spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Hata wewe Spika ukileta siasa zako tunaweza kukuazimia

    Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi watatoa Azimio Waziri na Watendaji wake waindolewe na kama Spika ataleta Siasa zake naye Atakaa pembeni...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema serikali haitalazimika kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

    SPIKA wa Bunge Dk. Tulia Ackson amesema serikali haitalazimika kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wakati wa Mkutano wa Bajeti unaoendelea na kwamba Bunge halitachukua hoja zitakazochangiwa na Mbunge kuhusu ripoti ya CAG kwa sababu Mkutano wa sasa wa Bunge ni wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia kila kitu hujui ni bora ujiuzulu

    Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia Bunge hasa akiongoza Spika, Dk. Tulia kila jambo analosema Mbunge yeye anasema halijui afundishwe au aeleweshwe, mtakumbuka sakata la TRAB na TRAT aliuliza ndio kituo gani hicho? Sasa unawezaje kuwa Spika hujui hata maana ya TRAB na TRAT. Mara ya pili...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika. Niko mahali...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi. Tulia kasema wanawategemea Mwananchi, JamiiForums kuwapelekea wananchi taarifa sahihi na si za upotoshaji, amesema haipendezi hasa kama...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Tulia Akson asema Ripoti ya CAG haijafika Bungeni Bado

    Asema Ripoti ya CAG haikufika Bungeni na watu wawe watulivu. Amedai baada ya Ripoti kusomwa taarifa huwa inaletwa Bungeni na kujadiliwa na maazimio ya Ripoti kutolewa na Bunge. Ameendelea kusema mambo ya serikali hayaendi kinyemela ila ni kwa sheria na kanuni. Hivyo Ripoti ya CAG ipo jikoni na...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani akataa mwaliko wa Zelensky kutembelea Ukraine

    SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti. Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, Naibu Spika Zungu ana busara na uzalendo kuliko Dkt. Tulia?

    Naona kwa wapenda maendeleo hawa wabunge ambao hawana mvuto wala kupedwa kisiasa ndiyo wanakuwa tatizo. Zungu mfano hana tatizo lolote na mabadiliko ya katiba wala nchi kwasababu ana mvuto na kuelewa siasa. Dr Tulia hajawahi kushinda chochote wala kupedwa na ndiyo maana anahangaika. Ni wakati...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Viongozi walioapa akiwemo Mkurugenzi wa Uchaguzi wasome na kuelewa Ilani ya CCM ili kumuunga mkono Rais

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 27 Februari, 2023 Dr. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amewaasa viongozi wote walioapa leo akiwemo Mkurugenzi wa Tume...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia acha mapepe kwenye PhD za heshima

    Nilikuwa nafuatilia vyuo vinavyotambuliwa na PhD za heshima walizotoa. Ukiangalia vizuri zimejaa wanaharakati, wachezaji wa michezo mbali mbali na wasanii. Sasa huyu spika kupoteza muda na kujadili haya ili tu Dr waitwe wenyewe haitawezekana na haipo kisheria kama ananyo aminisha watu. Hivyo...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burundi yashinda kiti cha Spika wa EALA baada ya Sudan Kusini kujiondoa

    Joseph Ntakirutimana, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Burundi, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Ameshinda baada ya wanachama 54 kati ya 63 kumpigia kura, huku mmoja akimkataa na Kura nane ziliharibika. Ili mtu ashinde nafasi ya Spika wa EALA, lazima apate...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Miaka 15 ya Uspika na 35 ya Uwakilishi Bungeni, Spika Pelosi kujiuzulu rasmi

    Spika wa 52 wa Baraza la Wawakilishi na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo akiwa kiongozi wa chama cha Democratic kwa miaka 19, ametangaza hatua hiyo baada ya kuhudumu kama Spika mara 2 kwa miaka 15. Amekuwa Mwakilishi Bungeni kwa miaka 35 tangu mwaka 1987 na kisha kuwa Spika mwaka 2007...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania KISASI: Trump apendekezwa kuwa spika wa bunge la Marekani,

    Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka. Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Shehe Ponda: Kwanini Spika anaendesha Vikao vya Bunge Siku ya Ijumaa? Au ni kiburi?!

    Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili? Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada Jumapili ni Siku ya Ibada Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu! Sabato njema
  16. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Dkt. Tulia amenishangaza sana leo!

    Leo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa Msalato Dodoma akisema eti amesikia kwenye mitandao ya kijamii kwamba rais Samia anaenda China. Hivi kweli spika mzima unasema umesikia kwenye mitandao ya kijamii kweli! Spika anaongoza muhimili muhimu Sana wa kuhoji safari za rais lakini ndio huyo...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mme wa Spika wa Bunge la Marekani kapigwa nyundo nyumbani kwake

    Mme wa Spika wa Bunge la Marekani ajulikanaye kwa jina la Paul kajeruhiwa kwa kupigwa na nyundo akiwa nyumbani kwake huko Marekani. China inahusishwa na njama hizo baada ya kumuonya Spika Perosi asidhuru Taiwan na kupuuza.
  18. Don Moen

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ningependa uutendee haki uvaaji wako kama Spika wa Bunge

    Wewe ni kiongozi wa muhimili wa Bunge. Wewe ni mbunge wa Mbeya mjini na mama wa familia, binafsi ninakuheshimu na nina amini⁷ kadhalika na Watanzania wote. Mungu amekujaalia umbo zuri ambalo wanawake wengi wanalitamani kwani wamegundua unene ni mateso. Natamani upate tu mtaalam wa mavazi...
  19. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha wasiojulikana hatimaye kimeteguliwa na Spika Tulia?

    Nimetulia namsikiliza kwa makini Spika Tulia akiwataka vijana wanaosadikiwa ni wa CCM kuwashughulikia wanaowakosoa viongozi wa chama na serikali. Moja kwa moja nikamkumbuka kijana machachari Ben Saanane kwa jinsi alivyokuwa anahoji sifa za Rais na Mwenyekiti wa CCM, John Pombe Magufuli (RIP)...
  20. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson anapingana na Rais Samia? Kati yao nani tumsikilize na kumuamini?

    Hawa ni viongozi wawili ambao wote ni wakuu wa mihimili 2 katika nchi, wote ni wa chama kimoja, wote walikuwepo tangu enzi za Hayati JPM, wote walikuwa ni "Makamu" kipindi cha Hayati JPM, na wote kwa sasa ndiyo wakuu wa mihimili hiyo baada ya watangulizi wao mmoja kufariki na mmoja kujiuzulu...
Back
Top Bottom