sukari

The Sukari mine or Alsukari mine (Arabic: السكري Al-Sukkari, Egyptian pronunciation: El-Sokkari) is a gold mine located in the Nubian Desert/Eastern Desert near the Red Sea in Egypt, in the south-east of the country in the Red Sea Governorate, 30 km south of Marsa Alam. It is exploited jointly by the Egyptian Ministry of Mineral Resources and Centamin. It is Egypt's first modern gold mine, an industry considered to have scope for expansion in the country. Egypt was known in the ancient world as being a source of gold, and one of the earliest available maps shows a gold mine at this location.It is a combination of an open-pit mine and an underground mine, with estimated reserves of 15.4 million ounces of gold. The site is supplied by a 30 km long pipeline bringing water from the Red Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo. Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense' Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.
  2. Miss Zomboko

    Fahamu madhara ya kiafya wakati unapotumia sukari nyingi kwenye vyakula

    Sote tunajua sukari ni tamu na ni miongoni mwa bidhaa zinazotumika kwa wingi kila siku katika nyumba zetu. Lakini licha ya umuhimu wake, sukari ni hatari kwa ustawi wa afya wakati inapotumiwa kwa wingi kupita kiasi. Kwa kawaida kiwango cha sukari tunachotakiwa kutumia katika vinywaji vyetu...
  3. Red Giant

    Moja ya jambo bora kufanywa na Magufuli ni kuanzisha kiwanda cha sukari Bagamoyo

    Magufuli alimpatia mzee Bakhresa ekari karibia Elfu ishirini huko Bagamoyo ili alime miwa na kuzalisha sukari. Jamaa kafanya kweli. Inakadiriwa kuwa nchi yetu mahitaji ya sukari kwa mwaka ni tani 700,000 lakini uzalishaji ni kama tani 400,000. kiwanda cha Bakhresa kinategemewa kuzalisha tani...
  4. Salumsas

    SoC01 Ugonjwa wa Kisukari: Matajiri wengi wanaangalia pesa zaidi kuliko Afya yako

    Salute Wakuu Utangulizi Wengi mmesikia kuhusu ugonjwa wa Kisukari wengine wakilalamika kuwa na huu ugonjwa hatari au wamekatazwa (hospitali) kutumia baadhi ya vyakula ili kuepuka madhara zaidi ya huu ugonjwa. Trust me I guarantee this is the perfect thread tutaelewa kila kitu hapa na hakuna...
  5. E

    Kenya wasuasua kununua sukari ya uganda

    A deal between the two countries allowed Uganda to export surplus sugar into the country three years ago. But Nairobi delayed the implementation until late last year when the neighbouring state was allowed to ship in 20,000 tonnes of the 90,000 tonnes surplus that it had requested. The change of...
  6. mwanateknolojia

    Jinsi gani ya Kuanzisha kiwanda kidogo cha Sukari?

    Wadau Habari Za wakati huu! Niende moja kwa moja kwenye maada, nimekuwa nikifanya survey katika maeneo flani huko mikoa ya nyanda za juu kusini na kugundua kuwa kuna malighafi nyingi ya miwa. Hivyo nimepata wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha sukari. Hivyo naomba wenye ujuzi na hatua za...
  7. mwanamwana

    Kilimanjaro: Uduni wa maisha wapelekea wasichana kuozeshwa kwa sukari na majani ya chai

    Nimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri. Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari...
  8. mbikagani

    Rais Samia, wakulima wa Miwa wanatishia kukibomoa Kiwanda cha Sukari cha Mbigiri

    Salaam kwa jina la jamhuri ya muungano Mama Samia Suluhu Hassan! INGILIA KATI KWENYE HILI WAKULIMA WANATAKA KUKIBOMOA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI. Kiwanda cha sukari Mbigiri ambacho haijulikani ni lini kitaanza kazi kuokoa mamilioni ya pesa yatayopotea kwa kuaribika kwa miwa iliyofikia...
  9. idawa

    Serikali, punguza kodi ya Sukari sio Pombe

    Sukari ni kiungo mhimu kabisa kwenye maisha ya Mtanzania, haijalishi matajiri au maskini lazima atumie sukari. Binadamu woote bila kujali mzima ama mgonjwa lazima atatumia sukari. Ndio maana sukari ikiadimika nchi inatikisika. Lakini ajabu tunapunguza kodi kwenye Pombe. Yaani Watanzania...
  10. 2019

    Sukari ya Uganda kusambaa sana nchini kuliko yetu, tatizo nini?

    Kuna zimwi gani Tanzania? Hivi bongo bahati mbaya kweli au ni ugumu wa kuwekeza hapa? Sukari Tanzania ni shida, mafuta ya kula ni shida,kwanini tuna dhida wakati tuna kila kitu nchini?
  11. chumvichumvi

    Mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nipeni nipeleke miwa yangu

    Kwema wana jamvini. Nimelima miwa ya sukari kampuni niliyokuwa naitegemea wameyumba kibiashara. Naombeni msaada kwa mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nijaribu bahati yangu.
  12. T

    Mwinyi: Risasi 728 zilitumika mauaji kiwanda cha sukari

    Mwinyi: Risasi 728 zilitumika mauaji kiwanda cha sukari Mwinyi: Risasi 728 zilitumika mauaji kiwanda cha sukari RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, amesema mauaji ya watu wanne katika mgomo wa wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari Kilombero, ni miongoni mwa vikwazo vilivyoutikisa...
  13. TheDreamer Thebeliever

    Uganda: Rais Museveni amshukuru Rais Samia kwa kumruhusu kuuza sukari Tanzania

    Habari wadau! Sasa kilio cha upungufu wa sukari kitapungua maana mama amefungua milango na kuamuru sukari iingie nchini. Mubashara toka Kololo Uganda kupitia TBC 1 kwenye uapisho wa Rais Museveni .Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven leo katika hotuba yake amemshukuru Rais wa JMT mheshimiwa...
  14. MPUNGA MMOJA

    Zitto kabwe: Mradi wa NSSF wa kiwanda cha kuzalisha sukari Mkulanzi kilichogharimu Tsh bilioni 130 hakijazalisha hata tani moja mpaka sasa

    Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250. Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1. Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
  15. mama D

    Sukari💋💋

    Niwatakie mapumziko yenye furaha na raha tele baada ya mchakamchaka wa wiki nzima....
  16. T

    Watanzania tuwe wavumilivu, hili la kupanda bei vifurushi tutavumilia pia

    Tulishaambiwa mapema kuwa MB1 itauzwa kati ya Tsh. 2 hadi 9 lakini kwa kuwa wengi wetu tuliikimbia hesabu, hatukuliona hili. Mfano: MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 2 maana yake GB1 yenye MB 1000 itauzwa sh. 2000, MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 3 ni kwamba GB1 itauzwa Tsh. 3000 na kuendelea kulingana na hesabu...
  17. Hisha Sorel

    Is Sukari by Zuchu Indicative of WCB and Tanzanian Artists Abandoning Anti-Black,Africanism,and Colourism in Music Videos? If so,thank Kendrik Lamar

    I still remember watching Kendrick Lamar and SZA music video “All the stars” and how it made me feel about blackness, beauty, mysticism, and power. Until then, I had not yet seen a positive portrayal of African-ness. Compared to its European counterpart, African culture, scenery, and its people...
  18. E

    Sababu za kiuchumi zilizopelekea bei ya Cement na Sukari kupanda ni zipi?

    Habari za leo wakuu, Sisi kama wanasiasa na viongozi wa Serikali watarajiwa naomba tujadili sababu za kiuchumi zilizo pelekea bei ya cement na sukari kupanda. Na pia tujadili possible economic solution za hili tatizo. Nawasilisha Kama kuna sababu za kiuchumi unazijua tafadhari ziandike hapa...
  19. mugah di matheo

    GE2020 Dkt. Magufuli: Nimempa Bakhresa hekari 10,000 azalishe sukari

    "Nimempa hekari elfu 10 iliazalishe sukari tan 30,000 hadi 35,000 kwa mwaka na watanzania 800 watapata ajira na badae uzalishaji utafikia tani 60,000 hadi 70,000 na kutoa ajira 2000" Magufuli akiwa Pwani Leo Chanzo: TBC online
  20. M

    Ukata mifukoni mwa Watanzania na Bei ya Sukari, Cementi kupanda maradufu

    Wakati Magufuli anaingia madarakani sukari ilikuwa kati ya 800 na 1200 Kwa Kilo Moja. Mwaka 2016, Magufuli akaingilia Biashara ya sukari na sukari ikapanda hadi 2400. Mwaka 2016 Magufuli alisema Matajiri wataishi kama Mashetani...alidhamiria watanzania wakose pesa, na hakusema masikini wataishi...
Back
Top Bottom