Nimekuta boksa na suruali kwenye chumba cha mpenzi wangu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,834
Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu na nimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa.

Sasa nilipo fika nilimkuta kibarazani anapika aliponiona tu akahamaki uzuri mlango wa chumba chake ulikuwa wazi mimi nikafungua bila hodi nikaingia ila Kuna jambo jipya nimekuta suruali ya kitambaa na boksa, hizi nguo sio zangu nawala Sina nguo kwenye chumba cha mpenzi wangu.

Nina mashaka walikuwa wanakulana na huyu jamaa huenda kaenda kuoga bafuni ila aliposikia makerere kasepa.

Namuuliza mke wangu amesema ameninunulia mitumba eti. Ivi kweli Kuna boxer ni mitumba jamani. Haina shida mimi nimempa zawadi ya asali niliyonunua Juba nimeondoka kwa Amani nimefuta namba zake.
 
Wee naye, Hawa viumbe sahizi sio wa kuwaweka maanani

Mbona hili jambo Kila siku nalisema humu ila hunielewi?

Mwanamke akiwa mwema, kua mwema kwake

Mwanamke akiwa wa janja janja, kua na janja janja

USIPENDE KWA DHATI MWANAMKE YOYOTE YULE, YAAN MPENDE MAMA YAKO TU, NDO HAWEZ KUKUSALITI.

Wanawake wengine wote walobaki,ishi nao kama wanadam wenzio tu, usimpe mtu Usipeshooo, hata kama ymeshajitambuliaha kwao, Usimzingatieeee Sanaaaaa babuuu !!!.

Yaan Kwa mwanamke, wee ishi naye , mtombee, Mpe Hela, mjali, piga miti , akiwa na shida msaidiee, ILA USIMZINGATIEEE WALA USIMUWEKE KIPAU MBELE.

hiki kizazi ch Sasa kina Laana mnooo

Utakufa Bure... Utakua buree uende jela.

Ningekua Mimi ningegomba kama ulivyofanya .

Najua angetafuta kuniweka sawa ili ajione mjanja.

Angesema nmekununuliaaa.

Ningesema Ahsantee.

Usiku, Ningemla kama kawaida

Life kikaenda, mipango yote ya kuoa, NINGEISITISHA MARA MOJA.

SIKU HIZI, BORA UZAE ,UWE NA WATOTO WAKO HATA WATANO, KUOA TUOE LAKINI OMBA UOE MWANAMKE MWEMA.

Yaan utoke Sudani na upuru woteeee Alafu uishiee kususa? Ukisusa wengine wanakula.
 
Wee naye, Hawa viumbe sahizi sio wa kuwaweka maanani

Mbona hili jambo Kila siku nalisema humu ila hunielewi??.

Mwanamke akiwa mwema, kua mwema kwake

Mwanamke akiwa wa janja janja, kua na janja janja

USIPENDE KWA DHATI MWANAMKE YOYOTE YULE, YAAN MPENDE MAMA YAKO TU ,NDO HAWEZ KUKUSALITI.


Wanawake wengine wote walobaki,ishi nao kama wanadam wenzio tu, usimpe mtu Usipeshooo, hata kama ymeshajitambuliaha kwao, Usimzingatieeee Sanaaaaa babuuu !!!.


Yaan Kwa mwanamke, wee ishi naye , mtombee, Mpe Hela, mjali , piga miti , akiwa na shida msaidiee, ILA USIMZINGATIEEE WALA USIMUWEKE KIPAU MBELE .


hiki kizazi ch Sasa kina Laana mnooo

Utakufa Bure... Utakua buree uende jela.


Ningekua Mimi , ningegomba kama ulivyofanya

Najua angetafuta kuniweka sawa ili ajione mjanja .

Angesema nmekununuliaaa.

Ningesema Ahsantee.


Usiku, Ningemla kama kawaida


Life kikaenda, mipango yote ya kuoa, NINGEISITISHA MARA MOJA.



SIKU HIZI, BORA UZAE ,UWE NA WATOTO WAKO HATA WATANO, KUOA TUOE LAKINI OMBA UOE MWANAMKE MWEMA.


Yaan utoke Sudani na upuru woteeee Alafu uishiee kususa ??? Ukisusa wengine wanakula
Sina roho hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom