PreGE2025 Mbunge Samizi atoa bati 200 kusaidia uezekaji soko la mabamba

PreGE2025 Mbunge Samizi atoa bati 200 kusaidia uezekaji soko la mabamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
397
Reaction score
445
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe leo Tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983.

AFISA Mtendaji wa Kata ya Mabamba-Paschal Ngendabanka amekiri kupokea Bati hizo , wakiwepo viongozi wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mabamba, wananchi wa Kata ya Mabamba pamoja na Diwani ambae alikuwa na Mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wananchi wa Kata hiyo ya Mabamba waliompa ridha ya kuwawakilisha kwa miaka mitano.

Na ikumbukwe kuwa Samizi Mbunge wa Muhambwe toka alipongia madarakani Muhambwe ni Mbunge ambae amekuwa akitatua kero mbalimbali ndani ya Jimbo lake.

WANANCHI WA MABAMBA WAHIDI KUMPA KURA ZA KISHINDO SAMIZI NA SHEDRACK CHONGERA-DIWANI WA KATA YA MABAMBA.

Imetolewa Na;
Kitengo cha habari na mawasiliano Ofisi ya Mbunge wa Muhambwe.
1750410703269.png
 

Attachments

  • IMG-20250620-WA0000.jpg
    IMG-20250620-WA0000.jpg
    210.7 KB · Views: 33
Mbunge wa muhambwe aliyekuwa akitatua KERO mbalimbali.
Kwann mabati leo na siyo mwaka ulioisha???
 
Back
Top Bottom