Ni kweli mazingira yana affect ubongo linapokuja suala la kufanya mapenzi?

Dit000

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
656
856
Wanasaikologia ni kweli wanandoa au wapenzi, wakifanya mapenzi sehemu za hadhi ya chini, kama vile msituni, shimoni, chini ya vibanda vya wazi, beach sehemu ya uwazi, vichochoroni, kwenye dari, n.k mwanamke au mwanaume ni ngumu sana kuyasahau hayo mazingira hadi uzeeni kulinganisha na waliofanyia mazingira ya heshima kama vile ndani ya nyumba, au lodges ama gest?

Eti kwamba mazingira hayo ya heshima yamezoeleka sanaa yanakuwa hayana upekee (unique) wowote hivyo kutotiwa sana maanani akilini.
 
Mbona mambo yako wazii tuu mkuuu...mfano meeeee....mademu niliowala uchochoroni na kwenye Mjumba ( PAGALE ) mpaka leo huwa nawamis...xiwezii kusahauuu aiseee...kama wawili ivi...na vile walikua warembo Daaah!! mpaka leo nikikumbuka hua siamini....


#ni kweli kabisa....ulichoulozaaa
 
Kafanyie zoezi hilijambo
Kama unagari au kaazime chukua demu mida ya jioni pakia akae siti yanyuma harafu tafuta pahala park

Mpigishane stori weweeeee tokasiti yambele Rudi alipokaa yeye mwambie fungua zipu mwisho mkunje mkunjo mzuri kwamba asogei ,hageuki wala kujinyoosha ukimaliza ,atakufuta mwenyewe bila kumkumbusha futahapa
 
Dunia inaenda kasi sana. Mwaka 2015 nilimnyandua mwalimu wangu aliyewahi kunifundisha sekondari siku za nyuma, jikoni, nyumbani kwake mara baada ya kukutana Tabora nilipoenda kikazi.

Nitaweka mkasa mzima kwenye uzi wa rikiboy . Ubarikiwe huko ulipo madam R. Ulinipa B ya somo lako na tunda ukanitunuku sitokusahau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom