sumbawanga

Sumbawanga is a city located in western Tanzania. It is the capital of Rukwa Region and the municipal seat of Sumbawanga Urban District with postcode number 55100 . The district had a population of approximately 150,000 based on the 2002 census. Sumbawanga lies in the territory of the Wafipa Fipa tribe and so many people speak Kifipa, as well as Kiswahili, the most widely used language of Tanzania. The name of the town literally translates as "throw away your witchcraft", thought to be a warning from local spiritual "healers" to any bringing in superstitions and practices relating to spiritual healers from other areas; there are still some healers who practice both in town and in the surrounding smaller villages on the plateau. The town has the largest hospital in the region, Rukwa General Hospital, which is government funded, as well as the smaller Dr. Atiman Hospital administrated and run by the Catholic Diocese of Sumbawanga.
The town acts as a supply and commercial center for the Rukwa Region and some governmental agencies are to be found there, notably the transport department for the region. Sumbawanga has both Libori and Moravian conference centres. A modest-size market is in the town centre where local produce may be found. This includes maize, rice, fruit, poultry and fish (from Lake Tanganyika and Lake Rukwa). Many imported plastic goods and electronics are available as well as bicycles and spares. Although there are several fuel outlets, supply can be quite erratic because of the difficulties of transport from the coast.
The local economy is largely dependent on agriculture and small locally owned businesses. There is very limited industry or production in the town. Significant improvement could be expected if the road to Mbeya was sealed to enable reliable all-weather access year round. This road, and its continuation north to Mpanda and Tabora or Kigoma, can become impassable at the height of the wet season (Feb-Mar). The Tanzanian government does have contracts in place for upgrading large sections of these roads. The town can be reached by flights operated by Auric Air or by bus from Mbeya which lies to the south with train links to the town of Kapiri Mposhi in Zambia, to Dar es Salaam. Rail is also available through Tabora from Mpanda in the north. Mpanda also has an airport with a 2 km sealed runway.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Rais aliwaasa viongozi waandamizi kufanya KAZI Kwa kujiamini, DC Sumbawanga kafanya Kwa kujiamini akatumbuliwa. Bado kuna tatizo sehemu

    DC Sumbawanga ametumbuliwa Jana Bila Sababu yakumbuliwa kwake kuwekwa wazi. Mitandao ya kijamii imeandika kwamba zoezi la utayari lililoandaliwa na Askari WA kike ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwake. Wakati vyanzo vikinyetisha kwamba zoezi la utayari Ndilo lililomtumbua naomba tutumie Sababu...
  2. B

    CHADEMA Sumbawanga pigo jingine kwa wale Wengine

    Mwenye macho haambiwi tazama: Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo. Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia. Mungu Ibariki CHADEMA.
  3. C

    Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  4. Unique Flower

    Naomba mwenyeji wa Sumbawanga mwaminifu mwelewa

    Naomba mwenyeji wa Sumbawanga, mwelewa na mwaminifu anayejua na awe Mzaliwa wa huko . Pili hata kama so mzaliwa awe tu mwelewa na sehemu za hukoo
  5. BARD AI

    Hakimu adaiwa kujiua akiwa 'Guest House' Sumbawanga

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Michael Royan (31) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni ya ‘gesti’ iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo. Akizungumzia tukio hilo leo Jumanne Novemba 29, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani...
  6. Chachasteven

    Rayvany alivyotumia uchawi kwenye show ya Fiesta Sumbawanga

    Cheki hapa Rayvanny alivyotumia uchawi kwenye shoo yake ya Fiesta Sumbawanga.
  7. Chachasteven

    Mfahamu mshindi wa Supa Diva 22 ya fiesta Sumbawanga

    Huyu hapa mshindi wa Supa Diva 22 inayosimamiwa na Fiesta kipindi cha kuendesha show za fiesta mikoani. Afichua siri ya mafanikio yake hadi kushinda. Full story:
  8. H

    SoC02 Ndoto yangu shuleni Sumbawanga

    Nikiwa Form Six Sumbawanga Sec, Ilikuwa ni siku ya Ijumaa,Siku ambayo tulikuwa tunawahi kutoka Darasani kwani ilikuwa ni siku special kwa ajili ya Michezo. Basi bwana me nkiwa na kibaiskeli changu nilichochukua kwa Dogo mmoja wa Olevel... chini nkiwa nmepiga Soksi na Sendo huku juu tisheti na...
  9. M

    Kamishina wa Ardhi Rukwa, Mkuu wa Idara ya Ardhi Sumbawanga na Fagio Auctioner wananyanyasa wananchi Rukwa juu ya Kodi ya Ardhi

    Kichwa cha habari chahusika. Kumekuwa na unyanyasaji na uvunjifu wa sheria ubaofantwa na Kamishina wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Rukwa,Mkuu wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Sumbawanga na dalali kutoka mbeya anayeitwa Fagio Auctioneer. Kiuhalisia dalali huyu ametafutwa na huyo Mkuu wa Idara ya Ardhi...
  10. mapesa yamejaa

    Kipigo cha mbwa koko Sumbawanga

    Mzee mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Manase amepokea kipigo kutoka kundi la vijana wamachinga hapa mjini Sumbawanga. Nikiwa nimetulia zangu hapa kwenye biashara zangu za madafu, mita kama 100 mbele yangu nikaona kundi linamkimbiza huyo mzee aliyevalia nguo za CCM huku akipigwa mawe na fimbo...
  11. Dr wa Kaliua

    Naacha chuo kwa muda, naenda Sumbawanga kujifunza uganga

    Habari JF, Baaada ya maisha ya chuo kuwa magumu hapa Dar es Salaam, sasa nimeamua kupostpone masomo mpaka second semester Next Year, pia nimepostpone pesa HESLB mpaka Next Year. Ajira hakuna, so chuo ntamalizia mwakani, Ila kwa sasa naenda kujifunza uganga short course miezi 6. Babu yangu...
  12. GENTAMYCINE

    Baada ya Dotto 'Kuchomoa' Bukoba huenda Leo na Kulwa nae 'akachomoa' huko Sumbawanga

    Taarifa za ndani kabisa ambazo GENTAMYCINE nimezipata ni kwamba hili la Ugonjwa ni sababu tu ila tatizo ni Uvaaji wa Nenbo ya akina 'Samjo Samjo' GSM. Inasemekana kuwa endapo Simba SC jana ingecheza bila Nenbo ya akina 'Samjo Samjo' GSM basi TFF ingeshtakiwa nao kwa Kukiuka taratibu za...
  13. Action and Reaction

    Ukibinyabinya parachichi Sumbawanga halafu uondoke BILA Kununua!

    Matokeo ndiyo hayaaa
  14. D

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Majaliwa, kutoka kwa baadhi ya madereva wa Hiace Sumbawanga

    YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA Mh. Waziri Mkuu, Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria maalum kama Hiace yanayofanya safari kuanzia Sumbawanga kwenda wilaya za Mkoa wa Rukwa ambayo ni...
  15. EMMANUEL JASIRI

    Kama wewe ni jeuri, mkorofi, usiende kuishi Sumbawanga

    Sumbawanga ni tofauti, Wanapenda wageni Ni wapole Ni wakarimu Hawana roho ya kwanini Sio wachokozi Hawana mambo ya kurogana rogana hovyo japo uchawi wanaujua vizuri Walio bahatika kumjua MUNGU wana msimamo katika imani ya dini Ila kama wewe ni mchokozi,mkorofi sumbawanga haikufai Watu...
  16. Lord OSAGYEFO

    Maafisa ardhi Sumbawanga acheni kusababisha baina ya wamiliki halali na wavamizi

    Hakika katika wizara zilizoshindika ni pamoja na wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi bora wizara ikahamia ofisi ya rais labda watendaji wake wataheshimu sheria. Maafisa ardhi Manispaa ya Sumbawanga wamekuwa wanachochochea migogoro ya ardhi baina ya wamiliki halali wenye hati milki za...
  17. Opportunity Cost

    Top 5 ya Baridi, Njombe na Sumbawanga noma..

    Aisee viwango vya joto kwa baadhi ya mikoa mwaka huu ni kwere maana imekuja kivingine, kuna maingizo mapya kwenye list ya top 5 kama Sumbawanga. Huko wilayani kwenu Hali ikoje? List hii hapa 1.Njombe=5°C 2.sumbawanga=7°C 3.Mbeya=10°C 4.Iringa=12°C 5.Tabora=12°C 6.Singida=12°C
  18. Lord OSAGYEFO

    Mgogoro kati ya wamiliki Viwanja na maafisa ardhi Manispaa Sumbawanga

    Maafisa ardhi wanataka kuiingiza serikali kwenye mgogoro mkubwa na wamiliki wa viwanja wanaovimiliki kwa title deed za miaka 66 huko kizwite. Maafisa ardhi wanashirikiana na matapeli wa ardhi wakiwadanganya kuwa mashamba ya marehemu wazazi wao hawakulipwa fidia wakati wa upimaji viwanja hivyo...
  19. MaxShimba

    Kalambo Waterfalls Tanzania

    The Kalambo Falls on the Kalambo River is a 772ft (235m) single drop waterfall in Tanzania, very near the border with Zambia at the southeast end of Lake Tanganyika. The falls are some of the tallest uninterrupted falls in Africa (after South Africa's Tugela Falls, Ethiopia's Jin Bahir Falls...
Back
Top Bottom