swala

  1. Naungana na CHADEMA kwenye suala la kuitafuta Katiba Mpya, wakati wa Katiba Mpya ni sasa

    Hata kama CHADEMA wanaitaka Katiba mpya ili waweze kushiriki uchaguzi wenye ushindani halali bado katiba mpya ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu. Katiba ya sasa ina mapungufu mengi sana. Kwanza swala la elimu halikuzingatiwa kabisa katika kuwapata viongozi mbalimbali. Dunia ya sasa...
  2. Warning: Epuka kuingia kwenye mahusiano yeyote kwa nia ya kupata ndoa utakuja kuumia

    Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
  3. U

    RC Hapi aswalisha suala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Musoma Mara

    Wadau wa JF Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Hapi ameshiriki Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Musoma Mkoani Mara Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mara Msabaha Kassimu alimpa nafasi ya Kuswalisha Mheshimiwa Hapi Mheshimiwa Hapi baada ya suala alitoa hotuba na alihimiza Umoja...
  4. R

    Siku hizi ukitangaza Ndoa na una mwelekeo wa maisha, suala la Mahari hawakulazimishi sana

    Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu. Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana wa kiume waliokuwa wakiogopa mambo ya mahari kwanza. Siku hizi mambo mbwelele. Siku za nyuma ili...
  5. Kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza MZUMBE mjomba alinihusia swala la kusave bumu

    Habarini za leo wakuu, Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa. Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
  6. Naomba ufafanuzi kuhusu hali hii wajuzi

    I'm fine now thank you. It was nothing serious. Regards.
  7. M

    Serikali: Suala la Covid-19 tunachafuka kupitiliza

    Nikiwa katika moja ya Airport zetu nikisubiri kupanda ndege ya Qatar kwenda Uarabuni, nilikutana na kundi la Watalii kama 9 waliokuwa wanarudi kwao Marekani wakiwa na malalamiko mazito sana. Hawa Watalii walikuwa na hasira isiyo ya kawaida wakilalamikia utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania na...
  8. J

    Kitakachowaondoa akina Halima Mdee ni "jinai" ya wao kuingizwa Bungeni siyo suala la Uanachama wao

    Uwepo wa Halima Mdee na wenzake bungeni msingi wake ni barua ambayo Chadema wameikana kuiandika wao yenye majina ya wanawake 19 waliopelekwa bungeni. Mchawi wa CHADEMA ni Tume ya uchaguzi wala siyo ofisi ya Spika wa bunge Mh Job Ndugai. Kama Mdee na wenzake walighushiwa barua ya kuwaingiza...
  9. J

    Suala la Halima Mdee na wenzake linafanana sana na lile la mbunge Kihiyo wa Temeke 1995, hatimaye Kihiyo alipoteza ubunge

    Sisi wahenga tukiliangalia tukio la wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee tunaweza kulifananisha na lile la mbunge wa Temeke 1995 mh Kihiyo. Kihiyo siyo kwamba hakusoma shule, No alisoma isipokuwa alicheza na makaratasi ili aonekane almaarufu wakati sifa ya mbunge ni kujua...
  10. N

    Swala la chadema kuwakomalia covid-19 halina mantinki pana zaidi ya kuendeshwa na wivu na mihemuko..

    Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na watanzania wengi kwamba haukuwa wa haki na kupelekea zaidi ya 99% ya wabunge wa ccm kuteuliwa na katika...
  11. Dr. Festus Limbu, binafisi nimekuelewa saana kwa hili swala wafanyabiashara wakubwa

    Hii makala inapatikana katika gazeti la jamhuri la april 6,2021
  12. Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

    Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
  13. Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Kajibu hivi 'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.' Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
  14. T

    Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
  15. Kalemani Jiuzulu umeshindwa kuwajibisha wanaotukwamisha kwenye suala la umeme

    Wana JF Tulipoingia awamu ya Tano W. Kalemani alitamba kuwa wenye viwanda kawekeze kwani hali ya umeme katika grid ya taifa ipo njema. Na akaisitiza mkoa utakaokatiwa umeme mameneja watawajibishwa. Leo hii nipo kikazi sehemu nasubiri umeme siku ya tatu. Kiwanda kimesimama. Moshi na Arusha...
  16. Ukomo wa umri ni moja ya ubaguzi katika suala la ajira unaopaswa kukemewa

    Habari wadau! Hili swala la ukomo wa umri katika suala la ajira binafsi naona litakuja kuwagawa watu wengi hususa kizazi hiki cha sasa. Ajira zinatolewa unaambiwa applicant must not exceed 30yrs au 35yrs. Nina uhakika wengi tunamaliza vyuo tukiwa na 23-25yrs jumlisha miaka ya kusugua gaga...
  17. Mna maoni gani kuhusu hili suala la uvamizi wa Al-Shababu hapa Palma?

    Habari wadau! Kutokana na vyanzo mbalimbali vya vyombo vya habari inasemekana kikundi cha watu wajulikanao kama Al-shababu wamevamia mji wa Palma. Lakini kuna nadharia mbalimbali zimeenea mitaani kwamba watu hao waliovamia Msumbiji au jamhuri ya watu wa Mozambique sio Al-shabab bali ni siasa...
  18. Mafundi feniture wengi wa Mwanza si wabunifu wanazidiwa na wa Morogoro

    Nikifanya mlinganisho kati ya mafundi feniture wa Mwanza na Morogoro naona kabisa wale wa Mwanza ni zero. Yaani mtu anatumia mninga sijui, una makovu mara brown imekoza kwingi sehemu nyingine haijakoza sasa anachonga kitanda sijui meza alafu anapiga vanish kisha anauza kitanda kina mabaka...
  19. J

    Hili swala limekaaje wadau wa Elimu

    Habari wakuu! Mm ni mzazi na mlezi!! Vyuo vya maendeleo ya jamii (FDC)! Ni Vyuo vya serikali ambavyo vipo chini ya usimamizi wa VETA! Vyuo hivyi vinatoa mafunzo ya ufundi stadi kama ya Vyuo vya VETA, mfano kozi ya umeme, magari, ushonaji, uashi, useremala n.k! Hata mitihani wanayofanya ya...
  20. Suala la watalii kutokurudi tena Tanzania wanapokuja mara moja, huduma zetu ziboreshwe

    Nchi nyingi zinazotegemea utalii katika uchumi wa Taifa, zimelenga kupata watalii wengi kwa gharama nafuu. Nchi nyingi zinafanya package holiday, ambayo watalii wa kipato cha kawaida wanaimudu. Si wazungu wote kuwa ni matajiri. Wazungu wanaotalii wengi wanategemea credit cards. Kwa gharama za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…