kamishna mabosasa ni tofauti kabisa na wa story ya bishop hilluka

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
yaani kama umesoma kwenye jukwaa la entertainment story ya mwandishi nguli bwana Bishop hilluka iitwayo tax utagundua ka twist majina fulani kwa mfano kwenye story yake ambayo ime base kwenye maeneo ya ukweli ya jiji la dsm kuna Rais aitwaye Yohana funguo, IGP aitwaye solomon zirro halafu kuna kamishna mamboleo
kwenye story ya tax kamishana mamboleo ni mtu anayechukizwa na uhalifu ndani ya jiji la dar es salaam anaonekana ana hasira sana na utekaji,mauaji na uhalifu,halali kabisa kutokana na uhalifu huo
sasa njoo kwa the real kamishana mamboleo a.k.a mambosasa ni maajabu,need I say more,TULIONA UONGO WAKE KWENYE ISSUE YA MO DEWJI,ABDUL NONDO,TITO MAGOTI hata RPC wa kinondoni tumemuelewa kuliko yeye,he simply doesnnot care,hitoria itamuhukumu kama mojawapo ya MAKAMISHANA WABOVU WA POLISI KUWAHI KUTOKEA NCHINI
 
Katika wakuu wote wa kanda maalum ya Dar es Salaam yule Tibaigana alikua habari ingine. Kuna vijana waliingia upolisi kwa sababu ya Tibaigana. In short the guy was good.
Then akaja muuzabsura. Mkuu Kova huyu nae alikua mpiganaji japo alipenda sana kuuza sura.
 
Katika wakuu wote wa kanda maalum ya Dar es Salaam yule Tibaigana alikua habari ingine. Kuna vijana waliingia upolisi kwa sababu ya Tibaigana. In short the guy was good.
Then akaja muuzabsura. Mkuu Kova huyu nae alikua mpiganaji japo alipenda sana kuuza sura.
Wewe mhaya acha kutuletea habari za ukabila


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapoa hakuna kitu kamba tu TOTO lenyewe hata halinywi ni kulamba tu, anyanyue chupa iingie basi
Ukabila wa Uhaya hakuna hapa Tibaigana hakuwa na Longolongo, hakuna Raia angekamatwa hapo DSM
Kwa hiyo Mambosasa wa Ufipa unamlinganisha na Tiba? :D 🙆‍♂️:D:D
Angalia vizuri, toto linakunywa kimtindo, ila kwa kuwa ni chungu linaishia kulamba na kukunja sura. Tukirudi kwenye mada, ukweli Tibaigana alikuwa mtu poa sana, hakuwa na ukabila kabisa, hata kama Wahaya wanasemwa kuwa na ukabila. Nakumbuka aliwahi kunisaidia kwenye kesi fulani dhidi ya Wahaya wenziwe, Byarugaba (shemeji yake Bob Makani) na Bageni (yule aliyekuwa Polisi wa Oysterbay).
 
Angalia vizuri, toto kuwa ni chungu linaishia kulamba na kukunja sura.
Pole na Kesi aliyokusaidia Tiba, Mambosasa tumekaa naye Dom alipotoka Usukumani tunamfahamu, ni upepo unamsukuma, bado hajamuelewa nani ni nani, km Kesi ya Mo anaijua vizuri lkn haingizi mguu yupo kisiasa zaidi Tiba angegoma, Hata Perisdaa alishalalamika anyooshe wazi Mo kafanywaje sio kunywa chai na wazazi tu.
 
hapo hakuna kitu kamba tu TOTO lenyewe hata halinywi ni kulamba tu, anyanyue chupa iingie basi
Ukabila wa Uhaya hakuna hapa Tibaigana hakuwa na Longolongo, hakuna Raia angekamatwa hapo DSM
Kwa hiyo Mambosasa wa Sumbawanga unamlinganisha na Tiba? :D :D:D
Bhelekebhyo kyoma. Ugumile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom