Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Wiki iliyopita nilibahatika kufika Soko kubwa kabisa la jumla mjini Morogoro linaitwa Mawezi
Pamoja na soko hilo kuwa na miundombinu ya kizamani (nafikiri ya miaka 80?) kilicho nishangaza kila Butcher ya kitoweo na hadi maliwatoni watu wameweka madumu ya maji hali iliyopelekea nitake kujua...
WADAU na wafanyabiashara nchini wametakiwa kujitokeza na kuiga mfano wa kampuni ya huduma za kifedha nchini, iTrust Finance Limited kwa kudhamini jitihada mbalimbali ikiwa ni pamoja na masoko ya bidhaa za wafanyabiashara wadogo na wa kati hususani wanawake.
Rai hiyo imetolewa jana na Waziri wa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa serikali inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali na ndani ya Tanzania, huku akisisitiza kuwa Watanzania ndio wanaofaidika zaidi na uwekezaji huo...
Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki.
Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu kupita na kufanya shughuli zao nyingine kutokana na matope, uchafu na mvurugano uliopo...
Mnamo tarehe 3 Machi, katika pitapita zangu Mitaa ya Majengo nikiwa natoka kazini nilisikia Tangazo (PA) Kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuwa kuanzia tarehe 6 Machi wataanza ubomoaji wa Soko la Majengo na kuanza Ujenzi ambao utachukua miezi 12, hivyo baadhi ya Barabara zitafungwa ili kuruhusu...
Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au unafuata kile ambacho kinalipa? 🤔
Team "Nifanye Kazi Ninayoipenda" ❤️
Kuna watu wanaamini kabisa...
Wakuu,
Mdau humu alihoji bilioni mbili zimetumikaje kwenye soko ambalo limejaa bati tu na vijumba vi fremu vya mchongo? Jamaa wamekuja na ufafanuzi, kuwa bilioni 1.5 ndio zimetumika kwenye ujenzi wa soko hilo na milioni 500 ndio zinamalizia awamu ya 2.
Hii inamaanisha watakuwa washatumia kama...
Katika mwaka wa 2024, tulishuhudia mtu mmoja akifanya kazi kubwa kama mkimbiza mwenge wa uhuru, akitafakari na kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini.
Huyu si mwingine bali ni DC wa Moshi, ambaye alionekana kuwa na dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii...
Utangulizi
Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha hizo zimeelekezwa, hasa kwa kuzingatia hali ya soko lenyewe. Kila mmoja ana mtazamo wake, lakini...
Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa.
Ila swala la bei ni jambo jingine.
Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete?
Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
Nauliza tu!
Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi?
Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana!
Waziri wa Kilimo na Mkuu wa Mkoa lini mtawasaidia wakulima?
Trump yeye hajali hata kuhusu soko la hisa
https://x.com/spectatorindex/status/1897740651107864732?t=LM3GG61kwI11WIYkLzbAhw&s=19
Je, ni kweli au siasa siasa tu za kujaribu kuongea uongo ili kuficha performance ya sera zake ?
Huyu ni Rais Trump 2020...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua programu ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kushiriki fursa zilizopo katika Soko Huru la Afrika (AfCFTA) inayotekelezwa na CRDB Bank Foundation pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu na kusisitiza suala zima la utunzaji na usimamizi wa Mazingira katika soko kuu la Kariakoo litakalokuwa linafanya kazi kwa masaa 24.
Akizungumza katika Maonesho ya uzinduzi wa biashara ya saa 24 katika Soko kuu la...
Nikifika Mwanza eneo la kapripoint, nafurahishwa na namna jinsi wachora ramani walivyoyaweka majengo yakaishi na nature, bila kuharibu mazingira. Kuna tatizo la ubunifu. Ukiangalia majengo mengi nchini ni kama majengo yanafanana, hakuna utundu. Niliwahi kutoa challenge watu wajadili ubunifu...
Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi.
1. Mkeka bet
2. Winprinces (online operation)
3. Princes bet
4. Michezobet
5...
Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu kuongeza ushiriki wa wananchi katika uwekezaji wa hisa, ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.