sukari

The Sukari mine or Alsukari mine (Arabic: السكري Al-Sukkari, Egyptian pronunciation: El-Sokkari) is a gold mine located in the Nubian Desert/Eastern Desert near the Red Sea in Egypt, in the south-east of the country in the Red Sea Governorate, 30 km south of Marsa Alam. It is exploited jointly by the Egyptian Ministry of Mineral Resources and Centamin. It is Egypt's first modern gold mine, an industry considered to have scope for expansion in the country. Egypt was known in the ancient world as being a source of gold, and one of the earliest available maps shows a gold mine at this location.It is a combination of an open-pit mine and an underground mine, with estimated reserves of 15.4 million ounces of gold. The site is supplied by a 30 km long pipeline bringing water from the Red Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Hayati Magufuli alimpa shamba Bhakresa sasa hivi anazalisha sukari na kaajiri vijana elfu moja

    HilI shamba tungegawia vijana elfu moja wasingezalisha hata sukari guru, tungewakuta mlandizi wakiuza Juice ya miwa
  2. Mahakamani: Paul Makonda ambwaga Saed Kubenea

    MAKONDA AMBWAGA KUBENEA MAHAMANI Mahakama ya Kinondoni imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na mwanahabari Saed Kubenea dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ya matumizi mabaya ya madaraka baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha tuhuma zake. ==== Watafungwa...
  3. Kagera: Rais Samia atembelea Kiwanda cha Sukari Kagera, azindua mradi wa maji Kyaka - Bunazi, Missenyi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea na ziara yake Mkoani Kagera, hapa ni katika ziara yake kwenye Kiwanda cha Sukari Kagera, leo Alhamisi Juni 9, 2022 RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani Ni kweli Jeshi la Magereza linamiliki ardhi eneo...
  4. Baada ya Samia, Museveni kukutana, sasa Tanzania kuanza kununua sukari kutoka Uganda

    Tanzania inatarajiwa kuanza kununua sukari kutoka Uganda ikiwa ni ishara ya kuashiria kulegea kwa moja ya migogoro ya kibiashara iliyodumu kwa takriban miaka mitatu. Rais Samia Suluhu, katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku mbili Nchini Uganda alikubaliana na mwenyeji wake Rais Yoweri...
  5. Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

    Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo. ==== ➡️"TANROAD...
  6. Kushusha tozo za sukari kuna matokeo gani kwenye mfumuko wa bei

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mwenye PhD zake za uchumi amekubali kuondoa tozo kwenye sukari kwa 10%. Ni jambo jema lakini naomba nimkumbushe yafuatayo. Sukari ina impat kwa bidhaa nyingine lakini impact kubwa na inayosafiri kwa haraka ni impact inayotokana na bei za mafuta...
  7. Jinsi ya kutengeneza kashata za ufuta

    Mahitaji Ufuta kg2 Sukari 1/2 Jinsi ya kutengeneza Chukua ufuta peta na toa takataka zote Kisha tia ndani ya sufuria weka maji osha na chekecha michanga kama unavyo chekecha mchele kutoa mchanga kisha chuja maji na uanike juani ukikauka uukaange kidogo mpaka unukie na kuwa brown kisha chukua...
  8. Serikali ya Zanzibar yatangaza bei ya Sukari kwa Kilo kuwa Tsh. 2,000

    SERIKALI ya Zanzibar imetoa bei elekezi ya sukari baada ya kuwapo kwa viashiria vya baadhi ya wafanyabishara kutaka kupandisha bei ya bidhaa hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar jana, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Omar Said Shaban, alibainisha kuwa kilo moja ya...
  9. Zipi dalili za mtu aliyepungukiwa sukari mwilini ?

    Naomba kujua dalili za mtu alipungukiwa sukari mwilini kabisa. Asanteni
  10. Ukiweza kudhibiti matumizi ya sukari katika familia yako utaiokoa sana

    Sukari tunayoihitaji mwilini tunaipata katika vyakula tunavyokula. Chapati, majimbi, viazi, mkate vyote hivi vinatupa sukari. Unaweza kabisa kunywa chai bila sukari. Wana historia wanasema kabla ya kugundulika kwa sukari, ingawa afya ya meno haikuwa bora kama ilivyo sasa lakini matatizo ya...
  11. Prof. Adolf Mkenda baada ya kukemewa ameenda wapi?

