special thread

The Unified Thread Standard (UTS) defines a standard thread form and series—along with allowances, tolerances, and designations—for screw threads commonly used in the United States and Canada. It is the main standard for bolts, nuts, and a wide variety of other threaded fasteners used in these countries. It has the same 60° profile as the ISO metric screw thread, but the characteristic dimensions of each UTS thread (outer diameter and pitch) were chosen as an inch fraction rather than a millimeter value. The UTS is currently controlled by ASME/ANSI in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Portugal national Team special thread

    🇵🇹 PORTUGAL NATIONAL TEAM Portugal ni moja ya mataifa yaliyobadilika sana kwenye historia ya soka duniani. Kutoka taifa lililokuwa halipewi nafasi kubwa, mpaka kuwa moja ya nguvu kubwa Ulaya na duniani 🇵🇹🔥 Leo Portugal imejaa historia ya: •Vipaji vikubwa •Magoli ya ajabu •Vilabu maarufu...
  2. JamiiForums Tanzania Funny texts special thread😁

  3. JamiiForums Tanzania Special Thread: FIFA World Cup 2026 - Canada, Mexico & USA

    🏆 FIFA World Cup 2026 Finals Uzi Maalum. 2026 FIFA World Cup itakuwa toleo la kihistoria la Kombe la Dunia kutokana na mabadiliko makubwa katika mfumo wa mashindano. 🌍 Waandaaji Mashindano yataandaliwa kwa pamoja na: United States Canada Mexico Hii ni mara ya kwanza World Cup kuandaliwa na...
  4. JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Ni Michuano ya 23 ya Kombe la Dunia la FIFA ambapo kwa mwaka huu itakuwa inafanyika kwenye nchi tatu kwa pamoja ambazo ni Marekani, Canada na Mexico. Michuano hiyo itaanza June 11 mpaka July 19 mwaka huu. Huku idadi ya timu ikiongezeka kutoka timu 32 mpaka 48. Waandaji Canada itakuwa ni mara...
  5. JamiiForums Tanzania Need Testers? Share Your Software Here | Weka Software Yako | Get Feedback

    Habari Developers, Kama una software/app/project na unahitaji watu wa ku-test na kukupa feedback, iweke hapa 👇 Include: Jina la app/project Link ya ku-download au ku-access Platform (Web, Android, iOS, Desktop, n.k.) Unachotaka kitestiwe (bugs, UI, performance, au vyovyote, n.k.) Testers...
  6. JamiiForums Tanzania Series: From SPECIAL THREAD

    FROM. Kama wewe ni mpenzi wa Mystery, Sci-Fi, na Horror (kama uliipenda 'LOST'), basi hapa ndipo mahali pako. UTANGULIZI: Inahusu nini? FROM inatupa picha ya mji mmoja wa ajabu katikati mwa Marekani ambao unawanasa watu wote wanaopita barabarani. Ukishaingia, huwezi kutoka. Kila ukijaribu...
  7. JamiiForums Tanzania Songesha: Special Thread

    Ikiwezekana iwe hapa hii thread napitia changamoto kadhaa na sio mara moja. mfano leo inakataa tatizo ni nini
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA Special Thread

    Uzi wa matukio mbalimbali ya CHADEMA . Madhila wanayopitia.. Vita wanazopigana.. Mafanikio wanayopa .. Na namna wanavyomgaragaza adui kwenye kila kona.. Kila saa na kila wakati Karibuni wote! Friends and foes!
  9. JamiiForums Tanzania Ateba Gautier Special Thread: The Hardest Hitter in the UFC Right Now!

    Kuzaliwa: 10 Aprili 2003 (Miaka 23) Utaifa: Cameroonian Urefu: 193Cm Kwa sasa huyu dogo anatisha sana UFC. Wanamuogopa kama ukoma maana dogo ana "Ngumi Jiwe" haswa. https://youtu.be/5jslFPnu-iw?si=EhYcPO84gWQUGE2j
  10. JamiiForums Tanzania The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

    Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo yanaweza kuanza mapema kabisa kuanzia tar 5 na tarehe 9 ikawa ni kilele na hitimisho Hii ni mada...
  11. JamiiForums Tanzania Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    AFCON 2025 – Analysis AFCON 2025 itafanyika nchini Morocco Mashindano yataanza 21 Desemba 2025 na yatamalizika 18 Januari 2026. Timu 24 zimepangwa kushindania. Kutakuwa na makundi 6 (Group A–F) na kila kundi litakuwa na timu 4. Group A Morocco, Mali, Zambia, Comoros Group B Egypt, South...
  12. JamiiForums Tanzania Special thread: National geograpic best shorts

    A collection of animals, insects and other creatures photos taken by various professional photographers around the world...! Selected best shots! Wild Domestic Marine Enjoy the wonderful moments in the animal world❤❤❤📍 Credit goes to Facebook animal groups
  13. JamiiForums Tanzania Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Habari wadau wa JamiiForums, Leo nimekuja na kichwa moto kuhusu hili swala la VPN ambalo limekuwa likiwaka kama moto wa gari la maji mitandaoni! Tangu 2023, serikali kupitia TCRA ikawavunja moyo wengi kwa kusema kila mtu anayetumia VPN, iwe mtu binafsi au kampuni, lazima ajaze form rasmi ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mashati ya kiume special thread

    Habari Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu Nauza mashati ya kiume size zote Kwa Bei nafuu Nafanya deliver mikoani na ndani ya dar es salaam Karibuni sana 0686153806 Whatsapp Bei ya rejareja Kwa mashati ya mikono mifupi ni 20,000/- Mashati ya mikono mirefu ni 25,000/- Mazungumzo...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CHAUMMA, Salum Mwalimu na Devotha Minja

    Uzi Maalum wa mijadala yote ya michakato ya ziara za kampeni za mgombea nafasi ya Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu na Mgombea mwenza Devotha Minja. ---------------- Agosti 27, 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemteua...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    1. ACT WAZLENDO LUHAGA MPINA Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina Chama: ACT Wazalendo Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania) Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde Historia ya Siasa: Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM) Waziri wa...
  17. JamiiForums Tanzania Special Thread | UEFA Champions league, 2025/2026

    Huu utakuwa uzi maalumu kwa ajili ya mashindano ya mabingwa ulaya (UEFA) updates zote
  18. JamiiForums Tanzania Special thread Big Brother 2025 on DSTV 198 chanell

    Hello Hii thread ni special kwa Big brother 2025 imeanza ina oneshwa DSTV chanell 198 Je una hisi ya mwaka uhuu itakuwa more na tulizo zoea kuziangalia?
  19. JamiiForums Tanzania RIP Ali Kibao, na Wengine wote ambao hatujui wako wapi au nini kiliwakuta

    Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa. Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

    Wana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu. Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika Ana historia yake maalum .. Ana mengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…