kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,309
- 12,604
Moja ya njia za kuzuia kuenea kwa virusi vya ugonjwa hatari wa korona ni kuacha kushikana mikono. Waislam wana tabia ya kushikana mikono baada ya kumalizika kwa swala.
Je, inaswihi kuacha kushikana mikono baada ya swala ya jamaa?
Je, kushikana mikono baada ya swala ni agizo la dini au khiari tu ya muumini?
Mufti anasemaje kuhusu waislamu kupeana mikono?