbani na maeneo ya hadhara

    Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
  17. Analyse

    Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

    Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case. Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka...
  18. Mganguzi

    Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
  19. L

    Naiomba Serikali ilitizame upya suala la watumishi kukaa mbali na familia zao

    Mimi ninaomba kuwepo na utaratibu wa kuangalia uwezekano wa wanandoa ambao ni watumishi wa umma kukaa karibu na familia zao. Ndoa nyingi sasa hivi zipo mashakani kwa sababu ya kazi mfano unakuta mama Ni mwalimu Bukoba, halafu baba naye yupo Mtwara. Na mifano mingine tunaona hata utendaji tuu wa...
  20. chiembe

    Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

    Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel. Je Haji anachapiwa? Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao. Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila...
Back
Top Bottom