Bidhaa ipi ya mtumba ina soko sana?

kahata

Member
Jan 17, 2021
88
52
Naomba ushauri bidhaa ipi ya mtumba ni inatoka na ina faida zaidi.

1. Magauni
2.Nguo za watoto mix
3. Mashuka
4.Mashati
6.Sidiria

Na vipi bei ya belo kwa bidhaa hapo juu?

1620109420329.png

Bidhaa inayotoka kwa wingi ni skin jeans mkuu....

Namaanish rika lile la 20's vazi lao ni skin.....nilinunua skin 50 ilala boma kwabei ya 3 na elfu 4 chache nikaenda uza elfu 7 zikagombaniwa na zikaisha haraka sana....

Magauni yanauzika ila kwa rika la watu wazima na watu wa officn utapiga sana pesa.....

Kama upo sehemu za baridi jaribu Korean coat (trench) ukipata belo zuri kwa bei ya elfu 5 na elfu 7 unatoboa mapema.....

Angalizo:: ogopa sana belo maana ni 50/50 unaweza pata mzigo mzuri ajabu au mbaya ajabu na biashara ikaishia hapo.....ila belo zinatofautiana bei kutokana na nguo na KG....ila zinacheza 350 to 600.
 
Nguo za watoto wengi sana wanafanya ushindani upo juu.....

Sidiria zinatoka

Mashuka ukifanya kwa kutembeza majumbani ipo poa.....ila ni biashara ya mkopo naonaga yani unakopesha kwa elfu 15 maybe ndanu ya week unafuata pesa....inachangamoto zake
 
Pia kuna vibegi vya wadada na vipochi ukifuma belo zuri unauza kuanzia 15 hadi 35 utapata sana faida...

Kunaa mabegi ya watoto (wanafunzi) kuelekea january ukiweka bei vizuri utapata pia pesa.
 
Nguo za watoto wengi sana wanafanya ushindani upo juu.....

Sidiria zinatoka

Mashuka ukifanya kwa kutembeza majumbani ipo poa.....ila ni biashara ya mkopo naonaga yani unakopesha kwa elfu 15 maybe ndanu ya week unafuata pesa....inachangamoto zake
Hivi mashuka mazuri kabisa yale sita kwa sita na kuendelea Bei ya jumla unaweza yapata kwa sh ngapi?
 
Bello wanakata 820k na nusu bello 410k ...yanauzwa nusu au bello zima pekee futi 8*8 au 8*9 .... mazito cotton na hayachuji wala upele...haya ni yale mabelo yanayofungulia ..bei ya reja sis tunauza elfu 50 pair 2 na foronya 4
 
Hilo linakua na mashuka kama mangapi?
 
Bello wanakata 820k na nusu bello 410k ...yanauzwa nusu au bello zima pekee futi 8*8 au 8*9 .... mazito cotton na hayachuji wala upele...haya ni yale mabelo yanayofungulia ..bei ya reja sis tunauza elfu 50 pair 2 na foronya 4
Bello linakuwa na shuka ngapi?
 
Back
Top Bottom