Nini kimejiri soko la Kariakoo Dar es Salaam?

ThisisDenis

Senior Member
Apr 14, 2013
149
129
Sina habari za mwisho wa ugomvi kati ya wafanyabiashara wa Kariakoo na Wachina. Najua kwamba kulikuwa na mvutano kati yao kuhusu masuala ya biashara na ushindani.

Inaweza kuwa kwamba pande zote mbili zimefikia mwafaka na zimepata suluhisho la matatizo yao, au pengine mazungumzo yanaendelea kutafuta njia ya kumaliza ugomvi huo.

Tutajaribu kufuatilia ili tupate habari zaidi na kutoa taarifa kuhusu mwisho wa ugomvi huo.
 
Wachina nchi hii ingebidi wanyimwe Vibali vya kufanya boashara ya leja leja wafanye Kwa jumla tu.La sivo itakuwa hatari kw wazawa wenye mitaji midogo.
 
Wachina nchi hii ingebidi wanyimwe Vibali vya kufanya boashara ya leja leja wafanye Kwa jumla tu.La sivo itakuwa hatari kw wazawa wenye mitaji midogo.
USha wahi kufuatilia wale viongozi wa Oparayion Dudula? mambo kama haya ndio aanayo pigania kwa sasa,Sisi tuendelee kuwachekea, hii ni kwa sababu ya rushwa, na Dudula wameamua wao wenyewe kudili na wahamiaji wanao kuja kufanya kazi na biashara ambazo ni kwa ajili ya wageni.

Haiwezekani Wachina waje wapewe vibali kama wawekezaji then wanaanza kufanya uchuuzi.
 
Tuombe uzima kile kinacho onekana South kutakuja tokea Tanzania, time will tell.
 
Back
Top Bottom