Shinyanga: Suruali yenye damu yatengua hukumu ya kifungo cha miaka 30

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,558
MAHAKAMA Kuu Masijala ya Shinyanga imeamwachia huru Daudi Manamba aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wa miaka sita.

Mbele ya Jaji Elizabeth Mkwizu, mahakama ilitoa uamuzi huo baada ya kusikiliza rufani iliyokatwa na Manamba akipinga adhabu aliyopewa ya miaka 30 jela na Mahakama ya Wilaya ya Kahama.

Mrufani alipinga adhabu kwa madai kwamba Upande wa Jamhuri hakuthibitisha mashtaka bila kuacha shaka.
Upande wa Jamhuri ukiwakilishwa na Wakili wa Serikali, Enosh Kigoryo, ulidai Jamhuri imethibitisha bila kuacha shaka katika ushahidi wa mashahidi watatu akiwamo baba wa mtoto aliyebakwa.

Ulidai ushahidi unaonyesha tukio lilitokea Januari 21, mwaka 2017, maeneo ya Zongomela wilayani Kahama, baba wa mtoto akidai aliona damu katika suruali ya mtoto na alipomuuliza, alimtaja mrufani kuwa alimbaka.

Inadaiwa mtoto alikuwa akitoka shuleni, akiwa njiani alikutana na mrufani, akampeleka kwenye majani, akamwelekeza ainame, alimvua suruali na kuanza kumwingilia huku akiwa amemziba mdomo na kumtishia kumuua endapo angesema kwa mtu yeyote.
Alidai mtoto alikuwa akilia, lakini mrufani alimziba mdomo na kumtishia, ripoti ya daktari na ushahidi wa uchunguzi ulionyesha alibakwa na sehemu yake ya nyuma ilikuwa wazi kiasi ambacho kitu chochote kinaweza kupita.

Mahakama ya Wilaya iliona mashtaka yamethibitika bila kuacha shaka, hivyo mrufani alitiwa hatiani na kuhukumiwa kwenda jela miaka 30.

Mrufani alipinga adhabu hiyo kwa madai kwamba mashtaka dhidi yake hayakuthibitika. Mahakama baada ya kusikiliza rufani hiyo, iliikubali hoja za aliyekata rufani kwa kuwa katika ushahidi, ni vigumu kujua tukio lilitokea maeneo gani.

Sababu ya pili, suruali iliyokuwa ikidaiwa kuwa na damu haikutolewa mahakamani kama kielelezo na ushahidi wa upande wa mashtaka haukuwa na nguvu za kuthibitisha mashtaka bila kuacha shaka.

"Kwa kusema hayo, rufani inakubaliwa, adhabu ya miaka 30 jela inafutwa na mahakama inaamuru mrufani aachiwe huru gerezani," alisema Jaji Mkwizu.

Nipashe
 
Mrufani kaupiga mwingi na mtoto wa mtu ameliwa, inaumiza sana hii kwa wazazi wa mtoto na mtoto mwenyewe kama tukio ni la kweli.
Kama mrufani alisingiziwa hongera yake kwa kuepuka miaka 30 jela sio mchezo.
Inanipa hsida mtoto kulawitiwa siku moja tundu liwe wazi au mtoto ni tabia yake ?

Kwa wazoefu inawekena kweli mtoto kabakwa siku moja tunduiwe wazi mazima
 
Ukipaka ky au mate inapita. Nilipokua form one kuna mtoto wa darasa la sita (msichana) tulikua tunampiga mtungo mim na rafiki yangu jamaa anapiga mbele mim nipo nyuma. Nilikua naweka mate inapita vizuri tu
Wala hunidanganyi ktk hilo, umeshasema mtoto drs la 6, it means ana 11yrs kuja juu,
Huyu 6yrs n chekechea au std 1, ndo apokee mboo ya mtu mzima?

Hata ikitumika cyube ambayo ni utelezi pro max, kwa huyo mtoto haiingii hata, kwan hilo tundu lenyewe linafunguka bas?, sio tyuuh kwa msukumo wa mavi ambao kutoka ndan ya system,

Na sio kitu kutoka nje kiingie ndani, hili suala ni uongo, labda kuna kitu wanaficha.
 
Wala hunidanganyi ktk hilo, umeshasema mtoto drs la 6, it means ana 11yrs kuja juu,
Huyu 6yrs n chekechea au std 1, ndo apokee mboo ya mtu mzima?

Hata ikitumika cyube ambayo ni utelezi pro max, kwa huyo mtoto haiingii hata, kwan hilo tundu lenyewe linafunguka bas?, sio tyuuh kwa msukumo wa mavi ambao kutoka ndan ya system,

Na sio kitu kutoka nje kiingie ndani, hili suala ni uongo, labda kuna kitu wanaficha.
Sawa legendary tusibishane na mahakama.
 
Hakimu aliyesikuliza shauri la msingi inaonekana alikuwa akipewa maelekezo na watu wasiojulikana wa awamu ya tano. Inakuwa vipi unamfunga mtu miaka 30 bila uthibitisho wa kielelezo? Mzazi anadai aliona suruali yenye damu na kwamba hicho ndicho chanzo cha kesi ila cha kushangaza hiyo suruali ya damu haikuwahi kufikishwa mahakamani kama kielelezo.
Kisaikolojia watu wawili hapo katika kesi waliathirika na wanahitaji matibabu ya saikolojia.
Watu hao ni kijana aliyesingiziwa kubakwa na mrufani aliyesingiziwa kubaka.
 
Back
Top Bottom