Serikali iruhusu uingizwaji nchini mchele na sukari

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,545
Kwa kupooza hii inflation iliyopo serikali iruhusu haraka kuingizwa kwa bidhaa hizo ili kutunusuru wananchi na hali mbaya ya bei za vyakula hasa nafaka.

Ukifuatilia chanzo cha bei kupanda wanasema wafanyabiashara toka nje ndio wanaokuja kufuata mazao haya yaliwa huko vijijini na kusafirisha kwao.

Sasa basi ifikie pahali serikali iruhusu wafanyabiashara waingize chakula toka nje ili kujenga ushindani na kuleta ahueni ya bei.

Yaani leo hii mchele kilo moja unaenda sambamba na Petroli kweli?

Tuombe serikali iliangalie hilo.
 
Back
Top Bottom