Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaendelea kutekeleza mikakati ya kuinua sekta ya kilimo kwa kujenga skimu mpya za umwagiliaji, kuongeza upatikanaji wa zana za kisasa, na kujenga maghala ya kuhifadhia mazao ili kudhibiti...
Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
Habari wanaJF,
Nauliza swali kwa niaba. Kuna dogo nnaye hapa anadai ana Rupia zile za zamani. Hivi soko lake lipo hapa nchini? Kama jibu ni ndio, aende wapi?
Asanteni.
Soko la hisa huendeshwa na mwenendo wa kampuni husika.
Iweje hisa za CRDB zisiyumbe baada ya CRDB kukosekana hewani na kuleta shida kwa watumiaji wa huduma zake?
Iweje Vodacom imepata faida ya 90bil ila hisa zake imebaki 580 ile ile?
Tumezoea kuona masoko ya nje kama nasdaq, nyse, lse...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kulinda maslahi ya wakulima wa Mbaazi na dengu nchini Tanzania, Serikali ya awamu ya sita ilishaanza mazungumzo na Soko kubwa la mazao hayo nchini India ili kuweza kununua...
Wakuu habari,
Wapi tapata soko la mihogo kwa bei nzuri? Natarajia kuvuna mwezi huu. Shamba lipo Miono, Bagamoyo ila wanunuzi wa pale ni madalali wanalalia bei. Na eka 5 ziko tayari kuvunwa. Mihogo yake ni mizuri sana.
Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako.
Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
Wakuu wajuzi wa mambo msaada naombeni mnipe mawazo kidogo hivi kati ya degree ya nursing anaesthetic,general nursing, clinical nutrition na physiotherapy ipi iko marketable wakuu?
🔑 RETURN ON EQUITY (ROE)
👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida.
Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?”
📌 Jinsi ya kuipata ROE...
Nawakilisha kwa Uchungu Mkubwa sana ukiwa ndani ya moyo wangu kutokana na Dhulma tunayofanyiwa na Katibu wa CCM Mufindi bwana Clement Bakuli.
Soko la Sabasaba lilizuka baada ya sisi wahanga tuliounguliwa na moto katika soko la Mandela mwaka 2016 kupewa nafasi tuanzishe soko lingine. Tulianza...
Anonymous
Thread
ccm
katibu
katibu wa ccm
mufindi
sabasaba
sokosoko la sabasaba
sumbawanga
uovu
wafanyabiashara
Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?
Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
Sekta ya Bank inazidi kukua.
Takwimu za nusu ya kwanza ya mwaka 2025 zinaonesha picha nzuri sana kwa sekta ya benki nchini. Benki za biashara zimepata jumla ya faida ya Sh1.2 trilioni, ongezeko la 9% ukilinganisha na Sh1.09 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2024. Ukuaji huu umechochewa na...
Kwa haraka hizi ndio alama za kumkumbuka hayati Job Ndugai
Pale Salasala Ndugai na Mbowe mwanajeshi ndio walikuwa Watu maarufu zaidi
Na Dodoma Jiji kuna Soko ambalo Shujaa Magufuli alilibatiza kuwa Solo la Ndugai
Rip Job Ndugai
Sisi Wafanyabiashara wa Soko la Mfaranyaki lililopo Mtaa wa Mbalika, Kata ya Mfaranyaki tuna changamoto ya mazingira kwenye eneo letu la kazi hilo, uchafu umekuwa ukitawala katika mitaro iliyojaa maji machafu.
Hali hiyo imekuwa ya muda mrefu kutokana na kupasuka kwa mabomba ya maji taka, na...
Habari,
Naomba kujua kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia.
Utajuaje mafuta ya kupikia yanapanda au yanashuka Bei?
Mawakala wa mafuta ya kupikia wanapatikans wap?
Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
Soma > Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa...
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia rizki , kuwezesha kulipa kodi na...
Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja.
Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.