stori

Kabir Stori (6 April 1942 – 4 April 2006) (Pashto: کبیر ستوری‎) was a Pashtun nationalist, poet, and writer from Kunar Province of Afghanistan. He was chairman of the Pashtoons Social Democratic Party, a political party that he founded, until his death.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wahehe waliwahi kuwa kabila lenye ushawishi na nguvu kubwa nchini. Ni kitu gani kimepeleka anguko lao?

    Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k. Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa. Nini kimepelekea hali hii?
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Stori ya Air Manula na mahaba ya mashabiki

    Liked by realclatouschama and 22,638 others 28_manula Baada ya kufanya vipimo hospital ya Taifa MUHIMBILI-MLOGANZILA nilianza safari ya kurudi nyumbani kwetu KILOMBERO Nilifika morogoro mjini mishale ya saa kumi na moja na dakika kumi na nane hivi. Nilipata mapumziko kidogo kisha tukaendelea...
  4. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Stori ya huyu kijana imeniumiza sana, ama kweli wanawake legezeni kamba kuwanusuru vijana waliobakia dhidi ya hili janga la wanawake toleo jipya

    Nina muda kidogo sipo active humu, ila hii story imefanya nirudi sababu naamini JF inawafikia watu wengi. Huyu dogo anafanya kazi ofisini kwetu, alipata scandal za kutoka kimapenzi na kijana fln hv shoga hivyo ikaleta vulumati sana pale kazini. Mimi ndie msimamizi wake wa kazi hivyo dogo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nataka kulala masikini kuamka tajiri

    Siku moja kuna rafiki yangu wakaribu alifiwa na baba ake mdogo kama ujuavyo watanzania tuliowengi tunatabia yakushirikiana katika shida na raha basi siku ya maziko nilikaa pamoja na vijana wenzangu, tulikuwa tukipeana habari mbalimbali kama ujuavyo watu wa rika zinzofanana wanapokaa pamoja...
  6. 5

    JamiiForums Tanzania Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

    😁
  7. Bonge La Afya

    JamiiForums Tanzania NGUVU YA MSAMAHA: Stori niliyosikia kwa January Makamba mwaka 2021

    Anasema mwaka 2008, akiwa Msaidizi wa Rais Kikwete, alikuwa ziarani Makete. Alikuwa anatumia gari na dereva wake wa Ikulu, aliyeazimwa kutoka Jeshini. Jioni moja, kuna document ya Rais alitaka aifanyie kazi na kumpelekee kesho yake saa 1:00 asubuhi. Akamwambia dereva amfuate saa 12:30 asubuhi...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama una Mwanamke Muongeaji mwenye ma Stori halafu anashabikia Simba SC, tulia naye!

    Uko kazin? Upo wapi sahiz? Umekaa na nani?. Umekula nn?. Umelala na nani? Mnaongea nn?. Hizo ndio Stori za Bidada wangu Mchepuko wangu madam Fulani Hivi Mwalimu 🤣🤣 Hana Stori kabisa, yeye ni maswali mwanzo mwisho, ni maswali mwanzo mwisho !!.Maswali mpaka Anaboa, nimeshamwambia hivi wee...
  9. funluverx

    JamiiForums Tanzania Mbongo mpe 'heading' tu kisha subiri stori

  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Niko na wadau wa THIS wananipa stori, hali ya UKIMWI inatisha

    Aisee hali inatisha wakuu vijijini kiasi cha maambukizi kinatisha kinazidi kuongezeka takwimu zitatoka mtaona. Shida ni hawa machangudoa wa kutoka Dar wanaleta vimelea mikoani, mfano msimu wa mavuno siku hizi mikoa ya Lindi Na Mtwara na wilaya ya Tunduru kwa sasa hali sio nzuri uchafu wa kila...
  11. fikiriaassistant

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Stori Fupi na Picha Zake kwa Command za Maneno Machache Tuu