    Waziri machachari wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda mara baada ya kukemewa na Rais Samia Suluhu kwa kitendo chake cha kukataa kutoa kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi kuwa ni nonsense haonekani tena je ameenda wapi? Sasa hivi kila kona anayeonekana ni Naibu Waziri Hussein Bashe tu.
  12. M

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    BARUA KWA RAIS SAMIA SULUHU KUHUSU UFISADI KWENYE SUKARI 11 December 2021 Mheshimiwa Rais nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini ningependa badala ya kusema kazi Iendelee basi uitikie haki, ustawi wa watu na uhuru wa kweli. Mheshimiwa Rais nina mengi ya kukueleza kuhusu...
  13. Kwa “nonsense” ya Sukari, Rais Samia anastahili pongezi. Je, tuishie kwenye "nonsense" ya Sukari tu au tuangazie na "nonsense" nyingine zote?

    Wanabodi, Hili ni bandiko lililotokana na makala yangu hii, kwenye Safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Kila nipatapo muda, huja na hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huja kwa mtindo wa swali, halafu jibu utatoa wewe msomaji...
  14. U

    Uhaba wa sukari mzuri kwa Afya na kupunguza kisukari

    Taifa lenye Afya linaweza kuwa na maendeleo, na ni jukumu la serikali kuhakikisha Wananchi wake Wana afya. Moja Kati ya magonjwa hatari sana yanayoikumba Tanzania ni Kisukari, ugonjwa huu unatokana na matumizi makubwa ya sukari ambayo pamoja na vyakula Kama wanga, na bidhaa zinazotengenezwa na...
  15. S

    Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu. Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili...
  16. Zitto Kabwe anahoji kuhusu Kiwanda cha Sukari, Kampuni ya Mkulazi Holdings

    Mwanasiasa anayeongea kwa Takwimu, Zitto Kabwe kaandika hivi; Juzi Nimeuliza hapa kuhusu Mradi wa Kiwanda cha Sukari Kampuni ya Mkulazi Holdings ambayo inamilikiwa na Shirika la NSSF na Jeshi la Magereza. Swali langu rahisi sana, KWANINI Wakala wa Barabara TANROADS ndiye aliyenunua mitambo ya...
  17. Kwanini sukari imekuwa ghali saaana wakati viwanda vipo nchini vya kutosha?

    Ndugu zangu wana jamvi wenzanzangu, wtz wenzanzangu, habari za asubuhi,, nitumsini langu mko poo Leo napenda tujadili sukari kidogo, niliwahi kusikia ni marufuku kuagiza sukari nje ili kulinda maslahi ya mlaji Hilo ni tamko la serikali kupitia waziri mkuu na waziri mwenye dhamana pia aliekuwa...
  18. Utekelezaji Usioridhisha wa Mradi wa Uzalishaji wa Sukari Mbigiri

    Mradi wa Uzalishaji wa Sukari Mbigiri ambao unamilikiwa na kampuni tanzu ya Mkulazi uliyopo Wilayani Kilosa, Mkoani Morogoro una lengo la kuzalisha sukari tani 50,000 kwa mwaka. CAG alibaini mapungufu katika utekelezaji wa mradi huu kama ifuatavyo; a). Kampuni ya...
  19. Hatuwezi kutatua tatizo la sukari bila kusahihisha makosa ya Hayati Magufuli kwenye sekta hii mwaka 2016

    Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga. Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzania wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania. Mwaka 1980-85...
  20. Z

    Sukari ya Uganda sawa, korosho zetu vipi? Kwahiyo jibu la waziri lilikuwa nonsense!

    Sukari ya Uganda ilishaleta tatizo la kisiasa Kenya. Ni Sukari inayotokana na viwanda vya Wahindi waliowekeza Uganda. Sasa naona imehamia Tanzania Haina shida ni kawaida kwa kila nchi kuwasaidia wazalishaji wake lakini, hata sisi Korosho zetu vipi? Mbaazi hazina soko, Pamba haina soko, Mazao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…