soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hawa ndio matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania,

    Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania. Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu Hans Macha Ernest Massawe Arnold B.S Kilewo Harold Temu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wahitimu kutoka kaya masikini wapewe kipaumbele kwenye soko la ajira

    KUCHOCHEA USAWA WA AJIRA: WAHITIMU MASKINI WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE SOKO LA AJIRA. KWA KUIGA MFANO WA TASAF UTANGULIZI: Katika juhudi za kujenga jamii yenye usawa na maendeleo, ni muhimu kuangalia njia za kuwezesha wahitimu kutoka kaya maskini kupata fursa sawa za ajira. Programu ya Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 "Wazee wa cha juu" : Jinsi udalali unavyoua soko la ndani

    Maisha ya kawaida ya mtanzania ni pamoja na uwakala wa bidhaa na huduma au maarufu kama ujulikanavyo "udalali". Tangu kupanda kwa jua mpaka machweo yake, watu wanatafuta masoko ya bidhaa zao ama fursa mpya --waitavyo wenyewe "chimbo" . Lakini mimi binafsi bwana kuna jambo moja linalonikera...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ndizi kozi zenye soko katika ajira nchini

    Ukiondoa priority course(kozi pendwa) Kuna hizi kozi zenye upana wa Ajira, Upande wa Afya na uhandisi. Electronics& communication (Self) Computer &IT Civil Eng, Electrical Eng, Mechanical Eng, Biomedical Eng, MD(Medical Doctor) Med laboratory (Bach), Pharmacy, Nursing, Clinical Medicine...
  5. JamiiForums Tanzania Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

    Kwani soko la mapenzi limeingia mchanga au limevaa ndondo cup Siku hizi bwana mpaka umpate mwanaume anakutongoza, nenda kanisani ukatoe sadaka kabisa Ukipata hata mwanaume anakupeleka kwake ushukuru Mungu Ukipata mwanaume anakununulia hata maji ya kunywa basi nenda Kwa Yatima Katie sadaka...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Ilemela yaelekeza wafanyabiashara soko la Sabasaba kutupa takataka barabarani

    Halmashauri ya Ilemela mkoani Mwanza imelekeza uongozi wa soko la Sabasaba lililopo maeneno ya Kiseke kutupa takataka barabarani baada ya eneo walilokuwa wanatumia awali kupewa mwekezaji. Takataka hizo zinatupwa barabarani katika makazi ya watu na karibu na mama ntilie kitendo kinachoweza...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania matajiri wakubwa katika soko la hisa la Dar es Salaam

    Wajue watanzania matajiri wanaomiliki hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) na wewe jitahidi uwemo. https://billionaires.africa/2023/06/29/the-10-richest-tanzanians-on-the-dar-es-salaam-stock-exchange/
  8. E

    JamiiForums Tanzania NEMC soko la Kilombero Arusha makelele mpaka Mto wa Mbu

    Mjipime....sio kukurupuka jikiteni huko Magomeni na Unga ltd
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la kuuza mkaa mbadala? Ujuzi wa kuzalisha ninao, mwenye kujua soko anijuze tafadhali

    Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia! Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja! Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii. Ujuzi ninao, vifaa na mashine zipo lakini shida ni wapi nitauza hii bidhaa! Kwasasa napotaka kuanza...
  10. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Soko la ajira nchini kwetu

    Mfumo wa elimu nchini kwetu Tanzania umekuwa ukienda tofauti sana na soko letu la ajira hii inatokana na kauli mbiu ya kwamba alieshiba hamtambui kwenye njaa Wito wangu na maoni yangu katika Serikali kwa mfano kwa mwaka inauwezo wa kustaafisha wafanyakazi 2000 kwa wakati huo huo wahitimu...
  11. JamiiForums Tanzania Kushusha Kodi ya Ngano Inayotoka Nje ni Kuifanya Ngano ya Ndani Ikose Soko

    MBUNGE MHE. SANGA - KUSHUSHA KODI YA NGANO INAYOTOKA NJE NI KUIFANYA YA NDANI IKOSE SOKO Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe, Mhe Deo Sanga ameiomba serikali kutopunguza Kodi Kutoka 35 Mpaka 10 kwa wazalishaji wa Ngano kutoka nje ya Nchi kwani kufanya hivyo ni kutoa thamani ya Mzalishaji...
  12. JamiiForums Tanzania Soko la Machinga Dodoma, tumpe Rais Samia maua yake

    Wengi watashangazwa na huu uzi. Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita. Tembea uone. Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Soko la ajira kwa kozi ya Mining Engineering

    Samahan wakuu Nmechaguliwa kusomea DIT Mining Engineering samahani nilikuwa unaulza ipo je kwa soko la ajira kwa saivi?
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Kijana wa Kitanzania na soko la ajira duniani

    Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza. Sio kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Soko lipi la madini linafaa kati ya Dodoma na Dar?

    Hello wadau! Nilihitaji kujua soko la kuuzia madini mbali mbali ruby, dhahabu e.t.c, Soko lipi Linafaa la Dar es Salaam au lile la Dodoma? Kwanini Dodoma na sio DSM? Kama kuna sababu mbili tatu. NB; Sina madini yoyote ni kutaka kujua tu
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali: Iandae mikakati ya kudhibiti soko la silaha na uingizaji silaha baada ya mgogoro wa Ukraine

    Mgogoro wa Russia na Ukraine umepita mwaka mmoja sasa na huenda usiishe hivi karibuni. Nchini Ukraine hivi sasa wapo watu ambao wafanya kitu chaitwa mavuno yaani kuokota silaha kwa ajili ya kuzifanyia matengenezo, kuzisafisha kwa ajli ya kuziuza baadae. Mara nyingi silaha hizi kupitia wauzaji...
  17. JamiiForums Tanzania Takwimu za kamari za michezo na jinsi soko la Tanzania linavyokua

    Sekta ya kamari mkondoni inaendelea kukua kwa kasi ulimwenguni kote, na waendeshaji daima wanatafuta fursa mpya za kuongeza ushawishi wao. Hivi karibuni, Afrika, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa nyuma ya pazia, imekuwa kitovu cha tahadhari na imeonekana kuwa soko lenye matarajio makubwa kwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Simiyu: Walinzi soko kuu Bariadi wanajilipa wao wenyewe

    Taasisi ya kuzuia na kupamba na rushwa Mkoa wa Simiyu (TAKUKURU) imesema kuwa mfumo wa uendeshaji wa soko kuu la Bariadi hauko sahihi kwenye eneo la ulinzi pamoja na mazingira ya ufanyaji Biashara. Kwenye taarifa yake kwa waandishi wa Habari iliyotolewa leo na Naibu mkuu wa taasisi hiyo Aron...
  19. JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…