Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe leo Tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983.
AFISA Mtendaji wa Kata ya Mabamba-Paschal Ngendabanka amekiri kupokea Bati hizo , wakiwepo...
Afisa Uhusiano wa Coca-Cola Kwanza, Maria Kimwaga, kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Emmanuel J. Mkongwa, wakati wa makabidhiano rasmi ya eneo la Stendi ya Msamvu kwa Kampuni hiyo.
Hafla ya makabidhiano ya eneo hilo ilifanyika katika ofisi za Mkurugenzi wa Manispaa...
🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji.
📍 Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengwa zaidi ya sh Trillion 1 kwa ajili ya maboresho makubwa sana ya soko la kariakoo ili kuondoa changamoto zilizopo mfano;-
Frem zitakuwa na standard ambayo ni uniform sio sahivi kila mtu anajiamulia tu kutengeneza fremu anayojisikia
Usafi utakuwa wa hali ya jùu...
Elon Musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano, kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer.
Katoa tablet na simu ambayo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka.
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
Miaka kadhaa iliyopita nilibahatika kutembelea eneo la viwanda vya ushonaji huko Huanghuagang karibu na Ouzhuang & Dongshankou jimboni Guangdong, nchini China nikajifunza mengi. Ila kikubwa zaidi nilichojifunza ni kuwa wachina walichotuzidi ni skills tu kwenye ushonaji. Mashine wanazotumia ni...
MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA SOKO LA ULAYA YAMEONGEZEKA
Kwa Mwaka 2024 thamani ya mauzo ya bidhaa katika soko la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ilikuwa dola za Marekani millioni 686.3 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.6 ikilinganishwa na dola za Marekani milioni 633.5 mwaka 2023.
Ongezeko hilo...
Hatutahitaji ruhusa ya nchi yeyote ile kwenye hili swala
Petrochemical plant ni kiwanda kinachotengeneza raw materials kwa ajili ya bidhaa za plastics kama
Ndoo, vikombe, mifuko n.k
matanki
nguo asilimia kubwa sana ya nguo zinatumia polyester nyuzi za plastics
Mazulia
-mazulia kama makapeti...
Mhe. Jaffo kuna sehemu amekosea au amejielekeza vibaya kuhusu sakata la Kariakoo. Kama anataka kupambana na Wachina Kariakoo yampasa kwanza afuatilie mambo mawili makuu
1. Je, kuna kifungu cha sheria kinakataza wachina kumiliki biashara Kariakoo? Je Mataifa mengine kama Nigeria na Wahindi wao ni...
Wapendwa tupeane mchongo ndugu zangu.
Je ni soko gani kwa hapa Dar linaongoza kwa biashara ya maharage? Yaani kama naleta kutoka mkoani naweza kupeleka soko gani ambapo wanachukua bila usumbufu mwingi?
Pia ni aina gani ya maharage inayonunulika sana. Na kama una idea ya bei kwa mwezi April 2025...
Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore.
Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani.
Hali imekuwa tofauti sana...
Juzi kati hapa kulikuwa na mjadala niliokutana nao humu mtandaoni kuhusiana na Air Tanzania kufanya safari za moja kwa moja ulaya hadi hapa Tz. Kiukweli mjadala ule ulinivutia kwa kiasi chake ,lakini binafsinikagundua ili shirika hili liweze kupenya soko la ulaya itahitaji mipango,ubunifu na...
Huyo ndugu yangu kafaulu vzr kidato cha nne akiwa na B kwenye masomo yake ya ufundi kasomea electronics and communication engineering(B) , engineering science (B) na masomo yote ya science ana A
Swala la A level hataki kusikia na kama ijulikanavyo tamisemi wamefungua dirisha la kubadilisha...
AI au akili mnemba ili iweze kufanya kazi inahitaji chip, na sio tu kila chip inaweza kufanya hivyo.
Kuna chips maalumu na za hali ya juu kwa ajili ya AI. Na kampuni ya NVIDIA imekuwa supplier mkubwa wa hizo chips zinazoitwa H20 na H100. Na moja ya soko lake kubwa lilikuwa ni China.
Wiki...
Hello bosses and roses..
Kuna kitu nimekua nafikiria kwa muda mrefu, sina uhakika sana kuhusu uwepo wake kwa sasa au inawezekana kipo lakini kinafanyika kwa njia zisizo rasmi.
Hebu fikiria scenario hizi
1) Mtu au Biashara au Kampuni X imepata tenda ya kufanya project fln na mkataba ukasainiwa...
UZAMIAJI
UTAPELI
UKAHABA
USHOGA
UHARIFU
URAIBU
Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%.
Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
Habari naomba, kuuliza wana JF kuhamishwa kwa wafanyabiashara sokoni ili ujenzi wa soko la kisasa. Lile eneo watakaoenda kugawiwa hao wanaohamishwa mtu anayetakiwa asimamie kugawiwa maeneo hayo ni mwenyekiti wa soko tu na mwenyekiti wa mtaa husika wa eneo jipya, halmashauru haihusiki kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.