spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia waite kamati ya maadili wabunge hawa tuhuma za rushwa bungeni

    Mheshimiwa Spika sisi watanzania tunakuomba kwa heshima na taadhima wabunge hawa waitwe kamati ya maadili ya Bunge na baadaye wahojiwe TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa bungeni. 1. Rashid Shangazi Mbunge wa Mlalo- Tuhuma za kushawishi mamlaka kuipa kazi Kampuni ya DP World. 2. Januari Makamba-...
  2. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Spika Tulia atoa ufafanuzi

    Spika anasema wacheni kupotosha: -- Spika wa Bunge, Dr Tulia Ackson ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizosambaa zikidai kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari limesharidhia Azimio la Bunge kuhusu pendekezo la mkataba wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

    Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya. Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba hajatoa rushwa kwa Spika wala Wabunge

    Kumekuwa na kelele nyingi wiki hii kwamba Januari Makamba ametoa sijui bilioni 3 kuwahonga Wabunge ili wapiteshe Bajeti yake na kutumia sijui milioni 700 kuhonga Vyombo vya Habari vyote ili visiripoti Michango ya Wabunge wanaokosoa Utendaji wa Wizara. Hizo tuhuma ni za uongo na hazina...
  5. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Timu ya Bunge inapiga mpira mzuri mithili ya Yanga

    Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake bora cha mpira. Pia Spika ameongeza kwa kuilinganisha ubora huo na Klabuya Young Africans ambayo...
  6. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mitungi 100 ya gesi ya January Makamba kwa ufafanuzi wa Spika Tulia ilikuwa siri, Salma Kikwete karopoka bila kujua?

    Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yafuta Viza ya Spika wa Bunge la Uganda

    Marekani umechukua uamuzi huo dhidi ya Anita Among huku Mbunge Asuman Basalirwa akisema yeye pia anaweza kuwa mwathirika wa kuwekewa vikwazo baada ya Uganda kuhalalisha Sheria dhidi ya LGBTQ. Kabla ya hatua hiyo, Rais wa Uganda, Museveni alipuuzia maoni na matakwa ya baadhi ya Nchi za Magharibi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

    Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati. Wabunge mko bungeni kwa ajili ya...
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

    ".... Mapema January mwaka jana, mzee wangu Malecela alifika nyumbani kule Kongwa usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA NA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Spika Tulia kujifanya hajui kinachoendelea Kariakoo

    Salaam Ndugu zanu, Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea. Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea? Eti anadai anataka ajiridhishe kama ni kweli au la...
  11. K

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kuomba kufanya maandamano dhidi ya Spika

    Leo nimeona kupitia youtube kuwa BAWACHA wanatarajia kufanya maandamano dhidi ya Mhe. Spika kuendelea kwa kuwakumbatia Wabunge batili wa CHADEMA 19. Binafsi kama raia mwema wa Tanzania na niliyesoma Katiba yetu na kuielewa nawaunga mkono kwa asilimia 100.
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika: Watu wanaugua kwa Makelele ya Muziki

    NAIBU Spika Mussa Azan Zungu ameitaka serikali kupitia Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kudhibiti kelele hasa za muziki katika makazi ya watu ambazo zimegeuka kero kwa wakazi. “Wazee wengi wanateseka na makelele ambayo hayana udhibiti (control). Tuwaombe NEMC mchukue...
  14. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Leo ikiwa ni Alhamisi hebu tuwakumbuke wabunge machachari enzi ya Bunge la Spika Marehemu Samwel Sitta!

    Leo ni alhamisi , huwa tunakumbuka mambo ya zamani kidogo. Mnalikumbuka Bunge la Spidi na Viwango chini ya uongozi wa Spika Marehemu Sitta? Hebu leo tuwakumbuke wabunge waliokuwa machachari kwenye kuibua hoja zenye maslahi mapana ya Taifa. Wabunge hao ni wale waliokuwepo katika uongozi wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Huu upepo si mzuri kwa Spika Tulia. Je, unaweza kupita naye?

    Kuna mambo ukiyaangalia kwa undani sana Tena kwa jicho la tatu utagundua kuna kaupepo fulani kana mchanganyiko wa joto na baridi kakivuma upande wa kiti Cha Spika. Je, upepo huu una madhara kwake? Mambo fulani fulani yanatoa picha ya vuguvugu la upepo huu. Kwanza, kitendo Cha Shabiby kusema...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia Ackson Aache kuingilia Majukumu ya Mawaziri

    Spika wa bunge letu jana alinisikitisha sana na ameshusha credibility alliyokuwanayo. Wakati waziri wa TAMISEMI akiwa anahitimisha hoja yake alitokea mbunge moja mwanamke wa viti maalum nafikiri kutoka nyanda za juu kusini. Yule mbunge alitaka kulazimisha wale wanaoitwa walimu waliojitolea...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge kumpigia kura Spika wa Bunge kutokuwa na imani

    Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa ya watanzania. Hatua ya wabunge hao inakuja baada ya Spika kuzima ajenda za wananchi ambapo baadhi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Spika amzuia Mbunge wa Iringa kujadili hoja ya kufutiwa leseni mawakala wa mbolea

    SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya wakulima kuungua kwa kukosa mbolea baada ya uamuzi wa Serikali kuwafutia leseni mawakala 721 kutokana...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ulawiti adhabu yake ni miaka 30 jela bado Spika anasema anataka hiyo irekebishwe

    Eti irekebishwe iwe kali zaidi. Hayo sasa ni masihara. Ile sheria ni kali sana kwa vitendo vya ulawiti. Ile sheria inapinga hata mwanamke kulawitiwa. That is how mean that law is. Sasa unataka kuifanyia marekebisho gani? Kwa sababu ukianza kusema unataka sheria iwe taiti zaidi ndio utawaibua...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia anawalaghai Watanzania

    Spika Tulia anataka kuwaletea ahueni watu wanaotiliwa mashaka na CAG Kichere ndiyo maana anasema mjadala (wa ripoti ya CAG) ufanyike Novemba. Lakini kama CAG ameandika ile ripoti wale watu wanaweza kujojiwa na TAKUKURU, na DPP na kupelekwa mahakamani. Mambo yoyote yatayokuwepo katika ripoti ya...
Back
Top Bottom