Marekani yafuta Viza ya Spika wa Bunge la Uganda

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Marekani umechukua uamuzi huo dhidi ya Anita Among huku Mbunge Asuman Basalirwa akisema yeye pia anaweza kuwa mwathirika wa kuwekewa vikwazo baada ya Uganda kuhalalisha Sheria dhidi ya LGBTQ.

Kabla ya hatua hiyo, Rais wa Uganda, Museveni alipuuzia maoni na matakwa ya baadhi ya Nchi za Magharibi kumtaka kutosaini Muswada wa Kupinga Mapenzi ya Jinsi Moja.

Basalirwa amesema pamoja na kifutwa kwa Visa ya Spika bado anaweza kwenda Ubalozi wa Marekani kwajili ya kufanya maombi mapya ya mchakato.

Kwa Kanuni mpya za Uganda wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi Moja wanaweza kuadhibiwa hadi kwa kupewa kifungo cha maisha jela.

=============

US revokes Among's visa over anti-homosexuality law, says MP Basalirwa

The US has revoked the visas of Uganda’s Speaker of Parliament, Anita Among, with lawmaker Asuman Basalirwa saying she is the first victim of likely sanctions after the East African nation lawed an anti-LGBTQ legislation.

“The speaker’s current visas have been cancelled and this is confirmed in an email,” Basalirwa who moved the Bill said.

Quoting the said email shortly after it became known that President Museveni brushed aside pressure from the West and rights groups to sign the anti-gay Bill into law, Basalirwa added that:

"The US government has revoked your (Among) current visas on information that came available after your last issuance,” he said as he displayed a printout of the apparent mail to journalists at Parliament.

“As of May 12, 2023, you (Among) don’t possess a valid visa to the US although you are welcome to apply again,” he said as he displayed a printout of the mail to journalists at parliament.

According to Basalirwa, the speaker has been encouraged to forward her passport to the US Embassy through the ministry of finance for necessary modifications to her visas.

“I think they were looking for my visa for the US but they didn’t find it. So, the first victim is the speaker,” the Bugiri Municipality MP observed.

Under the new legislation, those who perform homosexuality face extreme penalties that may include life imprisonment.

Early Monday, Among had made clear that “Parliament shall always stand for and promote the interests of the people of Uganda.”

I now encourage the duty bearers under the law to execute the mandate bestowed upon them in the Anti-Homosexuality Act. The people of Uganda have spoken, and it is your duty now to enforce the law in a fair, steadfast, and firm manner,” she wrote on Twitter.

By press time, the US Mission was not available to comment on the developments.

Source: Monitor
 
Wawanyime visa watoto wao wasiende huko kusoma au kutafuta maisha. Huyo mzee ukimnyima visa itasaidia nini wakati hana hata mpango wa kwenda huko keshamaliza kila kitu USA? Halafu tokea lini kunyimwa visa ya USA ndiyo imekuwa kama kuzuiwa kwenda mbinguni? Mtu anaishi a very luxurious and comfortable life nchini kwake na ninaamini ni tajiri sana, sasa aende USA kufanya nini?
 
kwani Marekani ni heaven jamani mpaka mpate presha ya kufutiwa visa ?

Makonda mbona alifutiwa visa alipungukiwa nini ?

Museven ni Mwanaume wa shoka 💪
 
Back
Top Bottom