wakuu habari za muda huu...binafsi natafuta masoko ya uhakika ya mbogamboga aina ya broccoli,caulflower,chinesse cabage,red cabage,zucchini pamoja na letuce kwa yeyote mwenye connection may be ya hoteli sokoni au vyovyote karibu tufanye kazi natanguliza shukran zenu. picha za mazao hayo zipo...