    Artificial Intelligence in Tanzania: Tumetengeneza Artificial Intelligence platform ambayo inaweza kukusaidia kuongeza ufanisi na productivity ktk kazi zako, leo nita share vitu vichache kidogo ambavyo inaweza kukusaidia - kuelezea documents za kisheria lugha rahisi sana (legal documents...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Stori yangu, Niliacha shule form 4 nyumbani nilidharaulika, nilichekwa nilipoenda kujifunza useremala ambao leo umerudisha heshima yangu

    kwangu niliona shule siwezi tena maana uwezo wangu wa kujifunza ulikuwa mdogo, walimu darasani walikuwa wanafundisha kwa spidi kubwa kuzidi uwezo wangu, vitabu hakuna, sina hela za kwenda tuishen, n.k. Form 4 matokeo yalitoka nina division 4 mbaya sana lakini waziri wa elimu wakati huo...
  13. Amani Dimile

    JamiiForums Tanzania SoC02 Stori ya kuhuzunisha sana

    Katika ukanda mmoja wa Kusini wa Bara la Asia, palikuwa na mfalme mmoja ambae alitawala himaya yake kwa weledi na ufanisi mkubwa mno. Mfalme huyo alikuwa akipenda sana haki na utiifu mno, kiasi kwamba aliwaadhibu vikali mno wale wote walioenda kinyume na sheria na taratibu za himaya yake...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kufanya kazi kwa wazungu huwa kuna maslahi mazuri pamoja na kujaliwa utu au ni stori tu za vijiweni?

    Wengi (sio wote) Kunakuwaga na zile stori kwamba ukifanya kazi kwa mzungu umelamba dume, kuanzia maslahi yaani Mshahara na posho utapata kwa wakati tena kwa kiwango kizuri, utahehimiwa utu wako n.k. Ila sasa ukiwa mvivu, inachelewa kazini, kutoka toka muda wa kazi, kunaongea sana kuliko kazi...
  15. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mawazo, Stori na historia ya maisha yangu

    Kwanza mimi huwa najiulizaga, hivi mawazo yanatoka wapi? Inakuaje unatokea kuwaza tu mfano unawaza ngoja niandike uzi. Japo sijapata jibu lakini naamini mawazo/thought are social influenced thing, mazingira yanayotuzunguuka ndo yana determine sana kile kinacho kua generated akilini, how are...
  16. Razmax

    JamiiForums Tanzania SoC02 Stori ya kusisimua

    Jioni ya leo tu nilikuwa natembea kwenye njia nyembamba ya kichaka, ghafla nikakosea nikakanyaga Mchwa 🐜 mkubwa ... Mara nikaondoa mguu wangu, nikagundua nimemuua, lilikuwa kosa ingawa nikaendelea nilipokuwa nikienda. Baada ya sekunde kadhaa akili yangu ikaanza kunisumbua, ningewezaje kumuua...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Tokea nije Mara sijashughulika na wanawake wa huku kwansababu ya stori zinazonitisha

    Nina muda kidogo tokea niwasili mkoa huu wa Mara kwa kazi maalum ambayo itaendelea kuniweka uku kwa miezi kadhaa. Kabla sijafika uku na ata baada ya kufika, nlishapata taarifa nyingi kuwa mkoa huu kukatwa mapanga kwasababu ya wanawake ni jambo la kawaida sana. Yaani mtu anaweza kukuchinja kisa...
  18. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tuache kukosoa stori kwa kusema "chai"

    Kama unaona stori ni ya uongo na hujatozwa hela kwanini umkatishe msimuliaji tamaa?! Sisi wengine tunanufaika na simulizi za humu kwani zinatupunguzia stress. Sasa unakuta stori ni nzuri sana na ungependa kusoma muendelezo wake, wanaibuka watu wa kumkatisha tamaa msimuliaji kwa kumuambia...
  19. Liutenant

    JamiiForums Tanzania Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

    Msome hapa chini cc Kiranga
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama uliweza kumaliza mitihani yako, weka hapa stori yako, mbinu, changamoto kuwapa matumaini watahiniwa

    Duh aisee ule mziki wa CPA sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 E.C.A na degree bado haifiki hata robo, hata wanaotoka cpa kwenda masters huwa ni kama wameenda likozo na wanapasua masters si mchezo, lakini utoke masters uje cpa ni shughuli pevu...
Back
Top Bottom