status

A status symbol is a visible, external symbol of one's social position, an indicator of economic or social status. Many luxury goods are often considered status symbols. Status symbol is also a sociological term – as part of social and sociological symbolic interactionism – relating to how individuals and groups interact and interpret various cultural symbols.

View More On Wikipedia.org
  1. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania THE BATTERY CONNECTION ERROR PLEASE CHECK BATTERY STATUS

    Habarini wakuu naombeni mnisaidie mawazo ya kwanza kuna simu (smartphone?)imechajiwa hapa kwa mpaka imefika 85% galfla imestop yani haiingizi charge kila tukichomeka kwa chaja inaleta tu ujumbe huo juu
  2. Mshamba wa kusini

    JamiiForums Tanzania Kila siku status unapost wenzio wanaolewa we unaolewa lini?

    Habari Kuna hawa wadada ambao wao kila siku status unakuta anapost harusi za shoga zake wakati yeye bado wahuni wanapiga kisela. Najiulizaga sana uwa hawakai wakatafakari na kutamani nao waolewe kama wenzao au wameridhika na maisha ya uboyfrind na ugirlfriend? Dada acha kujichoresha mitandaoni.
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: High Court suspends Privileges & Immunities status granted to Bill and Melinda Gates Foundation

    President William Ruto and co-chair of the Bill & Melinda Gates Foundation Bill Gates at State House, Nairobi in November 2022. Photo I PCS The High Court has issued orders suspending the Bill and Melinda Gates Foundation's special Privileges & Immunities status pending the hearing and...
  4. MFALME WETU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

    Ughonile., Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikitupia ndoano tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti kimoja saafi unabaki umeduwaa. Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uraia Pacha, Wanadiaspora Mshukuruni Rais, sasa mnatambuliwa rasmi kwa Special Status ya Diaspora Tanzanite Card, una enjoy baadhi ya Haki za Uraia!

    Wanabodi Ni juzi Ijumaa niliuliza humu Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga, leo nakutana na hii hoja, uraia pacha wetu jameni ndio huu!. Haya sasa ndugu zetu wana Diaspora, mliopoteza uraia...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

    Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya contacts wanaweka status za Palestina sijawahi kuwasumbua, leo nimewka Status za Israel nimevamiwa inbox bila salamu

    Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status za kuonyesha huruma Israel inapotoa dozi. Napenda sana kutazama status, lakini huwa nashangaa sana...
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Alie jiposti status akiwa chini ya kifusi ameokolewa

    Usipoteze tumaini na Imani MOYONI mwako hii ndio hukupa nguvu ya kutokata tamaa. Mungu hutushindia tulio na tumaini na imani ili tuwe mashuhuda wa kati ya walikuwa na AMANI 🙏🏿 Mungu awalinde na awakoe kwa mkono wake wa ushindi ambao bado wanalotumaini katika mazingira ya kifusi na walioko...
  9. Mayu

    JamiiForums Tanzania STATUS ya makocha bora duniani

    Nini kimekushanga?
  10. Tman900

    JamiiForums Tanzania Low profile( Kuishi Kawaida/ Low status)

    Low profile( Kuishi Kawaida/ Low status) Kuishi hivyo Kuna uzuri wake na ubaya wake
  11. Singasinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaweka status WhatsApp ya kuachana na mtu ila si mimi

    Habari wakuu, Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka WhatsApp wimbo wa Mboso uitwao Over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi. Kuna haja ya kuhoji?
  12. PSEUDOPODIA

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu status ya HESLB

    Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.
  13. 1999s

    JamiiForums Tanzania Applicant's Application Status Information: A-LEVEL/DIPLOMA SPONSORSHIP FORM Not Stamped.

    Habari zenu wakuu, kama inavyosomeka katika title hapo juu, hizo ni habari za mdogo wangu ambaye ameomba mkopo kupitia bodi ya mikopo kwa ajili ya elimu ya juu(heslb). Swali tunalojiuliza hiyo stamp inayohitajika ni stamp ya taasisi gani. Mwenye kujua tafadhali atujuze. Asante.
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
  15. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Diaspora Watapata Lini hiyo Tanzanite Status?

    Tanzania ni nchi pekee katika ukanda huu yenye wivu wa juu sana dhidi ya raia wake kiasi kuwa hairuhusu raia wake wachukue uraia wa nchi nyingine yoyote. Nchi zote zinazoizunguka Tanzania zilishaona mbali kuwa dunia inabadilika haraka na zikawaachia raia wao kuchukua uraia wa nchi nyingine...
  16. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wale ambao ratiba ya Secretariat ya ajira inaonesha status ni ORAL pekee Ina maana hawatafanya WRITTEN?

    Kwa mwenye uzoefu na hili suala tafadhali?
  17. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Timu kama Brighton inafundisha kuiishi na kuitekeleza mifumo, sera na taratibu za timu

    Hii ni moja ya timu zinazonivutia sana kwenye ligi kuu uingereza nje ya kushabikia Chelsea. Sera yao ni kukuza na kulea vipaji pamoja na kuuza kama anapatikana mteja. Kinachonivutia zaidi ni namna wanaweza kusumbua vigogo na kutawala kwa kiasi fulani ligi ya EPL japo wanakua wamepitia vipindi...
  18. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ogopa kuoa mtu mwenye status ya chini. Utachapiwa mpaka na mkata nyasi za kulishia ng'ombe

    Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake. Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke. Mfano mwanamke:- 1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama...
  19. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Keep Your Financial Status Private

    Keep Your Financial Status Private 1. Don't share your salary details on social media. 2. Don't flaunt your investment successes online. 3. Avoid posting about your financial struggles publicly. Reality is... 1. Not everyone will support your financial achievements. 2. Many comments may be...
  20. Extraodinary Gynecx

    JamiiForums Tanzania SoC04 Achievements of health status in Tanzania 🇹🇿 in the next five to ten years

    In order to achieve the desired health status in Tanzania in the next five to ten years, innovative approaches must be implemented to bring about significant benefits to our country. Tanzania faces various health challenges, including limited access to healthcare services, inadequate healthcare...
Back
Top Bottom