#COVID19 Chanjo hazina viambata hatari na sumu

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
638
977
Je, chanjo zina viambato hatari na sumu?

Hapana. Ingawa viambata vilivyo kwenye lebo za chanjo vinaweza kutisha, (k.m. zebaki, alumini, na formaldehyde) kwa kawaida hupatikana katika mwili, chakula tunachokula na mazingira yanayotuzunguka - kwa mfano, katika tuna. Kiasi katika chanjo ni kidogo sana na hakiwezi kuumiza mwili.

Chanjo hupitia majaribio ya kisayansi pamoja na michakato ya uidhinishaji na mashirika ya udhibiti ya kimataifa ili kuhakikisha kuwa ni salama na zenye ufanisi

======

Do vaccines contain toxic and dangerous ingredients?

No.
While the ingredients in the labels of vaccines can look intimidating, (e.g. mercury, aluminum, and formaldehyde) they are usually found naturally in the body, the food we eat, and the environment around us - for example, in tuna. The amounts in vaccines are very small and will not “poison” or harm the body.

Additionally, vaccines are tested and go through rigorous and lengthy scientific trials as well as certification processes with WHO and national regulatory agencies to ensure that they are safe and effective. Vaccines offered in public clinics are just as safe and effective as those offered in private.

Chanzo: WHO
 
Hao WHO ndio Nani?

Nimeamua saivi maisha yangu hayaendeshwi na mbuzi yeyote am' taking my own control
 
Tuchanje we unakuta jitu linakula masigara pakiti tatu kwa siku bado lipo kwenye joto kali pale DAR bado linaona eti wazungu wanataka kuliua kupitia chanjo
 
Back
Top Bottom