stori

Kabir Stori (6 April 1942 – 4 April 2006) (Pashto: کبیر ستوری‎) was a Pashtun nationalist, poet, and writer from Kunar Province of Afghanistan. He was chairman of the Pashtoons Social Democratic Party, a political party that he founded, until his death.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Kuna watu ukikaa nao stori zao nikusifia watu tu, au kuongelea vitu au maendeleo ya watu wengine, Hii imekaaje

    Umekaa na mshikaji au jamaa bar au sehemu nyingine stori zake ni kuongelea maendeleo ya watu wengine. utasikia fulani ana gari zuri, sijui Nyumba tatu , mgodi, mshahara mkubwa, mke mzuri , Yaani hazungumzii habari za maendeleo yake au mipango ya maendeleo yeye ni kuongelea na kusifia...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Stori gani ya wizi au wezi uliwahi isikia au kuhishuhudia ukacheka sana

    Naam habari za muda huu ndugu zangu. Msinichoshe nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kisa changu. Mwaka 2018 mtaani kwetu kuna mtu alikua na duka anauza vitu vingi sana na alikua kalikata mara mbili, Upande mmoja alikua anauza vitu vya electronic pale kulikua na mafridge, TV nk, na upande...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mama mpende tu huyo Baba, ila ndiyo anakuumiza japo anakudanganya kwa Stori zake pamoja na Tabasamu lake la Kimafia

    Hapa namzungumzia Mama kama Mama na Baba kama Baba tuelewane tafadhali.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kila nikisikia stori za Mungu nahisi kichefuchefu

    Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k). Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
  5. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Stori za babu wa kizungu

    Ati kwamba kulikuwa na dunia nyingine ambayo ilikuwa sambamba na dunia yetu hii,,,, zamani hizo dunia yetu ilikuwa na wale mijusi wakubwa na sisi tulikuwa katika hiyo dunia nyingine Pia namna ya usafiri kwa njia za anga ulikuwa ni kutumia aina ya ndege hai wakubwa kuvuka toka dunia hii mpaka...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ni mwendo wa kuinamisha shingo, stori zimepungua hata ugenini

  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sio vibaya uka-Share stori yoyote kuhusu miaka ile ulipokuwa shule.

    Tukiwa bado tunanukia kinyumbani nyumbani vijana wa form 1, tumetimiza wiki moja au 2 mbili hivi, ilikuwa imefika mida ya kwenda kuchukua msosi wa jioni. Sasa si unajua vyombo tunatunza kwenye matranka so inakubidi urudi bwenini ukachukue. Ile ndio form 1 tumeingia bwenini kuchukua vyombo...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Stori ya Yesu ndio stori mashuhuri zaidi kuliko zote kuwahi kusimuliwa na kuwa documented.

    Stori hii ya mtoto wa Seremala ambaye miaka 2000+ baadae stori yake imeungwa mkono na kuenziwa na wafuasi zaidi ya watu bilioni 2.6. Stori hii iliotengeneza utamaduni na jadi mpya duniani na ikabadirisha ulimwengu for good, utamaduni wa utulivu na amani, kutokuwa na kinyongo na kusamehe, utu na...
  9. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

    Karibuni wanajukwaa
  10. Investaa

    JamiiForums Tanzania Tupia stori ya kijasusi (PDF).

    Kama title inavyojieleza hapo juu, twende kwenye mada hapo juu. Nimesoma moja inaitwa CAPTURE OR KILL MISSION. Kama movie ..
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli watu wana rogwa au ni stori tu tom and jerry

    Stori ni nyingi hadi we mwenyewe unaweza kuhisi umerogwa kweli. Ipi ni stori ya ukweli ya uchawi wa kurogana na mambo ya kutupiana laana Karibuni
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Realmamy ahsante kwa hii dinner date. Nimeenjoy sana stori na wewe

    realMamy . Picha bora sana hii tuliopiga ngoja niweke status. PSL god min -me Poor Brain achenni mazoea na mammii
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hot Stori: "KITOTO CHA AFU MBILI"

    KITOTO CHA AFU MBILI Mtunzi: Robert Heriel #+255693322300 Age. 18+ EPISODE 01 "Unafikiria nini Mpenzi" " Mmmh! Sio Jambo kubwa!" " Upo mbali Sana. Kama sio Jambo kubwa litakuwa Jambo gani " " Bado natafakari mtunzi wa simulizi ya mapenzi yetu. Natamani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania STORI YANGU; Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na Mama yake!

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hii hapa true stori ya lile sanduku la agano la bwana; the misery unsolved

    Ilikuwa jioni ya tarehe 9 mwezi Av (tano) mwaka 3175 kwa kalenda ya Kiebrania (Hebrew Calendar) sawa na mwezi July au August mwaka 587 kabla ya Kristo kwa kalenda yetu. Mkuu wa majeshi ya jeshi kubwa kuliko yote duniani kwa wakati huo aitwaye Nebuzaradani kutoka Babeli, alikuwa ameingia ndani...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Stori ya jinsi Sativa alivyotekwa yatua kwenye gazeti la The Guardian la Uingereza

    Wakuu, Inaonekana kama Sativa is here to stay. Siku ya leo, Gazeti la The Guardian kutoka Uingeereza limetoa bandiko linalohusu masuala ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini Edgar Mwakalebela maarufu alitajwa kama muhanga wa matukio ya utekaji yanayoendelea nchini ambapo pia alipata...
  17. Man Middo tz

    JamiiForums Tanzania Stori: Baba masikini hadi kuwa baba tajiri kwa kusomesha watoto wake

    Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua. Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
  18. Man Middo tz

    JamiiForums Tanzania STORI FUPI: Jinsi ya kutafuta furaha yako

    STORI FUPI: JINSI YA KUTAFUTA FURAHA YAKO. Alitokea mwanamke mmoja aliyevalia nguo za gharama sana, kwa kumtazama tu ilitosha kutambua kuwa ni dada wa kitajiri. Basi alienda kwa mwanasaikolojia akamwambia kuwa “Sina furaha na maisha yangu nipo na huzuni, yani kiufupi maisha yangu hayana maana...
  19. FlyingDutchman

    JamiiForums Tanzania Nimeikumbuka hii stori

    First part ( 1) **** I'm a church boy if you ask, you know what is funny about it all, Ladies have taken their allegations to the next level, calling nice guys simp, but are they? Hey kuna this girl, I refer her a girl because I don't think I love her anyway. Is my story worth telling, I say...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

    Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi; 1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina...
Back
Top Bottom