soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Queen Sendiga ameongoza zoezi la Ugawaji wa misaada

    Mkuu Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ameongoza zoezi la Ugawaji wa misaada kwa kundi la wafanyabiashara wa Soko Kuu Katesh na wa mazao mbalimbali waliothirika na Maporomoko ya Matope yaliyotokea Desemba 03, 2023 na kuharibu mali zao pamoja na eneo lote la biashara hiyo. Akikabidhi misaada...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ina mpango gani na Afya za Wananchi wanaotumia Soko la Mabibo? Watu wanalishwa uchafu pale

    Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima. Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dampo katika Soko la Stereo lililopo Temeke ni kero kubwa, Mamlaka ziongeze nguvu katika kuzoa taka

    Dampo lililopo kwenye soko la Stereo hapa Tekeme, Dar es Salaam ambapo ni sehemu kwa Wauzaji wa soko hili kuhifadhi takataka baada ya wao kufanya usafi kwenye maeneo yao, limekuwa ni kero kubwa kwa Wafanyabiashara na Wanunuaji wa bidhaa katika Soko hilo. Wafanyabiashara katika soko hili kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Museveni asema alikataa ombi la kupiga marufuku mchele wa Tanzania. Adai wakulima wavivu walitaka kutawala soko

    Rais wa Uganda leo wakati akitoa hotuba ya miaka 60 ya mapinduzi amesema aliletewa ombi la kupiga marufuku mchele kutoka Tanzania na kukataa ombi hilo. Museveni amesema wakulima wavivu wa Uganda walitaka kutawala soko. Museveni amesema wakulima wa Uganda wanatakiwa kujua wana ushindani na si...
  5. JamiiForums Tanzania Video za wadada kukalia chupa zimeathiri bidhaa katika soko?

    Wanazengo mnaendeleaje? Wenye kumbukumbu wanakumbuka video tofauti ambazo ziliwaonesha baadhi ya wanawake wakichezea chupa za soda mfano mirinda kwa ustadi wa hali ya juu kitu ambacho kiliwastaajabisha watu na kuanza kuitaja soda fulani kama matani au mzaha Japo siyo jambo geni ila miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Je shayiri inapatikana soko lipi jijini dsm?

    Nataka nianzishe kama lishe kwa watoto
  7. JamiiForums Tanzania Nini kimejiri soko la Kariakoo Dar es Salaam?

    Sina habari za mwisho wa ugomvi kati ya wafanyabiashara wa Kariakoo na Wachina. Najua kwamba kulikuwa na mvutano kati yao kuhusu masuala ya biashara na ushindani. Inaweza kuwa kwamba pande zote mbili zimefikia mwafaka na zimepata suluhisho la matatizo yao, au pengine mazungumzo yanaendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Enzi: Kampuni ya Toshiba yaachana na soko la hisa la Tokyo baada ya miaka 74

    Wale Wazee wa zamani watakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na wakati ambapo moja ya runinga yako, kompyuta, redio au bidhaa nyingine muhimu za kielektroniki zingetengenezwa na Toshiba. Hata hivyo, Kampuni hiyo kubwa ya Kijapani ya vifaa vya kieleteoniki ya KijapanoToshiba, iliyotawala kwa ubora...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nchi sita zaidi za Afrika kunufaika na soko la China

    Kuanzia tarehe 25 Desemba mwaka huu Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zitaungana na nchi nyingine za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake za kilimo kuingia bila kutozwa...
  10. JamiiForums Tanzania U.S-CHINA Tech War: Soko la mashariki ya kati

    US-China 'tech war': AI sparks first battle in Middle East Cathrin Schaer 10/02/2023October 2, 2023 The US has restricted exports of some computer chips to the Middle East, to stop AI-enabling chips from getting to China. But there's no information on which countries are affected, or how chips...
  11. JamiiForums Tanzania Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Wakuu! Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee Ujuaji sitaki Karibu Njaa
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Dar es Salaam nenda Mbagala katatue mgogoro mliouanzisha kuhusu soko la Zakhiem

    Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli. Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Arusha: Stendi ya mabasi ya mikoani inapogeuzwa kuwa soko, pamoja na kituo cha kufanyia biashara haramu

    Hii ndo hali halisi ya kituo cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha. Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka. Mabasi mengi kwa Sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Soko jipya la Mbagala Zakhiem halikidhi haja, limejengwa chini ya kiwango pia wafanyabiashara wa mwanzo wamenyimwa fremu.

    Soko jipya lililopo Mbagala Zakhiem limejengwa kwa gharama ya sh. 2Billion, ujenzi uliofanyika umeweka vifremu vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji ya wafanyabiashara. Fremu nyingi wamegawiwa watu ambao hawakuwepo awali japo mkuu wa mkoa aliahidi wafanyabiashara wa mwanzo ndio watakaopewa...
  15. JamiiForums Tanzania Soko la mafuta ya kujipaka mwilini Vaselline limeingiliwa, Mtaani nimeuziwa sana mafuta feki, Hatimae nimejua pa kuyapata Original

    Nasikitika sana kuona hakuna udhibiti wa bidhaa feki hasa kwenye bidhaa za mwilini, bidhaa halisi na bora zinapotezea sokoni badala yake bidhaa feki zimetawala soko la nchi. Miaka nenda rudi haya ndio mafuta nayoyapenda kujipakaa mwilini sambamba na sabuni ya kuogea ya Imperial. Kuingiliwa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo soko la ndani linavyotengenezwa na kukuzwa

  17. JamiiForums Tanzania Mkubwa siku zote hubaki mkubwa, mashindano ya Yuan, Ruble kuipokonya soko Dollar ya marekeni kiko wapi?

    Mashabiki wa Putini na China, vipi kuhusu Ruble na Yuan zimefikia wapi sokoni? Vipi, Dollar imeanguka? Mzungu atabaki mzungu tu! Nimekuwa nikijiuliza, siku Marekani aache kabisa kutoa misaada yoyote duniani awe kama nchi zingine, kila kitu afanye kwake tu! Sjui china na Urusi watafanya...
  18. JamiiForums Tanzania Familia za wavivu wengi zimesababisha soko la wanawake wa kuolewa na wanaume wa kuoa liwe gumu sana. Watu wanaogopa kupata wakwe na mashem wategemezi

    Habari wadau. Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata. Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea. Yale mambo ya kuoa mwanamke...
  19. L

    JamiiForums Tanzania CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kuingia katika soko kubwa la China

    Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania CIIE ni jukwaa bora kwa nchi za Afrika zilizojiunga na BRI kuingia kwenye soko la China

    Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…