sukari

The Sukari mine or Alsukari mine (Arabic: السكري Al-Sukkari, Egyptian pronunciation: El-Sokkari) is a gold mine located in the Nubian Desert/Eastern Desert near the Red Sea in Egypt, in the south-east of the country in the Red Sea Governorate, 30 km south of Marsa Alam. It is exploited jointly by the Egyptian Ministry of Mineral Resources and Centamin. It is Egypt's first modern gold mine, an industry considered to have scope for expansion in the country. Egypt was known in the ancient world as being a source of gold, and one of the earliest available maps shows a gold mine at this location.It is a combination of an open-pit mine and an underground mine, with estimated reserves of 15.4 million ounces of gold. The site is supplied by a 30 km long pipeline bringing water from the Red Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Sukari tanga Tsh. 6,000 kwa kilo moja! CCM take note of that!

    Tumefika hapa tulipo. Rais Samia take note of that!
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dakika 6 za simu ya Makonda kwa Bashe akidai utatuzi wa bei ya sukari

    Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa bei ya sukari itatengemaa ndani ya mwezi ujao akiwataka kutokuwa na hofu Waziri Bashe ameeleza hayo leo Januari 23...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Acheni kuijadili bei elekezi ya sukari

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amejibu baadhi ya hoja zilizoibuliwa kuhusu kupanda bei kwa sukari huku akiwatahadharisha Wafanyabishara wanaotumia Wanasiasa kuishikilia bango ajenda ya kupanda kwa bei ya sukari kwamba ajenda hiyo haitofanikiwa kwasababu tayari kuna bei elekezi inayotakiwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kutangaza bei elekezi ya sukari bila kuweka consequences za wauzaji watakao kiuka hakusaidii

    Mnajua kabisa kuwa hakuna mfanyabiashara atakayeshusha bei ya sasa 3800-5000 Tsh per kilo. sasa muuzaji asiyefuata bei hiyo namshitaki wapi/natoa taarifa wapi? Au nyie mamlaka ya sukari nachukua tahadhali gani kukabiliana na watakaokiuka bei elekezi. Short of that mnakuwa wasanii nyie mamlaka...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara

    Kufuatia malalamiko ya Wananchi juu ya kupanda kwa gharama za Sukari, Serikali imetangaza Amri ya Bei Elekezi iliyoanza kutumika Januari 23, 2024 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara kwa lengo la kudhibiti Bei holela za Bidhaa hiyo Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali, Amri hiyo imesema Mtu yeyote...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari. Akizungumza Waziri wa Kilimo...
  7. F

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili. Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tani Elfu 50 za sukari kuingizwa nchini kukabiliana na upungufu uliopo

    Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu wa januari kuingizwa kwa Tani Elfu Hamsini za Sukari kutoka nje ya Nchi. Mkurugenzi huyo ameelezea...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Muwe na alasiri njema! ==== Moshi/Arusha. Sukari inakwenda wapi? Ni swali linaloumiza wengi, huku wakazi wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wakitaka vyombo vya usalama kuchunguza biashara hiyo, wakisema licha ya bidhaa hiyo kuingizwa sokoni, bado bei imesimama kati ya Sh3,500 na Sh4,000...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Sukari imeadimika nchini, imekwenda wapi?

    Habari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?. Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji. Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sukari inauzwa hadi 5000 na Serikali iko kimya hadi sasa, bei elekezi ni ipi?

    Hivi hii Serikali inafuatilia kweli maisha ya Wananchi wake huko mitaani? Watu wanauziwa Sukari Tsh. 5000 kwa kilo na Wafanyabishara hata hawana hofu yoyote. Ni kwamba hakuna anayejali hali za Wananchi tayari linatengenezwa tatizo la kisiasa ili waje walitumie kwenye kampeni zao?
  12. nashicha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda na Biashara upo?

    Sukari sasa kilo moja ni Tsh 4500! Hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge, waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali. CCM ipo kimya, Makonda anapanda farasi na baiskeli tuu hivi ni kweli hawajui hii hali?
  13. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Sukari yafika 3500 kwa Kg 1 na hiyo ni Dodoma..ila hatusikii kelele kama alizopigiwa Magufuli

    Unafiki wa Watanzania ndio hapa, hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko. Vitu vimepanda bei zaidi ya mara tatu ya enzi za Magufuli ila watu kimyaa! Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Sukari na Kutolala Vizuri huathiri Ubongo wako kila dakika

    Ubongo ni kiungo muhimu katika Mwili wa Binadamu ambacho baadhi ya tafiti zinakitaja kuwa kama 'Msimamizi Mkuu' wa utendaji kazi wote wa Mwili. Ili kiungo hiki kifanye kazi kwa usahihi, ni muhimu kutofanya vitu vinavyoweza kuathiri utendaji wake ikiwemo Kufanya Mazoezi ya Mara kwa Mara na...
  15. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji Azam walishwe ugali na sukari

    Wachezaji wa Azam wanacheza mechi mbili TU kwenye ligi za Yanga na Simba TU basi. Mzee Bakhersa afanye nini ili Azam ifanye vizuri? Fei alikuwa akifanya vizuri sana akiwa Yanga ingawa alikuwa akilishwa ugali na sukari lakini Sasa haisaidii Azam ingawa analishwa biliani na Mzee Bakhersa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

    Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari...
  17. masai dada

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mchakato wa kupata kibali cha kuagiza sukari nje

    Naombeni process, mchakato mzima mtu anapaswa kufanya anapotaka kuagiza sukari nje. Kwa kiwango Cha small scale
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Bei ya sukari na mafuta huko kwenu ikoje?

    Naona mambo yanazidi kupamba moto, sukari beii juu mafuta kula bei juu Petrol na diesel bei juu tutafika tumechoka sana.
  19. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Bei ya Sukari Imepanda Ghafla, Nini Kisababishi?

    Mkoani kwangu kilo Moja ni Kati ya sh.3300-3500, Wafanyabiashara tupeni sababu Kwa nini bei Imepanda ghafla kiasi hiki? Ukiuliza wanasema Sukari haipatikani. Serikali chonde chonde fanyeni hima bei ya Sukari irudi kule kule Kwa kilo sh.2700-3,000 ---- Kupanda kwa bei ya sukari kumeanza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa sukari mkoani Manyara unasababishwa na nini?

    Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na uhaba wa Sukari katika Mkoa wa Manyara. Hali hii imesababaisha bei ya Sukari kupanda Kwa Bei, ambapo kilo moja inauzwa Kati ya Sh.3500 hadi 4500.00. Hivi hili ni tatizo la nchi mzima au ni Mkoa wa Manyara pekee!?
Back
Top Bottom