Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me
Nachukiwa vibaya mno
Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana Kwa season maana alikua chuo baada ya muda kaja kusikia nimezaa na pisi ingine niliamua kumwambia tu...