Biashara ya kuuza suruali za mtumba

Mr HQ

Member
Oct 26, 2020
77
45
Ndugu Zangu Nimeanza Kufanya Biashara Ya Kuuza Suruali za Mtumba Kutoka Dar Naenda Kuuza Moro - Dodoma.

Naombeni Mawazo ya Kukuza Biashara Yangu Kwa Wazoefu Wa Hii Kazi.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Niwe Nafanya Nini Au Niongeze Nguo Za Aina Gani Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Naombeni Maoni Yenu Wadau.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

16595416133944067757004597701318.jpg
 
Ushaui wangu mkuu, nenda kauze udom, si unajua tena watoto wa kileo. ila nenda mnaz mmoja kanunue balozima, kisha nenda pale karume kuna mafund wanamodoa, utapata nguo za mzuka, ukifika dom watandike watoto wa kalamu.
 
Unanunua kwa bei gani na unauza kwa shilingi ngapi?
Na nunua kwenye mnada si unajua bei za mnada hazitabiriki mara elf 3000 hadi 10000 ni kutokan na ubora wa nguo. Suruali ya 3000 Unaweza Kuuza hata kwa 6000 Hadi 8000 niwewetu jinsi utavyomshawishi mteja wako.
 
ushaur wangu mkuu, nenda kauze udom, si unajua tena watoto wa kileo. ila nenda mnaz mmoja kanunue balozima, kisha nenda pale karume kuna mafund wanamodoa, utapata nguo za mzuka, ukifika dom watandike watoto wa kalamu.
Ndugu yangu nashukuru kesho naenda Dodoma nitafika udom nifanyie kazi wazo lako. japokuwa bado Sina mtaji wa kununua balo zima mwenyewe ila lazima nifike niangalie Biashara inaendaje.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom