suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi wakubwa wanavyolindana kwenye suala la ufisadi

    Jichanganye ewe kijana uibe kuku.....utafungwa miaka 20. Jichanganye ewe askari polisi, hakimu, daktari na nesi, ule rushwa ya laki moja tu. Utafutwa kazi na kifungo cha miaka 20. Jichanganye ewe mwalimu ucheze muziki wa Zuchu tu. Utafutwa cheo na kama huna cheo utafutwa kazi. N.B: Kama bado...
  2. JamiiForums Tanzania Elon Musk awachukue wana CCM katika suala la kupandikiza Ubongo Bandia

    Elon Musk anaendelea na tafiti zake za kisayansi na masuala mazima ya AI. (Artificial Intelligence) Sasa anajaribu kupandikiza Ubongo kwa Binadamu ambao utaunganishwa na Computer. Ushauri wangu. Akamate mwana CCM kwa ngazi yoyote ile kuanzia kapuku mimi hadi aliye na wadhifa. Hawa wakamatwe...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna harufu ya rushwa kutoka Fedha za Mikopo ya Wanafunzi wa Degree. TAKUKURU chunguzeni

    Miaka ya nyuma tokea nchi ipate uhuru huu mwaka bajeti ya kutoa mikopo Kwa WANAFUNZI WA degree ilikuwa kubwa sana, ilikuwa TZS bilioni 700+. Serikali ikakatangaza WANAFUNZI wanaonza degree (fresh students) watapata wanafunzi 75,000 lakini majina mpaka sasa yametoka 73,000 ambayo yamegharimu Sh...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni suala hili kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania

    Habari zenu wadau wa JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania. Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika ununuaji na uzalishaji wa bidhaa za kilimo ndani na nje ya nchi. Je ninaweza nikaanzisha kampuni ya...
  5. JamiiForums Tanzania Adolf Mkenda, Ndumbaro, Mwana FA wajiuzulu sakata la wanafunzi kuchezeshwa wimbo wa Zuchu 'Honey"

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la miradi kusuasua, wote tubebe lawama maana tulipaswa kubeba jukumu kwanza

    Miradi mikubwa kwa midogo inaposuasua utasikia; Kiongozi ametupa lawama kwa mkandarasi/mzabuni Mwananchi anamlaumu kiongozi Mkandarasi anamlaumu serikali Yaani ni vurugu tu kila mmoja anarusha lawama kwa kutokamilika kwa mradi. Japo lawama kwenda kwa mkandarasi/mzabuni ndiyo huwa kubwa zaidi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania U-CCM ni zaidi ya anaoujua Tundu Lissu na wapinzani. Nasimama na CCM kwenye demokrasia

    Ninakifahamu vizuri Chama Cha Mapinduzi na kila ninaposikia kinaelezwa tofauti na ninavyokifahamu hususani na wapinzani nawaza mengi sana lakini mwishowe nahitimisha mawazo yangu kwa kusema ni suala la muda kabla hawajaufahamu ukweli. Ninatambua U CCM sio falsafa ya kila mtu na waliobahatika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kizuri kwa mwanaume kama kuwa na uhuru wa kihisia linapokuja suala la mapenzi

    Ninaposema uhuru wa kihisia namaanisha ewe mwanaume popote ulipo, iwe kazini, chuoni, mtaani hakikisha hawachukulii serious wanawake, yani moyo wako uwe kama jiwe, mtu asipoliondoa litabakia hapo milele, namaanisha uwe na mindset kuwa mdada yoyote nikimtongoza akinikubali sawa, asiponikubali...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kimawazo kuhusu suala la jina katika akaunti ya Benki

    ..
  10. JamiiForums Tanzania CWT Wilaya ya Bunda mnatia aibu sana; hata suala la madaraja ya walimu lilimhitaji Mbunge Chacha Maboto?

    Chini ni picha ya kiongozi wa mtandao wa CWT Bunda Grace Nyabugumba aka MC Mama Kubwa.
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ni posts zilizotengenezwa na jeshi la israel

    https://www.instagram.com/p/CytxASppZGn/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== https://www.instagram.com/p/Cyttef9pL-Z/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Wavamizi wa kiyahudi wakifanya yao, huku wanauwa watoto, wazee, wajane n.k, na wala hawajali. Ndugu zangu waislamu, tuzidi kuwaombea ndugu zetu kwa mitihani...
  12. JamiiForums Tanzania Rasmi: Kwa alivyotetea ukweli kwenye suala la Bandari, Tulia Ackson Mwansasu apewe kijiti 2030 kuongoza Tanzania

    Ukweli umekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha. Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu Kama...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbona Serikali haisemi ukweli kuhusu suala la umeme?

    Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana. Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
  14. JamiiForums Tanzania DRC: Yalipuka mapigano makali kati ya waasi wa M23 dhidi ya Wazalendo

    Tangu tarehe 01.10.2023 kumekuwapo na vuguvugu la muungano wa vijana wapiganaji kuvamia ngome za waasi wa M23. Vijana hawa wanaojiita wazalendo ni mchanganyiko wa vikundi vidogo vidogo vya waasi na wanamgambo nje jeshi la nchi. Wengi ni vikundi maarufu kama Mayi Mayi na Nyatura. Wazalendo...
  15. JamiiForums Tanzania Leo nimefurahi na kusikitika sana baada ya kuwakuta Watanzania wenzangu wanajadili suala la umeme

    1. "Mmesikia hotuba ya Rais, eti kampa miezi sita umeme ukae sawa." 2. "Sasa miezi sita si mabwawa yatakuwa yameishajaa. Umeme utakuwa wa kumwaga." 3. "Wanatufanyia usanii tu." 3. "Lakini mbona maji tunayo mengi tu. Yamepungua maji wapi? Kwanini wasitumie maji ya baharini kujaza kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Wananchi walio serious hili suala la umeme Tanzania lingetosha kuitoa CCM madarakani

    Huu umeme umekuwa kero sana shughuli za watu zimesimama viwanda vinashindwa kufanya kazi ndo mtegemee maendeleo? Wananchi tungekuwa serious CCM 2025 ingebidi waachie serikali kivyovyote vile hata wangeiba kura naamin nguvu ya wananchi ingeitoa. Hata nyie chawa wa serikali mnaoipamba serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia wanakuhujumu kwenye umeme na maji uonekane hufai

    Mara baada ya kumuondoa maharage wapambe wake wanazima umeme na maji hayasukumwi kwa baadhi wa wananchi. Kisimngizio pressure/msukumo mdg? Kinyerezi Kanga ipo sintofaham wanakuhujumu mh rais ili Uonekane hufai, hawasambazi maji wanayafunga makusudi wanadai msukumo mdogo. Watanzania wa ajab...
  18. JamiiForums Tanzania Wasomi, mainjinia, wanazuoni wetu mliopo ndani ya Serikali yetu mmelishindwa suala la umeme?

    It's a shame! Umeme wa uhakika ndio unaleta maendeleo katika taifa lolote lile ulimwenguni, kabla ya kushughulikia na lolote lile taifa au mataifa huuimarisha umeme wake ndipo mengine hufuata, je wanazuoni wetu wameshindwa kutatua hili? Nashauri tupunguze kasi kwenye mengine na tuimarishe hili...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenye suala la sadaka natoa hongera kwa Waislam. Wametuacha mbali sana

    Hi! Mimi ni mkristo, tena ni kiongozi kanisani kwetu. Hili suala la sadaka liko wazi kabisa kimaandiko. Maandiko yameweka wazi tutoe vipi, tutoe wapi na muda gani. Ila baada ya Taasisi nyingi kuzaliwa kwa mgongo wa ukristo sasa misingi ya sadaka kibiblia imeharibiwa na mwanadamu anayetaka...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Kenan Mwasomola umeongea kweli suala la muziki Kanisani

    Nimeona kwenye mitandao jinsi mchungaji kenan mwasomola alivyokuwa amewa kwa hisia kali na hasiri akikosoa uimbaji wa siku hizi makanisani kwamba sio wa roho mtakatifu. Amekosoa jinsi makanisa kutumia mitindo ya nyimbo na muziki wa kidunia kama vile Rap/R&B, Jazz, Reggae, Singeli nk na kuimba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…