Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
6,305
10,582
Igwee!

Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku yakukutana ili nimnyandue, siku ikafikia. Toto likasema halina nauli, nikamuagizia Bolt, mtoto akaletwa akaliwa kimasikhara.

Huyo mtoto sijui nimueleze vipi. Mtamu balaa! Baada ya kumaliza mchezo nikampa Laki moja kwa furaha niliyoipata. Mtoto Acha aanze kumponda mume wake. Ati ni mwanaume suruali. Kisa tangu aolewe hajawahi kupewa laki Moja. Nikaona huyu ananijaza ili niingie mkenge nikamwambia aache kunichocha. Akatoa simu kunithibitishia. Kwa kweli nilisikitika mno.

Sasa nauliza, hivi inakuwaje mtu anakupa laki moja ndio iwe kigezo cha kumtukana mumeo matusi yote Yale ilhali yeye ndiye anakutunza hata Kama anatoa Mia mbili! Mia mbili!

Sisi ni wahuni wakupita tuu! Ni matunda ya msimu.

Hamisa umenikera Sana! Hata kama shombeshombe lakini unaakili za kicherema.
 
Mkuu unataka kunambia ulikuwa unashikashika ule upaja laini wa hamisa mobeto !

Daaaa Mimi nasema upo miongoni mwa watu watakao simulia raha za duniani ...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom