Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,613
8,749
Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza.

Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu.

Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
 
Hivi kumbe watu kama nyie mpo, mnaoishi kwa kujali likes? Yaani unadefine maisha Yako kwa kuangalia watu wangapi wanalike kile unachoandika?

Huu ni utoto. Maisha Yako ni Mali yako mwenyewe bila kujali wengine wanakuchukuliaje. Jitahidi tu kuwa 'a responsible citizen '.
 
nilipo kwambia "Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali."
hivi leo unaweza kumtafuta mtu bila mawasiliano ukilinganisha na zamani
 
Sidhani kama thamani inapimwa kwa likes wala kupostiwa status, binafsi nina matatizo ya kuto ku-press like button kwenye mitandao wala kupost picha za watu lakini haimaanishi sipendi navyoviona ni mazoea tu
 
Hivi kumbe watu kama nyie mpo, mnaoishi kwa kujali likes? Yaani unadefine maisha Yako kwa kuangalia watu wangapi wanalike kile unachoandika?

Huu ni utoto. Maisha Yako ni Mali yako mwenyewe bila kujali wengine wanakuchukuliaje. Jitahidi tu kuwa 'a responsible citizen '.
Usimpuuze mleta mada, vijana wenginsasa wamepotoka na kuacha maisha yaonyaendeshwe kwa nguvu ya mitazamo ya mitandaoni, ndio maananunaona wanakimbizana sana huko ma online kuliko wanavyokimbizana kwenye real life.
Hii ni picha halis namna mitandao inavyo run maisha yao
 
Back
Top Bottom