Lissu: Nilikaribia kuvuliwa suruali na Mashabiki wa Simba mwaka 1993

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568

Baada ya ubishani wa watani wa Jadi kupamba moto kuhusu timu ipi hasa imeshawahi kucheza Fainali ya Michuano ya Afrika. Wadau mbalimbali wanaibuka kutoa uthibitisho kutetea hoja zao.

Mashabiki wa Simba wameleta video hii ya Tundu Lissu akifafanua kuhusu mwaka 1993 kwenda uwanjani kushuhudia mchezo wa Fainali kati ya Simba dhidi ya Stella Abijan ya Ivory Coast.

Mashabiki wa Simba kwa sasa wameibua video hiyo hapo juu ikimuonesha Lissu akielezea ushiriki wake katika mchezo wa fainali wa Simba dhidi ya Stella Abijan mwaka 1993.

Lissu akihojiwa na Wanahabari kama anaendaga kwenye viwanja vya mpira amejibu kuwa, hakuwahi kwenda tena uwanjani kuangalia soka tangu mwaka 1993 alipoenda kushuhudia mchezo wa Simba vs Stella Abijan ambapo Mashabiki wa Simba walikaribia kumvua suruali.

Zaidi ya hayo Mashabiki wa simba wanaendelea kuleta vithibitisho vingine kuonesha waliwahi kucheza fainali ya michuano ya Afrika.

Tazama tiketi hii hapa chini:

1685543687509.png
 
View attachment 2641534
Hii video ya lini? Huyo wa kulia si yule dereva wake?
 
Tunawaangalia tu, wakitaka hata video za mechi yenyewe tutawapa. Yanga iko nyuma ya Simba kwa miaka 30. Mafanikio ya sasa ya Simba, Yanga itakuja kuyapata miaka 30 ijayo.
Huu Ndio umbumbumbu anaosemaga Rage. Mihemko mbele akili mikiani.
 
Back
Top Bottom