sumbawanga

Sumbawanga is a city located in western Tanzania. It is the capital of Rukwa Region and the municipal seat of Sumbawanga Urban District with postcode number 55100 . The district had a population of approximately 150,000 based on the 2002 census. Sumbawanga lies in the territory of the Wafipa Fipa tribe and so many people speak Kifipa, as well as Kiswahili, the most widely used language of Tanzania. The name of the town literally translates as "throw away your witchcraft", thought to be a warning from local spiritual "healers" to any bringing in superstitions and practices relating to spiritual healers from other areas; there are still some healers who practice both in town and in the surrounding smaller villages on the plateau. The town has the largest hospital in the region, Rukwa General Hospital, which is government funded, as well as the smaller Dr. Atiman Hospital administrated and run by the Catholic Diocese of Sumbawanga.
The town acts as a supply and commercial center for the Rukwa Region and some governmental agencies are to be found there, notably the transport department for the region. Sumbawanga has both Libori and Moravian conference centres. A modest-size market is in the town centre where local produce may be found. This includes maize, rice, fruit, poultry and fish (from Lake Tanganyika and Lake Rukwa). Many imported plastic goods and electronics are available as well as bicycles and spares. Although there are several fuel outlets, supply can be quite erratic because of the difficulties of transport from the coast.
The local economy is largely dependent on agriculture and small locally owned businesses. There is very limited industry or production in the town. Significant improvement could be expected if the road to Mbeya was sealed to enable reliable all-weather access year round. This road, and its continuation north to Mpanda and Tabora or Kigoma, can become impassable at the height of the wet season (Feb-Mar). The Tanzanian government does have contracts in place for upgrading large sections of these roads. The town can be reached by flights operated by Auric Air or by bus from Mbeya which lies to the south with train links to the town of Kapiri Mposhi in Zambia, to Dar es Salaam. Rail is also available through Tabora from Mpanda in the north. Mpanda also has an airport with a 2 km sealed runway.

View More On Wikipedia.org
  1. Nipe Maji

    PreGE2025 Mtendaji mkuu TANROADS akagua ujenzi wa uwanja wa ndege Sumbawanga, ujenzi wafikia asilimia 70

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Jumamosi Juni 21, 2025 ametembelea uwanja wa ndege wa Sumbawanga kukagua maendeleo ya ujenzi wake ambao unaendelea kwa kasi. Akizungumza baada ya ziara hiyo, Mhandisi Besta amesema ujenzi wa uwanja huo umefikia...
  2. figganigga

    Sumbawanga: Watu sita wamepoteza maisha na wengine 21 kujeruhiwa katika ajali ya Hiace

    Watu sita (6) wamepoteza maisha na wengine ishirini na mmoja (21) kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyotokea leo Juni 28, 2025, katika eneo la Kona ya Ulinji, nje kidogo ya Mji wa Sumbawanga, mkoani Rukwa. Ajali hiyo imehusisha gari la abiria aina ya Hiace lenye namba za usajili T 294 DSS...
  3. A

    KERO Mahakama ya Mwanzo Mjini Sumbawanga ina mahakimu 2 tu

    Kuna uhaba wa mahakimu ktk mahakama hii kunakopelekea mrundikano wa mashauri na ulipuaji wa mashauri. Jaji Mkuu ingilia ktk hili kwa haraka kwani haki inayochelewa ndiyo inayopotea
  4. comrade_kipepe

    Hili lina ukweli huko Sumbawanga ?

    Nataka nikanunue za masafa marefu
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dc Sumbawanga: Akagua ujenzi wa uwanja wa ndege wa Sumbawanga, atoa onyo dhidi ya wizi wa mafuta

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga amefanya ziara katika eneo la ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga, ambapo ametumia fursa hiyo kuonya vikali vitendo vya wizi wa mafuta ya magari vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi walioko katika eneo hilo. Katika ziara hiyo, Mkuu wa Wilaya amewataka...
  6. Lord Denning

    PreGE2025 Sumbawanga yazizima: Wananchi Wamsindikiza Lissu kutoka Uwanjani hadi Hotelini. Polisi washindwa kuzuia maandamo yao

    Sumbawanga leo imezizima. Kila kona ni Lissu. Leo Lissu amefanya mkutano wa aina yake Sumbawanga mjini. Baada ya Wananchi kukoshwa na sera zake pamoja na elimu murua aliyotoa wamefanya maandamano ya kumsindika hadi hotelini alipofikia. Unaambiwa hii haijawahi kutokea kwa historia ya siasa za...
  7. Ileje

    PreGE2025 CCM yapata aibu tena Sumbawanga

    Leo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election. Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili...
  8. Ileje

    PreGE2025 CCM waandaa Bonanza kesho wakati Tundu Lissu atakapokuwa anafanya mkutano wa hadhara Sumbawanga!

    Kesho tarehe 26/3/2025 Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu atafanya mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga kuendeleza kampeni ya No Reforms No Election. Kitu cha kushangaza ni kuwa jioni hii CCM inapitisha matangazo hapa mjini Sumbawanga kuwa na wao watafanya Bonanza katika uwanja...
  9. B

    PreGE2025 Namanyere Sumbawanga kumefurika, mbingu na Ardhi zimempokea vyema Tundu Lissu. Yaani Ni Sherehe haijapata kutokea

    Sina maneno mengi lakini kinchoonekan kwenye video hii ni ushidi tosha. Watoto, watu wazima ni wazee ni furaha tele isiyo na kifani. Kuna wimbo wanaimba umew hamasa na munkali😅😅 Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  10. upupu255

    PreGE2025 DC: Watumishi mnaojenga Uwanja wa Ndege Sumbawanga acheni wizi, huu sio Mradi wa Mchina

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Ally Chirukile amekemea vikali ubadhilifu unaofanywa na watumishi wanaotekeleza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Sumbawanga. Akizungumza na wafanyakazi hao Machi 21, 2025 wakati wa ziara ya kushtukiza Chirukile amesema kuna ubadhilifu unaofanywa na baadhi ya...
  11. M

    PreGE2025 Rukwa: Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aesh Hilaly, atoa msaada wa mabeseni 1,000 kwa akina mama wajawazito

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mheshimiwa Aesh Hilaly, ameonesha moyo wa upendo na kujali ustawi wa akina mama wajawazito kwa kuchangia mabeseni 1,000 kwa ajili ya wanawake wanaotarajia kujifungua katika hospitali mbalimbali ndani ya Wilaya ya Sumbawanga. Hatua hii imekuja baada ya akina mama wa...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Serikali imesema mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) mbioni kukamilika

    Serikali imethibitisha kuwa mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 kutoka Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) upo mbioni kukamilika, ukilenga kuunganisha Mkoa wa Rukwa na gridi ya Taifa. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa mradi huo utamaliza utegemezi wa umeme wa diseli katika...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Aeshi Hilaly apongeza Chama cha Wafanyakazi kwa msaada kwa Vituo vya Afya Sumbawanga

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ametoa pongezi kwa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya kutoa msaada katika Kituo cha Afya Mazwi na Zahanati ya Kizwite. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  14. Just Pray

    Msaada wa kisheria Sumbawanga kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa

    Jumla ya Kata 10, Mitaa 15, Vijiji15, kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa huku wananchi 25,780 walifikiwa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga katika zoezi la msaada wa kisheria ambalo kilele chake ni leo Machi 6 Katika Mkoa wa Rukwa. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Sumbawanga: Serikali ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 kwa bilioni 1.3

    Serikali imesema ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 litakalogharimu kiasi cha Shilingi Bil.1.3 hadi kukamilika kwake lililopo Kata ya Mpui, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Mkoani Rukwa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala...
  16. Just Pray

    DED Sumbawanga amtimua fundi kutokana na ubabaishaji usiozingatia viwango vya ujenzi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Bi. Pendo Mangali katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo aliyoifanya Februari 22/2025, ameagiza kuondolewa kazini kwa fundi Yusuph Benias Mgogo na kutafutwa fundi mwingine kutokana na fundi huyo kuwa mbabaishaji na kushindwa kutekeleza majukumu...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Sumbawanga yafanya usafi wa mazingira kwa ushirikiano wa Viongozi wa CCM na Wananchi

    Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa mapema leo Viongozi,Wananchi, Wafanyabiashara, Viongozi wa Serikali na siasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Taasisi na Watumishi wamefanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Sumbawanga ikiwa ni pamoja na barabara za Mjini na...
  18. JET SALLI

    DOKEZO Sumbawanga MANISPAA madereva bajaji wamekaa kikao na kupandisha gharama za usafiri hususani bajaji kutoka Tshs 600 hadi 800 mpaka elfu 1000

    Ndugu zangu tunapata taarifa nyingi toka kila pande ya nchi yetu pendwa ya Tanzania,Leo nimepata taarifa kuwa huko Sumbawanga MANISPAA madereva bajaji wamekaa kikao na kupandisha gharama za usafiri hususani bajaji kutoka Tshs 600 hadi 800 mpaka elfu 1000 kwa baadhi ya maeneo,ilhali gharama za...
  19. J

    Wavuvi 540 waokolewa, 10 wanatafutwa ziwa Rukwa kufuatiwa kukumbwa na upepo mkali

    Wavuvi 540 waliokuwaa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa wameokolewa na Wavuvi 10 wanaendelea kutafutwa kufuatia upepo mkali uliotokea mnamo tarehe 23 Januari 2025 katika ziwa Rukwa Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa. Soma Pia: Mvua ilivyoharibu miundombinu ya Barabara Sumbawanga -...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Naibu Waziri wa Ujenzi Godfrey Kasekenya : Uwanja wa ndege wa Sumbawanga ulipaswa kujengwa kuanza Mwaka 2016

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Sumbawanga unaondelea ukiwa umefikia asilimia 40. Aidha Kasekenya amesema Ujenzi wa Uwanja huo ulipaswa kuanza Mwaka 2016 ila changamoto za kimkataba zilikwamisha ujenzi kuanza.
Back
Top Bottom