suruali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lissu: Nilikaribia kuvuliwa suruali na Mashabiki wa Simba mwaka 1993

    Baada ya ubishani wa watani wa Jadi kupamba moto kuhusu timu ipi hasa imeshawahi kucheza Fainali ya Michuano ya Afrika. Wadau mbalimbali wanaibuka kutoa uthibitisho kutetea hoja zao. Mashabiki wa Simba wameleta video hii ya Tundu Lissu akifafanua kuhusu mwaka 1993 kwenda uwanjani kushuhudia...
  2. F

    Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

    Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri. Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu? Pili, nikajiuliza mbona watu wa...
  3. SI KWELI Kupakata laptop au kuweka simu kwenye mfuko wa suruali hupelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
  4. Mbeya: Wanafunzi wa Shule za Msingi za Umma waruhusiwa kuvaa Suruali

    WAZAZI na walezi jijini Mbeya, wamepokea kwa mikono miwili, maamuzi yaliyotolewa na serikali, kwamba wanafunzi wa shule za umma, wasichana na wavulana waanze kuvaa suruali, kutokana na mazingira ya Mkoa huo uliopo nyanda za juu Kusini, kuwa na baridi kali. Hayo yameelezwa na baadhi ya wazazi na...
  5. Nimekuta boksa na suruali kwenye chumba cha mpenzi wangu

    Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu na nimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa. Sasa nilipo fika nilimkuta kibarazani anapika aliponiona tu akahamaki uzuri mlango wa chumba chake ulikuwa wazi mimi...
  6. Biashara ya kuuza suruali za mtumba

    Ndugu Zangu Nimeanza Kufanya Biashara Ya Kuuza Suruali za Mtumba Kutoka Dar Naenda Kuuza Moro - Dodoma. Naombeni Mawazo ya Kukuza Biashara Yangu Kwa Wazoefu Wa Hii Kazi.πŸ™πŸ™πŸ™ Niwe Nafanya Nini Au Niongeze Nguo Za Aina Gani Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Naombeni Maoni Yenu Wadau.πŸ™πŸ™πŸ™
  7. Wapi ninapata suruali aina ya Chino (cadet)?

    Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho. Jana nimepita maduka ya Mlimani city, hakuna kitu cha maana. Ninaomba kufahamishwa wandugu
  8. Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

    Igwee! Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku yakukutana ili nimnyandue, siku ikafikia. Toto likasema halina nauli, nikamuagizia Bolt, mtoto akaletwa...
  9. Ukikuta hela kwenye mifuko ya suruali wengi tunazichukulia ni ujira wa kazi ya dobi

    Wakina kaka wanahamaki wanapokumbuka pesa zao kwenye mifuko ya suruali. Zile pesa huwa tunabadilishia menu nyumbani na kujilipa kwa kazi ya udobi. Mbona mna kuwa wapole tunapokuta condoms mifukoni?
  10. Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Habari wadau, Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimezaliwa kijijini na kukulia huko. Mjini wa mara ya kwanza nilikuja kwaajili ya masomo. Pamoja na kwamba kazi yangu inanilazimu kuvaa kistaarabu, bado nahisi sijafikia vile viwango ya kuwa "gentleman" na natamani sana kutupia pamba kama baadhi ya...
  11. Shinyanga: Suruali yenye damu yatengua hukumu ya kifungo cha miaka 30

    MAHAKAMA Kuu Masijala ya Shinyanga imeamwachia huru Daudi Manamba aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wa miaka sita. Mbele ya Jaji Elizabeth Mkwizu, mahakama ilitoa uamuzi huo baada ya kusikiliza rufani...
  12. Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

    Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje? Kwanini mtu usivae boxer...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…