soma

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Soma hapa ujue jinsi ya kujinasua kwenye mtego wa madeni ulionasa

    Wakuu kwa sasa hali ilivyo ni kuwa watu wengi sana wamenasa kwenye mtego mbaya wa madeni na kujinasua imekuwa mtihani. Iwe mtu alikopa kwa sababu yoyote ile ni kwamba muda wa kudaiwa hakuna anayeonewa huruma. Aliyeomba mkopo wa biashara ikabuma anapata taabu sawa na aliyekopa mkopo akauhonga...
  2. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama ukila maharage unapata Matatizo ya tumbo kukaa Gas na kutoa ushuzi, Soma hapa

    Hwl Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana. Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka tangawizi na limao kwa kufanya hivyo utakula maharage bila kukuletea shida Asante.
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

    asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania RASMI: Diploma waanza kupokea mikopo kutoka HESLB, soma muongozo hapa

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO. Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mnadanganywa kusoma sayansi ili walio soma kiswahili/History wawaongoze na kula hela zenu.

    Mgabe alishawahi kusema fisrt class students become engineers, doctors and so and so third class students become politicians, witch doctors and so and so in order to eat the money of the first class students. Huo ndo ukweli waliosoama history ndiyo watoa maamuzi ya fedha zenu ziende kwenye...
  7. himiri

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa mtandao someni ushauri huu

    Kuna hoja na mada mbalimbali humu zinazotolewa na members, na members hawa wengi nimeona ni wataalamu wa kitu wanachokiongea, utaalamu si tu wa darasani ila pia kupitia experience ya jambo lake analozungumzia. My concern ni kwamba, kuna mtu anaanza poa kabisa kutoa hoja yake (au just...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ewe askari soma hii na uielewe

  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA bado inastahili kuadhibiwa kwenye sanduku la kura? Soma hapa

    Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba kueleza sababu chache za muhimu kwanini CHADEMA bado wanastahili kuadhibiwa kwenye sanduku la kura na wazalendo wote. Kwanza kabisa niseme kuwa sina chuki yoyote na hiki chama kinachojifia. Mimi kama mkristo ninaamini kila kitu kina mwisho wake...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi, uroho na tamaa za watawala sheria ya mafao kustaafu katika utumishi wa kisiasa

    UBINAFSI, UROHO, TAMAA, WATAWALA! Serikali imepeleka bungeni muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali ambayo kuna marekebisho katika sheria 10 ikiwepo sheria ya mafao ya kustaafu katika utumishi wa kisiasa. Muswada unapendekeza kiongozi aliyeshika nafasi ya ofisi ya Rais na kustaafu, mwenza...
  11. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Soma kisa hiki cha utapeli, ujifunze kitu

    Aisee Kuna kisa kimoja Cha utapeli nikikumbuka huwa nacheka sana, japo sio changu kilimtokea mshkaji wangu mmoja. Jamaa anadai walikuwa na kijiwe Chao wanakutana washkaji wengi tu, kulikuwa na pool table na vile vimashine vya kubet, anadai kijiwe kilikuwa na vijana wengi matozi tu na smart...
  12. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Haji Manara soma alama za nyakati kabla haujastaafu kwa aibu

    Zama za Haji Manara zinaelekea mwishoni. Kwa sasa awepo au asiwepo kwenye jambo hakuna kinachoongezeka wala kinachopungua. Sasa ameamua kupambana na wakati hataki kuonekna yeye ni ziada. Anatumia njia zile zile za miaka yote kukanyaga vichwa vya wenzie ili yeye apande juu. This time naona...
  13. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kukatishwa tamaa katika kujaribu kwako? soma hii

    Maisha bwana ya matukio mengi sana, kuna watu hao ni maalum ku critisize wengine, mtu unaona ana kitu atafika mbali unamkatisha tamaa ili ugundue nini kama sio roho ya kichawu inakuandama? unayejaribu usikatishwe tamaa na watu. 1. Fanya kile unaona ni sahihi usipendelee kumshirikisha kila mtu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Afande Wambura soma kesi ya Machano vs Republic hapa chini ujiridhishe ni elements zipi zinaweza kufanya treason

    S.M. Z versus Machano Khamis Ali and 17 Others; Criminal Application No 8 of 2000: Court of Appeal of Tanzania at Zanzibar (Unreported). Criminal Law Treason – whether or not treason can be committed against the Revolutionary Government of Zanzibar. Treason – what are the elements of offence...
  15. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Soma vitabu au novels, download vitabu au novels kwenye website hii

    https://www.you-books.com/ Sample novel: TRUE COLOURS https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_fm01.html https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_ch01.html CHAPTER ONE MEREDITH STOOD by thewindow watching the rain beat down on Chicago...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Soma hapa baadhi ya maswali muhimu ya kujiuliza kwenye maisha

    TUJIKUMBUSHE baadhi ya maswali ya kujiuliza hasa kwa vijana; 1. Unaishi kwenye maadili mema au tabia zako una mashaka nazo? 2. Mpenzi/mchumba uliye naye utafika naye kwenye ndoa au mnakulana tu? Utamuoa huyo binti/utaolewa na huyo kijana? 3. Wewe kama mtumishi wa Mungu unatenda yale...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Habari zenu wana jf wenzangu. Wakuu baada ya kufuatilia kwa kina kile kinachoendelea katika swala hili la bandari, hususani hapa JF, nimegundua kwamba kuna uwezekano mkubwa wa siku kadhaa zijazo tukashuhudia vifo mbali mbali ndani ya makundi kadhaa nitakayoyaorodhesha hapo chini. 1. Kundi la...
  18. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Unaweza soma Degree Huku ukiwa Kazini

    Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima. Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu au walishapitia naomba Mnisaidie hapa. Mfano mtu amemaliza Diploma then akapata kazi akaajiriwa, je anaweza soma Degree akiwa...
  19. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Ombi la mtoto kwa baba yake mzazi (SHAIRI)

    watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni. watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia kwake na anamkuta baba ake akiwa ana furaha sana. baba anamuita mtoto wake na kumuambia jinsi...
  20. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu ngoma ya Forever Young ya Jay Z alikuwa na maana gani?

    Nadhani watu wengi wanajua kwamba wimbo wa Forever Young, Jigga alimaanisha kwamba hazeeki, still ana muonekano wa ujana. Yes hii ndio maana inayojulikana na wengi sana huko mtaani, hebu tusome wote hapa; Jay Z ajitangazia kuishi milele ☆ Naomba niwakumbushe tu kuelewa Kingereza,na kuelewa...
Back
Top Bottom