Lile tamko la RC Makonda kuhusu mashoga katika mkoa wake limeleta mabadiliko yeyote katika swala hilo?

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
8,486
2,000
Hili tamko la kukomesha mashoga katika mkoa wa mwenye mkoa lilikuwa na strategy plans? Llilifanikiwa kukomesha mashoga katika mkoa? Kama halikufanikiwa ilikuwa ni kauli tu ambayo sasa anailipia gharama kubwa?
Malipo ni hapa hapa duniani....haka kamsemo nakatafuta kwenye biblia kame andikwa kitabu gani na mstari gani sikaoni pia najiuliza kwanini huwa kanatimia??
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
2,894
2,000
Watu walipokaa wakandika katiba na kuweka viapo vya kuulinda katiba si wajinga sasa dogo alijua katiba si maandishi kwanini bwana haya sasa bundi kashalia juu ya nyumba kazi kwenu na imani yenu
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,918
2,000
Marekani siyo mbinguni! Nitamuunga mkono MTU yeyote mwenye ujasiri wa kukemea ushoga hadharani. Kwa marekani mashoga huitwa "kundi maalumu"! Eti haki za kundi maalumu (za kufwilw*) lazima zilindwe!! Watukom*!
Siwezi kuunga mkono yeyote amwondoleaye mwingine haki ya kuishi. Lakini siwezi pia kumtuhumu Mtu tuhuma kubwa kiasi hicho cha kuondoa uhai wa MTU kwa kigezo cha hisia tu na maneno ya watu!! Hukumu hiyo namwachia Mungu aonaye sirini na atahukumu kwa haki.
Lakini Marekani haina nguvu ya kimaadili (moral authority) ya kukemea MTU aondoleaye mwingine haki ya kuishi maana yenyewe ndio muuaji mkubwa. Hakuna Taifa chini ya jua kwa sasa linalomwaga damu zisizo na hatia kama Marekani!; 1. Juzi tu wamemwua kamanda wa Iran nje ya uwanja wa vita na kujisifu bila Aibu! Japo baadaye alipigwa Kofi LA USO na Iran wala hakuthubutu kurudishia maana alikuwa ameshikwa pabaya! Mzee mzima akaadhirika japo alidai hakuna askari wa marekani aliyedhurika japo baadaye alilazimika kukubali kuwa zaidi ya askari 50 wana hali mbaya kutokana na Kofi hilo LA USO LA Iran.
2. Marekani iliisingizia Iraq kuwa ina silaha za maangamizi huku wakijua kuwa ni uongo na wakaishambulia Iraq na kuua maelfu ya watu wasio na hatia.
3. Waliisingizia Syria kuwa imetumia Silaha za kemikali dhidi ya wapinzani wake na wakaamua kuishambulia na kuua mamia ya watu. Imeshadhihirika kuwa ulikuwa ni uongo!
Hatuhitaji kwenda Marekani! Taifa limwagalo damu duniani kote! Marekani ni Sodoma ya leo!! Mimi nadhani na sisi tuwapige marufuku wasije Tanzania!! Nchi inayokumbatia mashoga na wasagaji nani anaitaka!!!
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,855
2,000
Alijifanya kelele za ushoga kupatia kiki, sasa dalili za kuingia Segerea ni kubwa mno.
Jee Segerea atapona na maumbile yake yale? Yule Scorpion hawezi kuwa kapelekewa mke kabisa?
 
Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
35,219
2,000
Marekani siyo mbinguni! Nitamuunga mkono MTU yeyote mwenye ujasiri wa kukemea ushoga hadharani.
watu wanaopinga ushoga kama wewe, mara nyingi ni mashoga, wanatumia platform hiyo ili kuji-camouflage kwenye Jamii...Mnatumia nguvu kubwa ili msijulikane....
Jichunguze na pia mchunguze huyo Bashite kuna kitu hakipo saw a...
 
Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
35,219
2,000
Alijifanya kelele za ushoga kupatia kiki, sasa dalili za kuingia Segerea ni kubwa mno.
Jee Segerea atapona na maumbile yake yale? Yule Scorpion hawezi kuwa kapelekewa mke kabisa?
Kuna uzi upo humu wadau wanadai jamaa anapangishia vijana wadogo appartment ili wamkaze....
 
Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,253
2,000
Kwani Tanzania ni Jimbo mojawapo ndani ya Marekani?Tell the Imperialists we are not gays.We have our Traditional style of Life as Africans not every whitemen system is solution to Africa
 
mdesi

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
1,257
2,000
mbingunikwetu,
Mkuu kwanini mnaweka attachment za ushoga wakati ujumbe wao uko wazi kabisa kuwa anatuhumiwa kunyima watu haki za kuishi?? Mnalazimisha ionekane eti kwa kuwa anapinga ushoga. Lini bashite amefanya Vita ya kukomesha ushoga? Mbona kenya wameweka Sheria hakuna ushoga kwanini wao hawajapigwa ban?
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
10,108
2,000
Marekani siyo mbinguni! Nitamuunga mkono MTU yeyote mwenye ujasiri wa kukemea ushoga hadharani. Kwa marekani mashoga huitwa "kundi maalumu"! Eti haki za kundi maalumu (za kufwilw*) lazima zilindwe!! Watukom*!
Siwezi kuunga mkono yeyote amwondoleaye mwingine haki ya kuishi. Lakini siwezi pia kumtuhumu Mtu tuhuma kubwa kiasi hicho cha kuondoa uhai wa MTU kwa kigezo cha hisia tu na maneno ya watu!! Hukumu hiyo namwachia Mungu aonaye sirini na atahukumu kwa haki.
Lakini Marekani haina nguvu ya kimaadili (moral authority) ya kukemea MTU aondoleaye mwingine haki ya kuishi maana yenyewe ndio muuaji mkubwa. Hakuna Taifa chini ya jua kwa sasa linalomwaga damu zisizo na hatia kama Marekani!; 1. Juzi tu wamemwua kamanda wa Iran nje ya uwanja wa vita na kujisifu bila Aibu! Japo baadaye alipigwa Kofi LA USO na Iran wala hakuthubutu kurudishia maana alikuwa ameshikwa pabaya! Mzee mzima akaadhirika japo alidai hakuna askari wa marekani aliyedhurika japo baadaye alilazimika kukubali kuwa zaidi ya askari 50 wana hali mbaya kutokana na Kofi hilo LA USO LA Iran.
2. Marekani iliisingizia Iraq kuwa ina silaha za maangamizi huku wakijua kuwa ni uongo na wakaishambulia Iraq na kuua maelfu ya watu wasio na hatia.
3. Waliisingizia Syria kuwa imetumia Silaha za kemikali dhidi ya wapinzani wake na wakaamua kuishambulia na kuua mamia ya watu. Imeshadhihirika kuwa ulikuwa ni uongo!
Hatuhitaji kwenda Marekani! Taifa limwagalo damu duniani kote! Marekani ni Sodoma ya leo!! Mimi nadhani na sisi tuwapige marufuku wasije Tanzania!! Nchi inayokumbatia mashoga na wasagaji nani anaitaka!!!
Unayemtetea mwenyewe ni shost, au hujui kuzàa mpaka agongewe na mtu? Uliza Le Mtuz anashinda kwake kufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
9,951

Hapo sawa, wao wanakumbatia mashoga na sisi tunakumbatia wauaji wanaotuua sisi wenyewe!! Marekani inatuma jeshi lake Iraq kupiga ili maisha ya raia wake yawe bora zaidi,huku afrika serikali inatuma jeshi liwaue raia wake yenyewe kwa sababu wamehoji uhalali wa jambo fulani,marekani inataka kila mmoja wa raia wake afurahie maisha bila kumdhuru wala kuingilia uhuru wa mwingine,tanzania inataka kila raia amwogope na kumtukuza kiongozi flani bila kujali ukatili wake kwa raia,mbingunikwetu ni chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom