Video za wadada kukalia chupa zimeathiri bidhaa katika soko?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,557
3,000
Wanazengo mnaendeleaje?

Wenye kumbukumbu wanakumbuka video tofauti ambazo ziliwaonesha baadhi ya wanawake wakichezea chupa za soda mfano mirinda kwa ustadi wa hali ya juu kitu ambacho kiliwastaajabisha watu na kuanza kuitaja soda fulani kama matani au mzaha

Japo siyo jambo geni ila miaka michache baadae naona kuna mdororo wa ununuzi wa hizi soda kwa kiasi kikubwa mno.

Nataka kujua je vitendo vya hawa madada vimeweza kuathiri bidhaa katika soko au ni ushindani wa kampuni nyingine za juice?
 
Ujio wa energy drinks umeathiri soko la soda. Saivi so wadada Wala me ni mwendo wa energy na smart gin. Bia nazo zinalia kilio kikubwa smart Gini mpaka jero wanapima. Unampea junior jero la kashata shule anapita kwa kiosk analamba kinimbu cha jero anasepa.
 
Nilishaacha kunywa soda za chupa,
Unaweza kujikuta umelamba papuchi ye demu wa kwampalange.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom